Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanga 👇 bongo tulikosa picha tu kuja hizi mbwa za kunya
malembosimbano_1644415220213468.jpg
malembosimbano_164441522021344.jpg
malembosimbano_164441522021333.jpg
 
Ubaguzi wa rangi Kwa waafrika wenzako ni ushenzi wa kupitiliza! Hata kama Wewe ni light skin, kuna uwezekano mkubwa tu ancestry yako kuna mtu ana dark skin! Na kama hujui science naomba nikueleweshe tu kuwa kupata mtoto mweupe huhitaji kuwa na partner mwenye ngozi nyeupe! Parents wenye ngozi nyeusi wanaweza kuwa na recessive genes za ngozi nyeupe na zinaweza kuwa expressed na kuwa dominant Kwa watoto wanaowazaa!

Ndio Maana kuna stories za Wazazi waafrika kuzaa watoto wenye features za wazungu, ngozi nyeupe na hata blonde hair!

Mnasema wakenya wana ukabila huku ninyi ni wabaguzi wa rangi! You’re not any better!

Kinachonikera ni kujenga standards za urembo za kipumbavu! Ndio nyie mnaowafanya wadada kutokujikubali na kuanza ku-bleach ngozi zao, wakiamini kuwa sio warembo unless ni weupe! Shame on you! You’re uneducated and stupid! Go fix your brain!
Safi sana, kachukue energy ya Azam ujibugie mzee nitakuja kulipia...

Hulka ya watz wengi wanaamini ukiwa mweupe basi wewe ni mzuri ndio manake bongo ndio inaongoza kw mikorogo hapa EA
 
Wewe ni mpumbavu kupitiliza usinipitezee muda wangu, fuatilia mazungumzo yalivyoanza kabla ya kukurupuka Kama Malaya wa Ohio streets, wacha ujinga na uanze kujiheshimu, Kama hujaelewa wapi mazungumzo yalipoanzia Bora unyamaze, mpumbavu mkubwa wewe.
Walker kaweka kila kitu sawa mzee, alafu mbona km unapinda pinda emu nyoosha maelezo na wewe basi uelewe..
Hapa hatuhitaji majungu, manake naona umetoa povu la mwaka
 
Wewe ni mpumbavu kupitiliza usinipitezee muda wangu, fuatilia mazungumzo yalivyoanza kabla ya kukurupuka Kama Malaya wa Ohio streets, wacha ujinga na uanze kujiheshimu, Kama hujaelewa wapi mazungumzo yalipoanzia Bora unyamaze, mpumbavu mkubwa wewe.
Ukiona mtu ameanza matusi ya kitoto ovyo ovyo, jua ameambiwa ukweli akaguswa mahali.
 
Jamaa analeta kijiji[emoji1787][emoji1787]
Thousands of Kenyans are building estates but huko Tanzania wacha ata tu waweke plan ya estate moja kelele inapigwa huku kama hornbill........If you doubt this make a plan to visit Nairobi and see how serious cities roll......ukibaki dar uswazi unadhani brt na ka bridge ndio mwisho wa dunia nasema pole
 
Wewe ni mpumbavu kupitiliza usinipitezee muda wangu, fuatilia mazungumzo yalivyoanza kabla ya kukurupuka Kama Malaya wa Ohio streets, wacha ujinga na uanze kujiheshimu, Kama hujaelewa wapi mazungumzo yalipoanzia Bora unyamaze, mpumbavu mkubwa wewe.
“Usinipitezee muda wangu” says someone using his valuable time typing utter bullshit. Kama maneno niliyoandika hayana ukweli ungetoa sababu, sio kunikejeli. Wewe ni mpumbavu na hujitambui. Jiweke kwenye nafasi ya mtu mwenye ngozi nyeusi halafu usome upuuzi ulioandika. Rangi zote za binadamu ni nzuri. Huu ujinga wako wa kudhani kuwa light skin equals beauty and dark skin equals ugliness inabidi uache!
 
Thousands of Kenyans are building estates but huko Tanzania wacha ata tu waweke plan ya estate moja kelele inapigwa huku kama hornbill........If you doubt this make a plan to visit Nairobi and see how serious cities roll......ukibaki dar uswazi unadhani brt na ka bridge ndio mwisho wa dunia nasema pole
Buda, Rada
 
Wewe ni mpumbavu kupitiliza usinipitezee muda wangu, fuatilia mazungumzo yalivyoanza kabla ya kukurupuka Kama Malaya wa Ohio streets, wacha ujinga na uanze kujiheshimu, Kama hujaelewa wapi mazungumzo yalipoanzia Bora unyamaze, mpumbavu mkubwa wewe.
Sihitaji kujua context ya mazungumzo yenu. Nimesoma upuuzi ulioandika na moja kwa moja nikafahamu kuwa Wewe na supporters wako kama akina Geza ni vichwa boga!
 
Back
Top Bottom