Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tapatalk_1644764286812.jpg
 

Attachments

  • IMG_20220214_132624.jpg
    IMG_20220214_132624.jpg
    112.3 KB · Views: 20
  • IMG_20220214_132626.jpg
    IMG_20220214_132626.jpg
    127.3 KB · Views: 21
  • IMG_20220214_132628.jpg
    IMG_20220214_132628.jpg
    106 KB · Views: 19
Pamoja mkuu,yaani huu muungano mm unanikera Sana,mfano.
1.zanzibar walipogundua Mafuta,wakasema hayausiani na muungano,ina maana,bara SS hatumo.
2.Rais anatokea Zanzibar,anatwala pote,bara na Zanzibar,kule Zanzibar,mtu kutoka bara hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa.
3. Mtu wa bara huruhusiwi kununua ardh na kuimiliki,lakini huku bara wamejenga kila mahalo.
4. Mtu kutoka bara hawezi kupata Ajira kule hata kufagia Ofisi za serikali,Ila huku wamejaa majeshini,na tasisi nyeti.Wengi wao hawapendi kufanya kazi kwao sababu wanalipwa mishahara midogo Sana na hii imesabisha umasikini mkubwa Sana Zanzibar.
5.mtu kutoka bara ni ngumu kwake kufanya biashara kule lakini huku bara,wapemba wametapakaa kariakoo na huku mikoani na maduka ya simu na biashara zingine.
6. Ukiingiza bidhaa kutoka bara untozwa Kodi kule Zanzibar,eti ni nchi nyingine lakini huku wanaingiza vitu wanavyotaka.
Mm binafsi siutaki muunago hata kidogo,natamani uvunjwe kila mtu aishi Kwa kujitegemea. Bara hakuna tunchotegemea kutoka kule we have nothing to loose! Ila wao watapoteza vingi Sana,ule usemi kwamba muunngano ukivunjika watapata maendeleo haraka ni uwongo,Kwanza Wanaguana Sana Kati ya wapemba na waunguja. Kwa hiyo sio ajabu wakajitenga wao Kwa wao tena,pia ufisadi mkubwa Sana kule.
Muunngano unatinyonya Sana ss bara.
Safi sana mkuu, kuna mambo mengi watu hawayaoni ndio maana baada ya comment yangu nlikaa kimya cause watu wanashindwa kuelewa jinsi muungano unavyoturudisha nyuma. Maisha waliyonayo wazenji ni kutokana na kufanya kazi na biashara bara wakati bara hawamo zenji.
Just imagine muungano ukivunjika, wazenji wakatolewa serikalini na kutozwa kodi ya kila wanachochukua na kuondolewa haki sawa ya biashara huku bara. Watakua maskini balaa
 
Kwenye suala la ajira serikalini ndiyo aibu kabisa yani tunapoelekea ni bora Kikwete, Mama hana anachojua maskini ya Mungu, watu wanatangaza ajira alafu watu hawaitwi kwenye usaili lkn watu wanaingia kazini kama kawaida, mfano nafasi za TRA zimepigwa kimya kimya. Jamani watz tuna wakati mgumu sn lkn yatapita, wapo watu wanajifanya kusifia cz wana majeraha yao ya awamu ya 5 lkn ukweli wanaujua na itakapofika 2025 hutawaona wakisifia mana ukweli utakuwa hadharani kabisa.

😀 Mtaalam nkiona comment yako hua nalike kwanza then ndio naisoma. Hata mabank yetu hususani haya makubwa sasaivi wanatoa ajira kwa kujuana
 
Back
Top Bottom