Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

H

Hahaha pole sana kwa uchungu, utapona tu. Ila ulichosema hakubadilishi ukweli kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu, taasisi nyingi sana ambazo zipo independent zimekiri hili. Deni sio hoja kwani marekani ana debt to Gdp ratio ya 130% na Japan ndio wazimu ametinga 250%. Halafu Sudan nao juzi wametinga debt to gdp ratio ya 200%. Sie hata 80% bado hatujafika. Lakini ni muhimu Kenya ipunguze deni lake kwa maana deni sio kitu kizuri.
Kenya imeshavuka kiwango cha kukopa, haipaswi kuvuka 60% ya GDP kwa nchi zinazoendelea, wakati nchi tajiri zinao uhuru wa kujipangia kiwango cha kukopa kutokana na ukubwa wa uchumi wao.
 
Tony mbona unazungumzia vitu vya hovyo kiasi hiki?
1)Nchi kuwa na "imports" kubwa hiyo ni dalili mbaya, hasa kwa nchi ambayo ambayo ni "Agricultural and Manufacturing based Economy" Kama Kenya, hiyo maana yake ni kwamba uchumi wenu unaelekea kubaya Sana.

Nchi zote duniani zinapunguza imports na kuongeza exports, vipi wewe unasifia kitu cha hovyo kiasi hiki?.

Kuhusu uwekezaji, kila nchi inajitahidi kuvutia "investments(FDI), Tanzania tumefanikiwa Sana kuwavutia wawekezaji toka nchi mbalimbali ikiwemo Kenya kutokana na mazingira mazuri kuanzia 1)security, 2)Land, 3)raw materials 4)Big internal market, 5)Cheap electricity, 6)less corruption, Mambo ambayo hayapatikani Kenya, vipi investors atoke Tanzania kwenye vitu vyote hivyo aje kuwekeza Kenya nchi ya hovyo?.

Kitendo cha makampuni mengi ya Kenya kuwekeza Tanzani ni Negative score kwa Kenya, hupaswi kusifia hilo, hiyo inapandisha uchumi wa Tanzania na kudhoofisha uchumi wa Kenya kwa kuzalisha ajira na Kodi kwa Tanzania
Heheheheee always smart
 
Wacha kujidhalilisha katika hili, uchumi gani huo uliosoma?, Budget ya Kenya ni kubwa kuliko ya Nigeria, hushangazwi na hilo?, mwisho utasema miradi mingi ya Kenya imekua ikitumie pesa nyingi, Bei zinaongezwa mara dufu ya Tanzania kwasababu uchumi wa Kenya ni mkubwa
Siku na wewe unahangaika hko nairaland sio
 
Kenya imeshavuka kiwango cha kukopa, haipaswi kuvuka 60% ya GDP kwa nchi zinazoendelea, wakati nchi tajiri zinao uhuru wa kujipangia kiwango cha kukopa kutokana na ukubwa wa uchumi wao.
Basi ungeliambatanisha kitu kinacho kusapoti
 
Kenya imeshavuka kiwango cha kukopa, haipaswi kuvuka 60% ya GDP kwa nchi zinazoendelea, wakati nchi tajiri zinao uhuru wa kujipangia kiwango cha kukopa kutokana na ukubwa wa uchumi wao.
Alinishangaza sn mpk ikabidi nijiulize kama kweli huyu ni mchumi, mchumi gn asiyejua nchi yake ipo kwenye red zone.
 
Tony mbona unazungumzia vitu vya hovyo kiasi hiki?
1)Nchi kuwa na "imports" kubwa hiyo ni dalili mbaya, hasa kwa nchi ambayo ambayo ni "Agricultural and Manufacturing based Economy" Kama Kenya, hiyo maana yake ni kwamba uchumi wenu unaelekea kubaya Sana.

Nchi zote duniani zinapunguza imports na kuongeza exports, vipi wewe unasifia kitu cha hovyo kiasi hiki?.

Kuhusu uwekezaji, kila nchi inajitahidi kuvutia "investments(FDI), Tanzania tumefanikiwa Sana kuwavutia wawekezaji toka nchi mbalimbali ikiwemo Kenya kutokana na mazingira mazuri kuanzia 1)security, 2)Land, 3)raw materials 4)Big internal market, 5)Cheap electricity, 6)less corruption, Mambo ambayo hayapatikani Kenya, vipi investors atoke Tanzania kwenye vitu vyote hivyo aje kuwekeza Kenya nchi ya hovyo?.

Kitendo cha makampuni mengi ya Kenya kuwekeza Tanzani ni Negative score kwa Kenya, hupaswi kusifia hilo, hiyo inapandisha uchumi wa Tanzania na kudhoofisha uchumi wa Kenya kwa kuzalisha ajira na Kodi kwa Tanzania
Jamaa domo tu kumbe kichwani zero, uchumi wetu ni wa tofauti sana hapa sub- sahara africa..laiti ingelikua ni nyinyi basi sai nchi ingelikua imrporomoka kitambo..

Unasema kenya kuna corruption na wakati na hyo corruption bado inakusanya kodi maradufu zaidi yenu
 
Kwenye umeme huko usiguse kabisa, Kama ambavyo mlikua hamuamini kwamba tumewazidi Sana katika huduma za Afya(Hospitals), na namba kubwa ya $ millionaires hadi hivi karibuni ndio mumekubali huo ukweli, ndivyo ilivyo katika umeme, Tanzania inaongoza Africa Nzima katika kusambaza umeme nchi nzima, mwakani tutaingia katika orodha ya nchi 8 tu Africa Nzima zilizofikia "Universal electrification".
Sai mko namba ngapi, mtupe na orodha kabisa
 
tunachoona kwa kenya ni hvi
kenya ni nchi ambayo imefeli kwenye kila kitu sio tu uchumi naongelea kila kitu

huwez kuongelea uchumi ambao unanuka madeni about 9 trillion ksh ilihali nyinyi bado ni developing country

huwez kuongelea uchumi ilihali unemployment rate ni kubwa africa nzima

huwez ongelea uchumi mkubwa ikiwa njaa inawamaliza wakenya takriban kila mwaka na uchumi hauna cha kufanya zaidi ya kutegemea misaada kutoka kwenye nchi zenye jangwa asilimia 100

leo kenya haina hata pesa ya kujenga 5km railway haina hata pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi wake ndio yale aliosema dr ndii kua munachukua loan kulipa mishahara badala ya maendeleo

na mm najua kua kenya imeangukia pua japo munajitutumua hapa kufucha aibu zenu ila kwenye dunia hii hamuna cha kuficha

leo kenya inachukua loan from halima to pay peter na muko hapa munashangilia uchumi hvi Tony254 uko serious kweli???

leo hii tuanzungumza karibia makampuni yote ya kenya yamekufa na hili ukitaka uthibisho nitakuelimisha

ww unaongelea safaricom ilihali safaricom over 60% inamilikiwa na foreign investors
Inamilikiwa na foreigners sio
Bila wakenya wa kawaida safaricom si ingelichezea hasara hata kuliko ttcl..

Wakenya ndio wanatumia safaricom, kwhyo returns zake zote ni jasho la wakenya..
GOK 35% share
GOK 16% VAT
LOCAL 5% Share

Still hela nyingi inabaki kenya mzee acha wivu

Watu wa full government owned mashirika yao yanachezea hasara za sayari nyingine
 
Jamaa domo tu kumbe kichwani zero, uchumi wetu ni wa tofauti sana hapa sub- sahara africa..laiti ingelikua ni nyinyi basi sai nchi ingelikua imrporomoka kitambo..

Unasema kenya kuna corruption na wakati na hyo corruption bado inakusanya kodi maradufu zaidi yenu
Ninakubaliana na wewe kwamba Kenya uchumi wake ni tofauti hapa Sub-sahara Afrika
1) Ni nchi pekee ambayo ni "middle income" lakini inategemea chakula cha msaada
2)Ni nchi pekee ambayo haiwezi kujenga hata 5Km ya railway bila kukopa
3)Ni nchi pekee ambayo inakusanya pesa nyingi lakini bado inategemea mikopo kuendesha nchi kwa 80%
4)Nchi pekee ambayo uchumi wake ni mkubwa lakini raia wake wanategemea nchi jirani kupata huduma Bora za Afya.

Kitendo cha kwamba mnakusanya Kodi mara dufu ya Tanzania, lakini Tanzania inafanya miradi mingi kwa pesa za ndani kuliko Kenya, hiyo ndio inathibitisha kwamba Kenya Kuna rushwa, 50% ya bajeti ya Kenya huushia mifukoni mwa politicians.
 
Mpuuzi pekeake ndio atakuja kuandika ujinga kisa hasira..
Wakenya wana nguvu kiuchumi kuliko tz mara kadhaa..
Haiwezekani eti nyie mjiite mna uchumi bora wakati zero, tuonyeshe mobile banking tz inaingiza pesa ngapi na mabenki je kampuni binafsi vipi..

Nyie watu misifa tu lkn zero kabisa kiuchumi
 
Zaidi chakula(Mahindi), Juices, Energy drinks, viatu, nguo, tomato souces, toothpicks, used military hardware, Konyagi, Poutry products and loto milk from Uganda, Sugar
Hyo ndio ile $14b unayoiongelea..

Na hvyo vote ulivyotaja tuna import kukimu mahitaji..we consume more than you guys
 
Mpuuzi pekeake ndio atakuja kuandika ujinga kisa hasira..
Wakenya wana nguvu kiuchumi kuliko tz mara kadhaa..
Haiwezekani eti nyie mjiite mna uchumi bora wakati zero, tuonyeshe mobile banking tz inaingiza pesa ngapi na mabenki je kampuni binafsi vipi..

Nyie watu misifa tu lkn zero kabisa kiuchumi
Pole kwa kukuumiza
 
joto la jiwe kakubali km kenya uchumi ni mkubwa...

Ila usijisshaulishe, wanaoshikilia uchumi ni wananchi, kwhyo jiulize kwnn nyie uchumi wenu mdogo..
Jibu linakuja pale raia wengi wa tz kiuchumi taabani
Jamaa akipanda mihogo na mboga mboga tosha anakuta keshamaliza kila kitu katika maisha yake
 
Back
Top Bottom