Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye suala la ajira serikalini ndiyo aibu kabisa yani tunapoelekea ni bora Kikwete, Mama hana anachojua maskini ya Mungu, watu wanatangaza ajira alafu watu hawaitwi kwenye usaili lkn watu wanaingia kazini kama kawaida, mfano nafasi za TRA zimepigwa kimya kimya. Jamani watz tuna wakati mgumu sn lkn yatapita, wapo watu wanajifanya kusifia cz wana majeraha yao ya awamu ya 5 lkn ukweli wanaujua na itakapofika 2025 hutawaona wakisifia mana ukweli utakuwa hadharani kabisa.
Hopeless kabisa,una ushahidi? Yaani walioomba wasilalamike ila wewe kenge wa mwendakuzimu ndio ujifanye una uchungu wa kuzidi 😬😬😬😬😬😬😬😬.

Hadi 2025 ukikosa pressure nitag 😆😆
 
Hawa watu wa Samia this Samia that, JPM this JPM that huwa naona wana uwezo mdogo wa kufikiri sana hasa ukisoma uchangiaji wao, wengine matusi, wengine wanakesha na screenshots
Watu tunafahamu mazuri na mabaya ya kila awamu ila hatuna muda mchafu wa kuyaeleza maana haisaidii chochote.

Kuna timu mbili zimejitokeza humu, timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haijafanya mazuri na timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haina mabaya yake.

Kwenye hii awamu pia kuna wapotoshaji kuwa hakuna mabaya yanayofanyika na hakuna mazuri yanayofanyika.

Halafu kwani sensa imeanza awamu hii jamani!
Waulize misukule ya Mwendazake
 

Hizi sio story,on ground Kazi inaendelea kwa Kasi sana 👇

IMG_20220218_180849_063.jpg


IMG_20220218_180932_932.jpg
 
Mimi kusema kweli sikuwa na tatizo na awamu iliyopita na hata Posts zangu humu zinaonyesha hivyo mpaka pale nilipogundua wafuasi kindakindaki wa JPM ambao hawana staha na hawaheshimu mawazo ya wengine! Pia wanaamini wao tu ndo wanastahili maendeleo.
Ni Maoni yako,mimi nilikuwa anti awamu ya 5 toka day 1 na ntaendelea kuwa hivyo Kwa sababu Kwa Imani yangu miaka 6, statistics za Uchumi na parameters zote zinaonyesha tumerudi nyuma kulinganisha na hapo awali.

Yaani una execute utopian policies in modern world? Kinachoelezwa kufanyika kwangu ni kidogo kuliko kilichostahili.Sekta ya Real estate ilikufa kabisa, miradi mingi imefanyika chini ya kiwango ikiwemo Bwawa la Nyerere,Udsm hostel,majengo ya serikali nk.

Hakuna mtu aliweza kuibua uozo wala kuhoji,ukithubutu unapotezea as opposed to six phase government.Kila.siku ilikuwa ni mikwaruzano na majirani hususani Kenya,ikapelekea Mazao mengi ya kilimo ku collapse bei zake.

Ndio sababu ya matumizi ya nguvu na propaganda Sana kwa tu vitu tudogo.Imagine Rais anafunga safari ya kwenda kuzindua mradi wa bil.1 Ili afanye propaganda kwa wajinga.

Masheria mengi ya kipumbavu yalitungwa ambayo tunaanza kubadili tena Ili tuu kulinda uozo.

Yule jamaa kawatia watu jela afu wanaenda kunegotiate kwa pesa Ili wakuachie,kupora wafanyabiashara pesa na upuuzi mwingine.Anajua kutumia pesa ila kutafuta hajui.

Mwendazake angeendelea saizi tungeshakuwa Zimbabwe nyingine.Yeye badala arekebishe mapungufu ya JK anaanza kufanya crackdown tena kwa mihemko ya kijinga.

Enzi za Jakaya Tulikuwa tumefika mahala kuamini private sector kwenye kutoa ajira,tuliacha Kazi za serikali tukaenda kujiajiri but zama za Mwendazake ikawa kinyume,ukikosa Kazi ya serikyunajibanza kuwa machinga na worse enough ajira zilikuwa kiduchu Sana kwa kisingizio cha miradi.Kila mtu akawa Machinga kwa kukata tamaa,na hao wakawa wanalipishwa vitambulisho.

Mbona saizi ajira zinatoka na miradi inaenda? Wenye chuki wamekuja na chorus ya wafanyakazi hewa mara sijui anapendelea kwao na nonsense zingine..

Laiti Samia angekumbatia sera za kipuuzi kwenye uchumi ningempinga directly kama nilivyofanya kwa Mwendazake.
 
Hawa watu wa Samia this Samia that, JPM this JPM that huwa naona wana uwezo mdogo wa kufikiri sana hasa ukisoma uchangiaji wao, wengine matusi, wengine wanakesha na screenshots
Watu tunafahamu mazuri na mabaya ya kila awamu ila hatuna muda mchafu wa kuyaeleza maana haisaidii chochote.

Kuna timu mbili zimejitokeza humu, timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haijafanya mazuri na timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haina mabaya yake.

Kwenye hii awamu pia kuna wapotoshaji kuwa hakuna mabaya yanayofanyika na hakuna mazuri yanayofanyika.

Halafu kwani sensa imeanza awamu hii jamani!

Wanaboa sana, mambo ya ajabu kabisa. Na imagine hawa walikuwa mtu na Makamu Wake ambao walipeperusha bendera moja kunadi ilani moja ya uchaguzi, sasa pata picha wangekuwa vyama tofauti sijui ingekuwaje? Sometime najiuliza kama taifa tuna watu wanaofikiri namna gani? Inafikirisha sana
 
Back
Top Bottom