Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, Masaki ya apartments milioni moja ikifika hii level ya Karen njoo kwenye meza ya mazungumzo

Posh Karen ranked among top 10 luxury home hotspots in the world

Naona umepost arial view 😂😂😂, hakuna hata mtu mmoja anaekataa kama Karen kuna nyumba nzuri (tho it's no where close to be compared to Fumba town Zanzibar ) Ila shida ni kwamba hakuna barabara za lami in almost the whole area 😂😂😂, Masaki is better than Karen. Kuhusu luxurious estate za kwetu ni bora kuliko chochote mlichonacho back home.. Linganisha na fumba tow 👇.. is Karen even close to Fumba town.? Hii ni world class estate kabisa.. hii sio middle East bruh, hii ni bongo land..
 
Kazi ni kudanganywa kama makondoo 2022.
Iyo pic Ni ya January this year,
Msibebewe akili Kila wakati,

Sasa chakula kuuza south Sudan iko na value Gani!!!
Mahindi maharagwe !!!
 
Uwezo wenu wa kung'amua nadhani ndio shida,ulitaka aseme tu cha mkandarasi,maelezo hujasikia.Nikikumbushe tu hicho kichwa ni sehemu ya mkataba wa SGR.Msilete mada sisizo na msingi
Sasa hiyo tweet ya Gerson haitoi hata context ya delivery! Hajasema kuwa hicho kichwa ni cha mkandarasi na kitatumika kwenye testing. Kwasababu kuna major delivery ya treni Nyingine April.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…