Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna siku niliyasema haya lkn jamaa bado hawaelewi, yani hapo kw akili zake pawe na kilima
Yani gari iwe inateremka kuelekea katika junction inayokuingiza kw main road, huoni hatari hyo kabisa..
Maskin danzagiza...
Lkn naoana kw hayo majibu jamaa sasa atakua ywaugulia chooniView attachment 2118820
Yani hapo ningekuwa na simu yng ningewachorea vzr muone nyie wapumbavu mnaopigwa kila siku kwenye miradi kwa kupenda decorations na sio uhalisia.
 
Ni kweli hapo kwa Magu kujenga JNHPP na SGR kilomita zaidi ya elfu moja, ilibidi mtu kama yeye mwenye mbegu nzito ya kidume kujenga. Viongozi wengine ni waoga tu, wanadanganya wananchi ili kupata kura tu ila hawana nia ya kujenga miradi mikubwa. Japo sikufurahishwa na jinsi Magu alivyoichukia Kenya, lazima nimpe hongera kwa udhubutu wake wa kuanzisha some of the biggest projects in East Africa.
Sure, ila Magu hakuwahi kuichukia Kenya bali alitaka kuwaelewesha kwamba mali za Tz zianze kumnufaisha mtz kwanza na co mtu mwingine, ni sawa na useme Magu hakuwapenda wazungu kisa aliwakataza kuchimba madini pasipo makubaliano ya win win situation.
 
Sikuona post yako about it lakini haya ni mambo ya ku apply logic jameni
huwa nawaona wakirudia hio picha, nacheka tu kuona some daft keyboard warriors with a high school certificate wakibishana na experienced engineers
Jamaa eti ywasema angelikua na simu yske angechora, sasa km tayari akilizao zinawatuma pasiwe na mzunguko hapo unatarajia nini km sio kutuchorea mteremko
 
20220213_231737.jpg
 
Wewe engineer unaefanya kazi kwenye chumba chenye milango ya kuinua na una million 2 Bank kila mwezi kumbe na mitumba pia unavaa? 😆
best jumpers, t-shirts, jackets or shoes, utaipata mitumba. kenya ata wabunge baadhi yao wamenyuka pamba za mitumba. hio quality yani.. 🔥👍🏽
 
Wewe engineer unaefanya kazi kwenye chumba chenye milango ya kuinua na una million 2 Bank kila mwezi kumbe na mitumba pia unavaa?
We acha mchezo wewe, kisoko unapata kitu kikali sana km una mtu ambae mnafanya biashara pamoja mzigo ukitua anakutengea vitu vikali vya mambele basi kitaani wanabaki kujiuliza vipi huyu manake dukani hawavikuti na wakipata bei ni balaa wakati wewe umefanyiwa bei ya kisela sela.
 
Magu hakuichukia Kenya, nyinyi (wengi wenu) ni watu selfish sana. Mnataka mfaudike kwa mgongo wa wengine.

Watanzania wengi na marais kabla ya Magu, walikuwa na zile fikra za ujirani mwema hata kama wao wanaumia. Magu akasema f$ck that, mbwai iwe mbwai.
Tangu lini Kenya ikafaidika kwa mgongo wa Tanzania? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom