Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnataka aanzishe miradi mipya wakati iliyopo haijaisha? Niwakumbushe hakuna miradi ya Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,JPM au Samia miradi yote ni Umma hivyo haiwezi kua sifa ukacha mradi haujakamilika na kuanzisha kitu kipya.Serikali ni moja watu watapita nchi itabaki milele.
We tako nani kakuambia miradi iachwe miradi inatakiwa iendelee na mipya ibuniwe ,tatizo akili za chifu ni mbovu ,mfano sensa unatumiaje mamillioni ya pesa kwenye sensa wakati bado aujakamilisha vitamburisho vya taifa ,vitambirisho vya utaifa ni muhimu mara 100 kuliko sensa
 
Kwahiyo unaandaa bajeti ya kutengeneza vitambulisho kwa watu usiojua idadi yao? Hizi akili zingine hizi……yaani ni bora tu umseme vibaya Rais ndio uridhike bila kujali ni namna gani unajidhalilisha?

Hawa watu wa Samia this Samia that, JPM this JPM that huwa naona wana uwezo mdogo wa kufikiri sana hasa ukisoma uchangiaji wao, wengine matusi, wengine wanakesha na screenshots
Watu tunafahamu mazuri na mabaya ya kila awamu ila hatuna muda mchafu wa kuyaeleza maana haisaidii chochote.

Kuna timu mbili zimejitokeza humu, timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haijafanya mazuri na timu ya kupotosha kuwa awamu iliyopita haina mabaya yake.

Kwenye hii awamu pia kuna wapotoshaji kuwa hakuna mabaya yanayofanyika na hakuna mazuri yanayofanyika.

Halafu kwani sensa imeanza awamu hii jamani!
 
Kuna vitu havijakaa sawa kwenye muungano hatuwezi kukaa kmy kwa kigezo cha kuchochea chuki, mm naomba kuuliza inakuaje rasilimali za zenji ziwe za kule tu lkn za bara ziwe za wote? Au labda tuwekane sawa tujue kwamba bila zenji basi hakuna Tz bara, huu muungano ni wa kipumbavu sn huu, ok usiku mwema wakuu.
Pamoja mkuu,yaani huu muungano mm unanikera Sana,mfano.
1.zanzibar walipogundua Mafuta,wakasema hayausiani na muungano,ina maana,bara SS hatumo.
2.Rais anatokea Zanzibar,anatwala pote,bara na Zanzibar,kule Zanzibar,mtu kutoka bara hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa.
3. Mtu wa bara huruhusiwi kununua ardh na kuimiliki,lakini huku bara wamejenga kila mahalo.
4. Mtu kutoka bara hawezi kupata Ajira kule hata kufagia Ofisi za serikali,Ila huku wamejaa majeshini,na tasisi nyeti.Wengi wao hawapendi kufanya kazi kwao sababu wanalipwa mishahara midogo Sana na hii imesabisha umasikini mkubwa Sana Zanzibar.
5.mtu kutoka bara ni ngumu kwake kufanya biashara kule lakini huku bara,wapemba wametapakaa kariakoo na huku mikoani na maduka ya simu na biashara zingine.
6. Ukiingiza bidhaa kutoka bara untozwa Kodi kule Zanzibar,eti ni nchi nyingine lakini huku wanaingiza vitu wanavyotaka.
Mm binafsi siutaki muunago hata kidogo,natamani uvunjwe kila mtu aishi Kwa kujitegemea. Bara hakuna tunchotegemea kutoka kule we have nothing to loose! Ila wao watapoteza vingi Sana,ule usemi kwamba muunngano ukivunjika watapata maendeleo haraka ni uwongo,Kwanza Wanaguana Sana Kati ya wapemba na waunguja. Kwa hiyo sio ajabu wakajitenga wao Kwa wao tena,pia ufisadi mkubwa Sana kule.
Muunngano unatinyonya Sana ss bara.
 
Weee mafiii head....ata mkimchukia mtu haifuti aliyo yafanya, shida uko na character za kike plus kudinywa ndio akili ikawa mafiii kabisaaaView attachment 2124650View attachment 2124651
Nataka data za Percapita ya 2016 as well as GDP against za 2020.,mbona huelewi? Umejaza makamasi kichwani?

Nataka nithibigishe kauli yangu ya kwamba Miaka yote 6 the economy was struck.

200 (13).gif
 
Back
Top Bottom