Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wabongo achana nao tu 🙌🙌🙌🙌
BADB57B2-6025-4D3B-956D-A894C8550827.jpeg
 
Narudia tena, ukweli alafu mantiki ndio yanafuata..hapo unabisha nini we bwege..

Kw mfano, binadamu wote watakufa hyo ni fact..
Lkn katika hyo argument mtu akileta logic yake hapo conclusion inaweza kuwa false, logic huenda na akili za mtu pia usione..

Kutembea na mke wa mtu haistahili hata katika jamii zetu sio jambo la kawaida (fact), lkn naeza kuja na logic zangu katika nkasema mke wa mtu akitembea na mwanaume mwingine hapo tunafanyaje...nani mwnywe makosa ujue wote hao ni watu wazima na wana hisia...

Sasa ndio pale unaambiwa ukweli utabaki kuwa ukweli( ya kwamba kutembea na mke wa mtu haifai) hata uje na mantiki ya aina gani bado utatembezewa kichapo tu
Wewe tumbili unajua maana ya neno logic au unadhani ni slum mpya kibera
 
Ubaguzi wa rangi Kwa waafrika wenzako ni ushenzi wa kupitiliza! Hata kama Wewe ni light skin, kuna uwezekano mkubwa tu ancestry yako kuna mtu ana dark skin! Na kama hujui science naomba nikueleweshe tu kuwa kupata mtoto mweupe huhitaji kuwa na partner mwenye ngozi nyeupe! Parents wenye ngozi nyeusi wanaweza kuwa na recessive genes za ngozi nyeupe na zinaweza kuwa expressed na kuwa dominant Kwa watoto wanaowazaa!

Ndio Maana kuna stories za Wazazi waafrika kuzaa watoto wenye features za wazungu, ngozi nyeupe na hata blonde hair!

Mnasema wakenya wana ukabila huku ninyi ni wabaguzi wa rangi! You’re not any better!

Kinachonikera ni kujenga standards za urembo za kipumbavu! Ndio nyie mnaowafanya wadada kutokujikubali na kuanza ku-bleach ngozi zao, wakiamini kuwa sio warembo unless ni weupe! Shame on you! You’re uneducated and stupid! Go fix your brain!
Wewe ni mpumbavu kupitiliza usinipitezee muda wangu, fuatilia mazungumzo yalivyoanza kabla ya kukurupuka Kama Malaya wa Ohio streets, wacha ujinga na uanze kujiheshimu, Kama hujaelewa wapi mazungumzo yalipoanzia Bora unyamaze, mpumbavu mkubwa wewe.
 
Wewe ni mpumbavu kupitiliza usinipitezee muda wangu, fuatilia mazungumzo yalivyoanza kabla ya kukurupuka Kama Malaya wa Ohio streets, wacha ujinga na uanze kujiheshimu, Kama hujaelewa wapi mazungumzo yalipoanzia Bora unyamaze, mpumbavu mkubwa wewe.
Aisee kuna watu wanaudhi humu! polee ustaadh..
 
Back
Top Bottom