stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,953
- 40,300
ndondo yenyewe wanachezea mwenge saaahvHuu uwanja hauna hata standards za TFF
View: https://www.youtube.com/watch?v=yB3AHW19e8s&pp=ygUQbmRvbmRvIGN1cCBmaW5hbA%3D%3D
ndondo yenyewe wanachezea mwenge saaahvHuu uwanja hauna hata standards za TFF
amna zile zimetengwa kwa ajili ya fumigationmagorofa ya nchi au ya watu walioneemeka na pesa za wanyonge
Kitu kinachokuzuia wewe kwenda kifungua kiwanda cha kuongeza thamani hizo korosho ni nini? Kwani umezuiwa na mtu.leo mauzo ya korosho kabla ya kuongezwa mnyororo wa thamani ni 1.45 trillion tsh, tunzalaisha zaidi ya tons 520,000 alaf mauzo ya korosho kabla kuongezewa thamani ni 410,000 tons iliobakia ndio hio inapita kwenye viwanda vidogo kuongezewa mnyororo wa thamani, leo tungewekeza heavily kwenye viwanda vya korosho tukaongeza thamani wenyewe na kutafuta masoko duniani, kwanza ajira zingepatikana lukuki na serekali ingekusanya kodi na bado export amout ingekua over 2.5 trillions, lakini kilichopo korosho zinaondoka nchini kama raw material zinaenda kwa wenzetu zinapita viwandani zinaongezewa thamani, ajira zinapatikana na kodi za serekali zao alaf wana export tena na wao
Nairobi - Marua = 144kmKuna tofauti ya kusifu na kuropokwa … Mfano sawa wa kusifu … 1: Tanzania is a beautiful country
2: Mangufuli was Great ( we can agree to disagree)
3: Tanzania Football league is better than Kenya’s
Mfano wa Sisiemu kuropokwa:
1: Tanzania is 90% electricity connection
2: Mkapa is bigger and better than Talanta
3: Mama Samia Arusha is like USA Mercedes Benz stadium
Hope umenielewa sasa Raymond ..
😜🤟🏾🤟🏾🤟🏾
😂😂😂😂Nairobi - Marua = 144km
Dodoma Ring Road = 110km
But Dodoma Ring Road ndio the longest Dual Carriageway in East Africa according to Bongolalas. 🤣 🤣
What is Shang?Which Kenyans are those ?.. I know hundreds of Kenyans in the diaspora. I have attended Kenyan events like rugby in Vegas and July 4th weekend extravaganza in Texas where thousands of Kenyans gather . The only 2 languages spoken ni English or Sheng . Period!… We respect Kiswahili as our National language and even teach our kids few words here and there . My kids can say basic stuff in Swahili . But it’s not a priority for us abroad, just a pride .
Source, Explore with Bertin tiktok.😂😂😂😂
sio lazma niwe mimi, kwan DP world si alitafuta akapatikana na milataba ikafichwa au hilo pia nikuelikishe 😆😆😆😆😆Kitu kinachokuzuia wewe kwenda kifungua kiwanda cha kuongeza thamani hizo korosho ni nini? Kwani umezuiwa na mtu.
Ofcourse and they gave reason why mathare road cant be a single ring road 😂😂😂😂Source, Explore with Bertin tiktok.😂😂😂😂
View attachment 3699002
Kwan maana yake we maskini mwenye mdomo 😂😂😂😂😂😂😂😂sio lazma niwe mimi, kwan DP world si alitafuta akapatikana na milataba ikafichwa au hilo pia nikuelikishe 😆😆😆😆😆
$15M when you win the trophy 😂 😂 😂 you win twice and you have successfully returned the AFCON fees
View: https://x.com/MickyJnr__/status/2114656857360859158?s=20"
meanwhile mwaiofhawaii & Teargass hajui anatoa wap ela ya kuendesha ile cowshed pale ngong
Barabara za kuunga unga usitutajie mzee. 😂😂😂 njia yenyewe exclusive ni 84 km long. Unalazimisha uingie league ya Dom.? 😂😂😂Nairobi - Marua = 144km
Dodoma Ring Road = 110km
But Dodoma Ring Road ndio the longest Dual Carriageway in East Africa according to Bongolalas. 🤣 🤣
Bertin is another Sisiemu hack …his trip in Kenya must have been sponsored by CCM based on his coverage…..He went to my hometown and lied about the mall while skipping the main one …he ignored this…Source, Explore with Bertin tiktok.😂😂😂😂
View attachment 3699002
Very normal in our villageBertin is another Sisiemu hack …his trip in Kenya must have been sponsored by CCM based on his coverage…..He went to my hometown and lied about the mall while skipping the main one …he ignored this…
View attachment 3699018View attachment 3699019
ebu tuone your village….🤣🤣🤣🤣…. Your poor economy and low purchasing power can’t sustain a mall in a village…wacha kuporokwa 🤣🤣Very normal in our village