That's Dagoretti bongolala and it's clearly written so. If Dagoretti is a slum, what will we call these ones?Kumbe Karen na yenyewe ni Slum la haja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani kukosa Slum kunyaland ni sawa na kukosa kunguni gerezani
View attachment 2126785
Hata chai tunayo export inatoka Tanzania 😂 😂Avocados mnazo export zinatoka Tz and trust me, turn over yenu ishaanza kushuka kwa kasi baada ya Tz kuanza kuuza avocado zake bila kuwahusisha nyie ambao ni mawakala, so expect bad news at the end of this year kuhusu avocado business [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unagombana na Google?That's Dagoretti bongolala and it's clearly written so. If Dagoretti is a slum, what will we call these ones? View attachment 2126843View attachment 2126844View attachment 2126846
unexposed tanzanians who never travel outside tz think they are something while in reality they still have a long way to goArguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.
Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example
View attachment 2126561
Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!
Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.
View attachment 2126611
Dagoretti and Karen are two different places
Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie View attachment 2126592
Wakunya wameshindwa kuplay fair sana wanatumia figisu za kiberaTanzania inawatesa sana.
So mnavyo import kwa wingi kutoka China it means China inawategemea sn nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
China nayo inawategemea sn nyie, hapo unasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa majamaa wanatutegemea sana
Huyu mzee anamuishi Nyerere na sio kumsimulia tu. Heshima kwake.
Naona umekuja na Id mpya, huwa unaanza taratibu kwa mkono wa kushoto alafu baadaye unaandika kwa mkono wako uliyouzoea, mtu mmoja Id 200 au unalipwa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mwendo huo inaonekana wazi wewe hukusoma sayansi kwa kiwango Cha juu na hesabu huwezi ndio maana unafikiri aliyesoma sayansi ana akili iliyopitiliza.
Tanzania ufaulu unaanzia division four na kipindi Cha nyuma mwenye EEE alikuwa anaingia university kuchukua shahada ila jamaa alichemka akaenda kusoma stashada ya kemia ya ualimu.
Kumbuka hata thesis yake ya korosho Ina walakini ndio maana kiingereza kilikiuwa kinamsumbua kwa mtu aliye jinasibu kusoma kiingereza Toka kidato Cha kwanza mpaka uzamivu na alitetea thesis zake.
Mbona kama mtumba? Au ni Cha treni ya mizigo?kichwa cha umeme cha mkandarasi kwa ajili ya majaribio 🤣🤣🤣 wengine wapo kwenye siku zao tayari ameanza kuongelea bullet train
Waliambiwa project itagharimu $500ml mpk ss tunapoongea mchina anasema keshamaliza $668ml na ujenzi unaendelea, unajua hiyo inamaanisha nn? Maana yake hii road itakuwa hailipiki kwa hiyo miaka 30 labda miaka 100, so hawa wakunya wa humu wote watakufa hii road haijalipwa, na asilimia kubwa ya wakunya humu hawana gari na wachache wenye gari hawatotumia hyo road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii project haikuwa na BOQ ? Ila kuna mdau alisema humu project ukiona hamna bango la contractor ujue wizi upo karibu . Kweli ichoboy alisema ukweli kama sikosei
Hawa wakunya wanajiona wako G5China nayo inawategemea sn nyie, hapo unasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noma sn mkuu, hii Dodoma inakwenda kuchapa Nairobi, mana kitu walichobaki nacho Nairobi ni vi apartment vya upande upande basi, ss Dom inakwenda kumaliza kabisa huu mchezo asubuhi na mapema.Bro The best 007 kumbe bhana, ukiachana na ule mradi wa nyumba 1000 wa NHC pale DOM, kuna mradi mwengine wa nyumba 3500 unaofanywa na TBA eneo la nzuguni DODOMA [emoji116]View attachment 2126197. MRADI WA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA 3500 NA NYUMBA 20 ZA VIONGOZI WASHIKA KASI JIJINI DODOMA.
Geza Ulole anazingua kishenzi. Yaani sijui kwanini.kabisa yaani kuna watu wanazingua sana humu,wanatuletea siasa za kijinga
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hiyo miaka vipi? Pongezi ziende kwa SSH👇
Huyu minister Ni takataka tu,Tanzania inawatesa sana.
Shida ya waandishi wetu wa habari hawafuatilii haya mambo wakayarusha mara kwa mara mpk cc tuhangaike kutafuta sources, mfano Dar real estate imeichapa Nairobi real estate kwa mbali mno interms of price lkn hizo estate zenyewe kuzipata ni kwa shida kwasababu tuna waandishi vilaza wasiojishughulisha na mambo ya msingi, wao wamekazana na kina Uwoya cjui zuchu mara Diamond, mwisho wanamaliza na soka ******* hawa.Bro The best 007 kumbe bhana, ukiachana na ule mradi wa nyumba 1000 wa NHC pale DOM, kuna mradi mwengine wa nyumba 3500 unaofanywa na TBA eneo la nzuguni DODOMA [emoji116]View attachment 2126197. MRADI WA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA 3500 NA NYUMBA 20 ZA VIONGOZI WASHIKA KASI JIJINI DODOMA.
Hatuwezi kubali kununua finished goods kutoka kwenu. Lazima tuprotect viwanda vyetu from unfair competition.So mnavyo import kwa wingi kutoka China it means China inawategemea sn nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ku import kwa wingi from Foreign country c dalili njema kwa uchumi wa nchi. Inapaswa ku import vile vitu ambavyo hamuwezi kuzalisha au kutengeneza nchini mwenu na co ku import kila kitu kama mnavyofanya, cc Tz tumeshapunguza huo ujinga na ndiyo maana unaona kwa ss tunajituma, tunazalisha kwa wingi na tuna export zaidi kwa nchi jirani zetu na inatupa faida kubwa. Kilichobaki ni kuongeza kuwauzia finished goods kwa wingi ili tuneemeke zaidi.