Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpumbavu ni wewe na unayemtumikia.Leta hizo Takwimu hapo mbona unazungusha kiuno badala ulete data?

Makamasi tuu 😬😬😬
Bichwa tupu 😂😂 hapo utakuta you ar above 40 years 😂😂... Ni nani asiejua kwamba each and every single big step tumepiga tz in all aspects ni mjomba Magu ndio alitupeleka huko.?
 
Hawa watu wa Samia this Samia that, JPM this JPM that huwa naona wana uwezo mdogo wa kufikiri sana hasa ukisoma uchangiaji wao, wengine matusi, wengine wanakesha na screenshots
Watu tunafahamu mazuri na mabaya ya kila awamu ila hatuna muda mchafu wa kuyaeleza maana haisaidii chochote.

Kuna timu mbili zimejitokeza humu, timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haijafanya mazuri na timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haina mabaya yake.

Kwenye hii awamu pia kuna wapotoshaji kuwa hakuna mabaya yanayofanyika na hakuna mazuri yanayofanyika.

Halafu kwani sensa imeanza awamu hii jamani!
Mimi kusema kweli sikuwa na tatizo na awamu iliyopita na hata Posts zangu humu zinaonyesha hivyo mpaka pale nilipogundua wafuasi kindakindaki wa JPM ambao hawana staha na hawaheshimu mawazo ya wengine! Pia wanaamini wao tu ndo wanastahili maendeleo.
 
ingekua beautiful kweli, shida tu ni venye, its only this one snapshot in the entire tanganyika and zanzibari. just imagine hakuna kwingine kama hapa kwenye nchi kubwa kama tz.. yani hili tu.!
tanganyika is 'one only' in every infrastructure design development
 
Kweli kabisa uyo , dhalim akafanya mambo ya ajabu sana, SGR,kuamisha rasmi serikali kwenda Dodoma,kuongeza mapato , kupinga unyonyaji,kusaidia kupunguz gap between rich and poor, for a first time umeme haukua nightmare,kurudisha treni ya zaman iliya simama for years( dar-Arusha),build ships, bridges,kupanua bandari mbalimbali na kuanza kujenga mpya,elimu bure,control price fluctuation,bus termina in all rigions,town roads,sign ni law to protect our natural resources especially minerals,..alafu kuna kenge ziko apa kuponda
Nilijua mafii inakaa tumboni , kwa mara ya kwanza nimeyana kichwani
Alafu,hivi kuna kenge humu wanajua kwamba Wafanya kazi hewa wamerudi kama ilivyokuwa Kwa Kikwete? Hta hizo pesa Mama anazozunguka kutafta zitaisha mifukoni Mwa wachache? Ngoja watu waanze kuona miradi ya hovyo kama Kenya ndo akili itawasogea
 
Bichwa tupu 😂😂 hapo utakuta you ar above 40 years 😂😂... Ni nani asiejua kwamba each and every single big step tumepiga tz in all aspects ni mjomba Magu ndio alitupeleka huko.?
Labda umepiga step za kuongeza u big wa makalio yako.

Nasema hivi leta data,sio kudandia treni kwa mbele hata hujui linaenda wapi we mbwa?

40 michache hiyo, Niko above 50.
 
Alafu,hivi kuna kenge humu wanajua kwamba Wafanya kazi hewa wamerudi kama ilivyokuwa Kwa Kikwete? Hta hizo pesa Mama anazozunguka kutafta zitaisha mifukoni Mwa wachache? Ngoja watu waanze kuona miradi ya hovyo kama Kenya ndo akili itawasogea
Wewe unawajua wangapi?
 
Mambo ni moto fire 🔥🔥

Screenshot_20220220-144030.png

Screenshot_20220220-093602.png

Screenshot_20220220-093609.png
 
Alafu,hivi kuna kenge humu wanajua kwamba Wafanya kazi hewa wamerudi kama ilivyokuwa Kwa Kikwete? Hta hizo pesa Mama anazozunguka kutafta zitaisha mifukoni Mwa wachache? Ngoja watu waanze kuona miradi ya hovyo kama Kenya ndo akili itawasogea
Kwenye suala la ajira serikalini ndiyo aibu kabisa yani tunapoelekea ni bora Kikwete, Mama hana anachojua maskini ya Mungu, watu wanatangaza ajira alafu watu hawaitwi kwenye usaili lkn watu wanaingia kazini kama kawaida, mfano nafasi za TRA zimepigwa kimya kimya. Jamani watz tuna wakati mgumu sn lkn yatapita, wapo watu wanajifanya kusifia cz wana majeraha yao ya awamu ya 5 lkn ukweli wanaujua na itakapofika 2025 hutawaona wakisifia mana ukweli utakuwa hadharani kabisa.
 
Back
Top Bottom