Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu kinakuja DODOMA

FLJoY0SXoAEDJOL.jpeg
 
Bila ukweli hakuna mantiki mzee acha kujisumbua hapa
Unajua maana ya neno logic ,fact uja baada ya logic na fact haiwi fact hadi thibitike na logic, vinginevyo hiyo fact inakuwa ni kudanganyana tu na hadithi za kusadikika
 
Mama anaupiga mwingi sana
Nimemsikia mkuu wa Mkoa wa Dom,aisee mama kamwaga mapesa sio mchezo.

Hata Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu amesema SSH hadi January katoa 54% ya bajeti ya Wizara,kitu ambacho hakijawahi tokea hapo awali..

Nina imani Sana na mama Kwa sababu anatekeleza sera za biashara huru kiasi kwamba sasa pesa ipo na uchumi unakua.

Screenshot_20220209-095846.png
 
Sasa nasomaga nini mkuu wenzako tunaongea kwa facts we unakomaa na historia ya hayati tu.Tutamkumbuka daima lakini haitazuia sisi kusonga mbele na kupiga hatua zaidi.
Mbele ndiyo kuelekea kuvaa ngozi na usinga wa kichifu na hirizi viunoni,kwa mwenendoo huu wa mama sasa nimeanza kujua nali alikuwa ana waua maldino hapa tz
 
Nimemsikia mkuu wa Mkoa wa Dom,aisee mama kamwaga mapesa sio mchezo.

Hata Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu amesema SSH hadi January katoa 54% ya bajeti ya Wizara,kitu ambacho hakijawahi tokea hapo awali..

Nina imani Sana na mama Kwa sababu anatekeleza sera za biashara huru kiasi kwamba sasa pesa ipo na uchumi unakua.

View attachment 2113921
Tatizo siyo kumwaga pesa ,,,,,kama unamwaga pesa na kuku wa ccm wanajilia tu kwa urefu wa kamba walizo jipimia na awachukuliwi hatua kali ya kunyongwa adharani ni bure tu ,tunataka rais dictator mzalendo mwenye kukata vichwa wahuni wote
 
Hiyo ni component muhimu sana, yaani waweke kule mtumba sembuse Kwenye Dual carriage?

Tutaanzisha hadi mashindano ya waendesha baiskeli.

Leo Mkuu wa Mkoa kasema Jiji la Dodoma hata kabla ya uzinduzi wa Leo ndio linaongoza kwa mtandao mkubwa wa barabara za lami.

Hapo bado hizo 112 + 28 plus 20 zingine zinajengwa na Tarura .
Mkuu wa mkoa kasema
 
Back
Top Bottom