Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kshs 240 mln PAX Terminal expansion from capacity of 250,000 PAX per annum! 🤣🤣🤣
CC: Teargas

See the grammar of the company that is to oversee expansion!

Oy bro geza, unajua huyo mtoto ni mpumbavu sana juzi hapa alidai kwamba Kisumu airstrip Ina handle watu wengi than Mwanza and Arusha combined 😂😂 kumbe Kisumu enyewe Iko na PAX terminal ya 250k per annum, 😂😂😂
 
Halafu ukikutana nao ni unafiki kwenda mbele tena ukabila wao upo wazi cha kwanza ni utaulizwa wewe ni kabila gani, then ukiwa si Mchagga utaskia wakibagua live wakijidai wao ni kama Wachagga! Utaskia sisi hufanyaga biashara na Wachagga na ukitaka kuwatumia jifanye Mchagga! Hawa jamaa ni wapuuzi sana!
Wapuuzi kinyama
 
Oy bro geza, unajua huyo mtoto ni mpumbavu sana juzi hapa alidai kwamba Kisumu airstrip Ina handle watu wengi than Mwanza and Arusha combined kumbe Kisumu enyewe Iko na PAX terminal ya 250k per annum,
Huyo Teargas ni mwanamke mpumbavu sn kazi yake huwa ni kuongeza data za kunyaland na kupunguza za Tz, don't take her serious.
 
Subiri nikueleweshe kidogo bro, mapato ya kodi kuwa chini hapa Tz haitokani na uzalishaji kuwa chini, lahasha! Ispokuwa inatokana na mifumo mibuvu ya ukusanyaji kodi na mengi kati ya makampuni kutolipa au kukwepa kodi,na ndio maana Magufuli alileta mfumo wa ukusanyaji kodi kwa kutumia vikosi kazi (task force), mf Bakresa mwenyewe alikua halipi kodi kabisa, kuna makampuni ya uchimbaji madini yalisamehewa kodi milele na kampuni nyingi tu. Ila mama alivyoingia madarakani alijitia umbea kuondoa tasks force) na ndio maana makusanyo ya kodi yanashuka zaidi, ila upo uwezekano mkubwa mno kwamba sisi tunazalisha kuwazidi hata mara mbili, huu ni ukweli ambao kila mtanzania anaujua haswaa wapinzani wa serikali
Kwa hivyo unadhani hakuna Wakenya wanaokwepa kulipa kodi? Wakenya ni Wakora na wajanja hata kushinda nyie Watanzania. Licha ya ukwepaji wote huo wa kulipa kodi na corruption nzito sana ambao upo Kenya unakuta bado tunakusanya kodi mara mbili yenu. Na sio tu kwenye kodi, nimenotice tunawadouble kwenye mambo mengi tu. Hata kwenye mambo ya port, Mombasa port inahandle double ya kiwango cha mizigo ambayo port zenu zinahandle. Tukija kwenye electricity production, Kenya inaproduce 3,000 MW wakati nyie mnaproduce 1,600 MW. Kenya ina Gdp zaidi ya $100 billion wakati gdp yenu ipo $70 billion.

Gdp per capita ya Kenya ipo $1,800 wakati yenu ipo $1,080. Access to electricity ya Kenya ipo 80% wakati yenu ipo chini ya 50% kwa hisani ya World Bank. Kenya ina kilomita 19,000 za lami by 2019 wakati nyie mna kilomita chini ya 14,000 by 2019. Kenya ina assemble magari takriban 10,000 wakati nyie mna assemble magari chini ya 2,000. Hatujawapiga kwenye ukusanyaji wa kodi tu, tunawanyanyasa kwenye mambo mengi sana. Kenya inapokea remittance ya $3 billion kila mwaka kutoka kwa Wakenya wanaoishi ulaya huku nyie mkipokea remittance chini ya $1 billion.

Nyie pia mumetupiga kwenye mambo mengi ikiwemo tourism, madini na agriculture.
 
Qatar Airways inaleta watalii wengi sana Zanzibar.
Imagine B 787 9 and A333 every day ...somedays B787 9 alternate na A332
Screenshot_20220214-183001_Flightradar24.jpg
 
Kwa hivyo unadhani hakuna Wakenya wanaokwepa kulipa kodi? Wakenya ni Wakora na wajanja hata kushinda nyie Watanzania. Licha ya ukwepaji wote huo wa kulipa kodi na corruption nzito sana ambao upo Kenya unakuta bado tunakusanya kodi mara mbili yenu. Na sio tu kwenye kodi, nimenotice tunawadouble kwenye mambo mengi tu. Hata kwenye mambo ya port, Mombasa port inahandle double ya kiwango cha mizigo ambayo port zenu zinahandle. Tukija kwenye electricity production, Kenya inaproduce 3,000 MW wakati nyie mnaproduce 1,600 MW. Kenya ina Gdp zaidi ya $100 billion wakati gdp yenu ipo $70 billion.

Gdp per capita ya Kenya ipo $1,800 wakati yenu ipo $1,080. Access to electricity ya Kenya ipo 80% wakati yenu ipo chini ya 50% kwa hisani ya World Bank. Kenya ina kilomita 19,000 za lami by 2019 wakati nyie mna kilomita chini ya 14,000 by 2019. Kenya ina assemble magari takriban 10,000 wakati nyie mna assemble magari chini ya 2,000. Hatujawapiga kwenye ukusanyaji wa kodi tu, tunawanyanyasa kwenye mambo mengi sana. Kenya inapokea remittance ya $3 billion kila mwaka kutoka kwa Wakenya wanaoishi ulaya huku nyie mkipokea remittance chini ya $1 billion.

Nyie pia mumetupiga kwenye mambo mengi ikiwemo tourism, madini na agriculture.
Sama boy 255 Wacha niongeze kidogo kwamba Kenya imewapiga kwenye idadi ya abiria wanaopitia kwenye airports. Kenya ina service sector kubwa kushinda yenu. Kwa mfano Kenya ina makampuni kubwa kushinda zenu hata tukiangalia banks, banks za Kenya ni kubwa ajabu ukizilinganisha na banks za TZ ambazo ni ndogo sana. KCB, EQUITY na Co-operative banks zina more capital kushinda banks zenu zote na ukumbuke kwamba Kenya ina banks 44 ilhali banks tatu zetu zina more capital kushinda zenu zote. Tukija kwenye telecomm sector, Safaricom pekee ina bigger valuation kushinda kampuni zenu zote za telecomm. Hizi data nipo tayari kumwaga huku. Yaani kampuni za kininafsi za Kenya ni kubwa sana ukizilinganisha na zenu. Kwenye kuexport tea, flowers, coffee, textiles na vegetables tumewapiga. Kenya tunaconsume more electricity na more petroleum products kuwashinda. Kenya tunaimport more goods kuwashinda kumaanisha tunaconsume more goods kuwashinda. Kwa mfano Kenya inaimport goods worth 14 billion dollars kila mwaka wakati nyie mnaimport goods worth 9 billion dollars kila mwaka.

Hizi data zote zinaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Service sector ni zaidi ya 50% ya uchumi wa Kenya kwa hivyo Kenya ni service driven economy wakati nyie ni agriculture and mining driven economy. Sie mining industry yetu ni ndogo sana. Yaani kuna mambo mumetupiga lakini sie pia tumewapiga vibaya sana kwenye mambo mengine, hususan private sector yetu ambayo inawafunika vibaya sana. Kumbuka Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuinvest hapo Tanzania na top three kwa kuinvest Uganda. Sasa hivi makampuni ya Kenya yanaivest Ethiopia ikiwemo Safaricom na Kengen. Mabenki za Kenya zipo katika nchi zaidi ya saba ukanda huu. Sasa sijui mnaidharau Kenya kwa nini. Hata kwenye diplomasia, Kenya ina embassies zaidi ya mia moja na kuna baadhi ya hizi embassies ambazo hazipo Tanzania. UN global headquarters ya UNEP na UN habitat ipo Kenya. World Bank na IMF regional headquarters ipo Kenya. Google, microsoft, IBM, Oracle regional headquarters zipo Kenya. Al-jazeera, BBC, Xinhua, CGTN regional au African headquarters zipo Kenya. Ikumbukwe Kenya ina skyscrapers nyingi above 100 metres kushinda Tanzania. Hata tu kwenye picha zinazowekwa humu ni wazi kwamba Kenya ina apartments nyingi kushinda Tanzania. Kenya ina watu wengi wanaofanya kazi Marekani na nchi za ulaya kushinda Tanzania. N.k. Niendelee au niwachie hapo?
 
Back
Top Bottom