Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kubali tu kuwa wewe ni kilaza
Kila sehemu huwa watu wanatamba kwa namna yake, hata skuli..
Na ukweli Mchungu ni kuwa huwezi kuwa kilaza darasani ukasoma science,
Huwezi kuwa kilaza ukawa daktari, mfamasia au engineer .
Sisi tulimudu masomo yote ya kiswahili, history, Phisics, Maths, Chemistry na ndio maana tulikuwa na uwanja mpana wa kuchagua, and of course tukasoma science ili vilaza kama nyie mkiumwa msikufe ili miendelee kushea humu miradi ya maendeleo ambayo hufanywa na wanasayansi.
Vilaza mnateteana 😄😄😄.

Wasomi wa Sayansi ya kupima mapapai corona 😬😬😬😬

Hujanijibu hoja unaleta taarabu zako za kijinga hapa.
 
Kwani unadhani huku nssf hawana majumba?
Halfu Huku mifuko ya hifadhi za jamii ni mingi sio NSSF tu,
Kuna PPF, PSPF, LAPF nk, mind u all of them are public funds na
Hawa ndio wamiliki 90% ya majengo yote marefu na ya kisasa Tz
Hahaha!!mzee mbona povu, huku mpaka makanisa wana majumba, vikundi vya wa mama pia wanamiliki..
Unafikiria huku kila kitu ni serekali au machothara
 
Gharama zipo juu acha upumbavu, mpaka huyu anakiri wazi tatizo anahusisha failed state status yenu na nchi nyingine zenye good life

Kulingana na sasa imepeanda lkn nashngaa kwenu mnaona kawaida wakati bei zinalingana
 
Maisha Kenya ni magumu usipinge, ndio maana wakenya wengi wanaomba wangezaliwa Tanzania

View attachment 2125759
hehehe.... tebu ona huyu.! as in, mm sasa of all the pple nihame kenya nikue mdanganyika. yani ni toke from an Emerging Market niende LDC. shifting from $109 to $65 country is like commiting suicide. yani kwa uhandisi nilipwe hela za kidanganyika na sio dollar za kikenya.! yani niwache kuchana gomba na jaba, kiongozi wangu akue nyabo na sio ssebo .. yani mji wangu mkuu uwe dar na sio nairobi.!? kenya sihami, less ntakua punguani wa akili
 
prove me wrong
Hahaha!!we ni mjuaji tu lkn huna ujualo
Screenshot_20220221-120832_Samsung%20Internet.jpg
 
Hebu fafanua hii mkuu, wanareplace BRT roads kwakuweka trucks za tram au wanajenga sambamba?
Tram cables zinaweza kujengwa humohumo kwenye brt au wakajenga kwa offshoot routes ambazo brt haijapita hizi jitihada zote zinafanyika huku kukiwa na mpango wa kuanzisha a modern commuter rail service in dsm and dodoma za dar train zitakuwa zinapita juu kwa juu tuu kwenye viaduct
 
Back
Top Bottom