sijui ni hadi lini hawa watz watakuja kuelewa kuwa gdp ya kenya $109b sio tu kwenye makaratasi ama imechongwa ......
yani from this report of AfricaBusiness2021, of 25 top companies in east africa, kenya ina 15 slots.! ikiongozwa na safaricom; ikiwa na market capitalization of $13b, and which make it to top10 list in africa!.. Tz ikiwa na 8 slots, ikiongozwa na tanzania breweries, ikiwa na market capitalization of $1.3b, na ikiwa no.90 in africa!.
then napenda vile za kenya zina dorminatiwa na finance, telecommunication etc, huku za tanganyika ziki dorminatiwa na beer na sigara. 😆
alafu unaskia mtu akisema eti gdp yetu ni ya makaratasi ama ni ya mchogo..
hoja hapa ni kwamba, maana ya kuwa na gdp kubwa ni kua, tutawabandua kwenye sekta nyingi.. (jana thru tuusan ilikua ni kwa kilimo na umeme, leo ni kwa report ya makampuni, kesho itakua ni kwa kitu kingine, and so on, and so on...).. mtakuja tu kuelewa siku moja, msije tena kusema eti gdp ya kenya ni kwa karatasi..
i ll capture a full snapshot tomorrow using tablet..
meanwhile here is the link👇🏽
Africa's Top Companies 2021: East Africa - African Business
and here is a snapshot section of the 2021AfricaBusiness report👇🏼
View attachment 2113336
View attachment 2113329