Message sent and delivered.
Njaakali inakuja tz tujiandae kupokea misahada ya vyakula vya nguruwe kama wanavyo patiwa wakenyaWakulima msipotoboa awamu hii ya mama ndio basi tena.
SBL Tanzania ltd introduces Contract farming with credit support from NBC Bank[emoji116]
View attachment 2113479
View attachment 2113480
Economy on steroids
![]()
Nairobi buildings permits application double to Sh118bn
The value of building projects seeking permits in Nairobi more than doubled to Sh118 billion in the six months to December last year.www.businessdailyafrica.com
hawapendi kuona haya 😂😂😂
haya oneni huyu sasa 🤣🤣🤣🤣🤣Those tanzanian popstars make money from kenyan vieweres more than they do in tanzania, when they come here to perform you guys are like asante kwa kuwapa pesa, sasa unasema hawapendi kuona hayo,
Kenyana arw not jealous, if they were, hawangetengeneza hata sumni hapa, not to forget diamond was given babysteps right here in kenya , asingekuwa star bila wakenya, na yeue anajua hilo hacomplain, mwache ajibambe Take a pick and stay on it
Ameshiba nn uyu mbona anabeep watu?kwahyo wataalam wa vita nchi zingine hawapo....nchi yenyewe landlocked na maskini kulikoSasa nimemuelewa JK,huyu jamaa kumbe mpuuzi kiasi hiki?
View attachment 2113706
Acha kutukoroga mzee, watz weusi mzee[emoji1787][emoji1787]Weusi wapo na majority, ila from ur heart kati ya Kenya and Tanzania nani wana more deep dark skin? Unajua nyie mna makabila yana uwiano na Wanubi, watu wa Sudan! Those nilotics, south of Ethiopia and South of South Sudan! Sisi hatuna, sasa huwezi kukataa u have more deep dark skin than us it is just a demographic mzee! Ni kama Mganda au M-south Sudan akatae ukweli huu! Mimi naweza nikawa-challenge mlete picha zenu wote mnaobish humu na watanzania walete utakuwa shocked na results! Unless hujawahi fika Tanzania!
WEWEE BICHI KIDIMBWI SIKIZA BANA...IN TODAYS WORLD YOU DONT HAVE TO GO ANYWHERE FOR YOU TO HAVE THE REAL PICTURE AND EXPERIENCE ...AMA LABDA KWENU MKO NYUMA NISIKULAUMU BURE..SI UNAJUA TZ MLIVYO..ANY WAY...KUHUSU tz NISHAFIKA NA NILITEMBEA SANA ILA SIKUFIKA DAR.... BUT WITH DRONES AND ALL THE 4K ETC SIO VIGUMU KUJUA MIJI NA NCHI ZINGINE JINSI ZILIVYO....WACHA USHAMBA BANAKumbe namuelewesha mtu anaefanya research kutumia data za blogers! Hujui lolote wewe na inaonekana hujawahitoka kenya wewe na hata hjui quality ya barabara inapimwa kwa vigezo gani. Pia kuhusu Kilometer nyingi za paved roads huna data kaa kimya
Kwa mawazo haya tunakazi sana ili kufikia uchumi wa katiThat is your opinion.Usitake kila mtu afikiri na kutazama unavyoona wewe.Ndio maana Mimi huwa nawaona wale wanaosema JPM ni kama nyerere na kuwadharau Mwinyi,Mkapa na Kikwete ni wapumbavu kwa kua hawataki kufanya detailed analysis ya viongozi na nyakati zao,kila kiongozi amawezesha nchi kupiga hatua.Simple Mwinyi hakua na option nyingine zaidi ya kufungua uchumi the same wachina walifanya 1978 tofauti wao hawakutaka kuruhusu vitu vingine nje na uchumi walibaki na socialism kwenye tamaduni,dini,na siasa wakaingiza ubepari kwenye uchumi,Mkapa anaingia uchumi umefunguliwa lakini hatuna mtaji na wataalamu anaruhusu Western countries kuingia kama China walivyofanya sema wenzetu walituzidi kwenye kuchukua maarifa tax incentives zipo China Hadi leo kwenye technolojia mpya,Kikwete anaingia mikataba ya madini ipo inafanya kazi lakini anaikuta nchi haina miundo mbinu ya usafirishaji ya kutosha anahangaika huku na huko anasaidia kika kila mkoa unaunganishwa kwa njia ya lami,na ndio Rais aliyetoa ajira nyingi hasa kwenye utumishi wa Umma ndiye aliyekuuza uchumi zaidi na anaweka vision ya kua na SGR.JPM anaingia hahangaiki tena kuunda taasisi au kuunganisha mikoa kwa lami execpt mikoa michache kabisa anapata nafasi ya kujenga nyerere hydro power,Sgr nk ...hivyo kila mtu kafanya yake japo kila mtu anakasoro lakini hatuwezi kuwa wote wapumbavu na kubeza viongozi wetu huku tukijua ya mazuri mengi wamefanya.
Less talk, more action [emoji1139][emoji1139]
We kenyans talk less do more unlike tanzaniansEconomy on steroids
![]()
Nairobi buildings permits application double to Sh118bn
The value of building projects seeking permits in Nairobi more than doubled to Sh118 billion in the six months to December last year.www.businessdailyafrica.com