Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa watu wa Samia this Samia that, JPM this JPM that huwa naona wana uwezo mdogo wa kufikiri sana hasa ukisoma uchangiaji wao, wengine matusi, wengine wanakesha na screenshots
Watu tunafahamu mazuri na mabaya ya kila awamu ila hatuna muda mchafu wa kuyaeleza maana haisaidii chochote.

Kuna timu mbili zimejitokeza humu, timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haijafanya mazuri na timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haina mabaya yake.

Kwenye hii awamu pia kuna wapotoshaji kuwa hakuna mabaya yanayofanyika na hakuna mazuri yanayofanyika.

Halafu kwani sensa imeanza awamu hii jamani!
Wewe ni mpumbavu utaisaidia vipi nchi kama unanyamaza ? Akili zako ni mbovu samia ni raisi wa ovyo hakuna kitu pale sisi tuna sema ili yakitokea msije sema atukusema ,nyinyi wachumia tumbo wote ni wapuuzi. Tena wewe ndiyo kilaza mkubwa sana hipo siku nitakuthibitisha sema nipo bize
 
Wewe nilishakuchukulia poa kwa sababu una akili chache zinazokutosha pekee yako hata hii mijadala ni vile unalazimisha kuzidisha kiwango cha akili kilichopita upeo wako.Inabidi tuluvumilie tu matusi na lugha za ajabu ajabu ni madhara kulazimisha akili kubwa isiyo yako
Wapemba akili amna mnachukia matusi wakati mnatenda matusikwanza niambie kwanini zenji inamajina ya matusi matusi tu
 
Kwenye suala la ajira serikalini ndiyo aibu kabisa yani tunapoelekea ni bora Kikwete, Mama hana anachojua maskini ya Mungu, watu wanatangaza ajira alafu watu hawaitwi kwenye usaili lkn watu wanaingia kazini kama kawaida, mfano nafasi za TRA zimepigwa kimya kimya. Jamani watz tuna wakati mgumu sn lkn yatapita, wapo watu wanajifanya kusifia cz wana majeraha yao ya awamu ya 5 lkn ukweli wanaujua na itakapofika 2025 hutawaona wakisifia mana ukweli utakuwa hadharani kabisa.
Mjambiani mpumbavuu yupo ikulu kashika usinga anapunga mapepo tu
 
Safi sana mkuu, kuna mambo mengi watu hawayaoni ndio maana baada ya comment yangu nlikaa kimya cause watu wanashindwa kuelewa jinsi muungano unavyoturudisha nyuma. Maisha waliyonayo wazenji ni kutokana na kufanya kazi na biashara bara wakati bara hawamo zenji.
Just imagine muungano ukivunjika, wazenji wakatolewa serikalini na kutozwa kodi ya kila wanachochukua na kuondolewa haki sawa ya biashara huku bara. Watakua maskini balaa
Huu muungano ni wakihanithi kabisa muungano maviii ya kuku
 
Halafu kila sehemu wanapofurika wazenji kunakua na matabia ya ajabuajabu, kama magomeni vijana wameharibika sana sio sehemu nzuri tena kwa mzazi yoyote anaejielewa kuishi na familia yake hususani akiwa na watoto wa kiume
Hao ni wauza ngandu kama huyu Opportunity cost aliye badili jina humu
 
Bro hivi sahizi Kenya hakuna project yoyote inayosonga mbele zaidi ya hiyo mali ya mchina? Maana toka asubuhi mpaka usiku ni picha moja tu ya express way!!!! aya mambo dunia ya sasa hawanaga ushamba wa namna hii,mtachekwa sana ata na nchi kama Rwanda
Bro kabla Tanzania au Rwanda kujenga barabara ya juu 27km ndani ya capital city zao itakua next century, wewe utakua mzoga kama magufuli
tapatalk_1644678658816.jpg
 
Back
Top Bottom