Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,922
- 103,791
Maendeleo kweli kweli
Mama anaupiga mwingi sanaWale wanaokazana kufuta legacy nadhani mmesikia alichosema SSH kuhusu mtangulizi wake.![]()
Amina Mohamed ni mjaluo sio?Waarabu sisi hku kwetu hawashiki sehemu nyeti kw kiasi kikubwa km hko kwenu..
Tanzania kuanzia usafiri wa angani, majini, barabara, vyakula, vinywaji
Data zako umetoa wapi kasome B.O.T ripoti au nunua the Citizen la leo tarehe 9.2.2022

we mlughalugha unasomaga gazeti

Kama nchi yenyu ni nchi ya ubaguzi tuwaige? Nyie kila mahali Wakikuyu!!Waarabu sisi hku kwetu hawashiki sehemu nyeti kw kiasi kikubwa km hko kwenu..
Tanzania kuanzia usafiri wa angani, majini, barabara, vyakula, vinywaji
Isije ikawa ni lile la umeme la escow katika mfumo kama wa azam
Upumbavuu mimi nilijua vitu vya mama vina testiwa nianze kumsifia uzalendo kumbe ni mambo ya past tenseKama nchi yenyu ni nchi ya ubaguzi tuwaige? Nyie kila mahali Wakikuyu!!
najua unaweza kusema na huyu ni mwarabu




usafiri wa angani ??? upi precision hamna mwarabu, Air Tz ya gov..Waarabu sisi hku kwetu hawashiki sehemu nyeti kw kiasi kikubwa km hko kwenu..
Tanzania kuanzia usafiri wa angani, majini, barabara, vyakula, vinywaji
yeah face lift kubwa imahitajika water front..kuanzia coco beach kuja agakhan, kuja ferry hadi posta ya zaman kupigwe Bay flani..na parking za boats ziwe kama za Durban au Luanda ..tukiwa na bay sehemu sehemu kama posta , kawe , mikocheni, kunduchi itafanya watu waanze kununua na kutumia boatsBRT Phase 3 itafanya mambo hapo muda si mrefu mpka akiba kule.
Angani marubani wengi machothara km sikosei kw bongousafiri wa angani ??? upi precision hamna mwarabu, Air Tz ya gov..
Majini labda Zanzibar sio lakes
Barabara ma lorry sawa...
Amina Mohamed ni mwarabu wa wapi we kolo la kolomijeAmina Mohamed ni mjaluo sio?
Naona unajitutumua sana kuubadili ukweli lkn ziiKama nchi yenyu ni nchi ya ubaguzi tuwaige? Nyie kila mahali Wakikuyu!!
najua unaweza kusema na huyu ni mwarabu
We nenda kapige punyetto mjomba huku hapakufai..
Alafu bado Kuna watu wanataka kufananisha dodoma na miji ya ovyo kama kisumu by 2025 nairobi Ndio itakua inashindana na dodoma kwa sababu dar haina mpinzani hapa ea na afrika ya katI na msipoaangalia vizur by 2030 dodoma nae atakua hana mpinzani
Njoo nikupigie ww iyo punyetoWe nenda kapige punyetto mjomba huku hapakufai..
Acha kutupigia kelele bana
hamna weusi wako wengi tu sema famous ni hao machotara ambao wengi wanasukuma 787Angani marubani wengi machothara km sikosei kw bongo
kama kuna mkenya naomba alete data za kenya kwenye parameters hizo nilizoweka ?Monthly economic review 2021 dec
Tourism revenue recovered to 1.396bil usd ..In dec 2021
Foreign reserves up to 6.3bil usd
Food reserves up to 214K Tonnes
Debt Up to 37 biil usd in Dec 2021 an increasre of 6bil usd from Dec 2020..
Out of this debt 74%is debt of central goverment
Exports up to 9.81bil usd in Dec 2021 of goods and servives from 8.55bil usd in Dec 2020..
Manufctered goods exports ... 1.2bil usd up from 900mil usd 2020
View attachment 2113828View attachment 2113834View attachment 2113835