Hapo kwenye mining,
Gold ingetupeleka mbali sana,
Kuna wachimbaji wadogo na wa kati wengi sana, wako maelfu kwa maelfu, na tungeweza kutengeneza local dollars millionaires wa kutosha hapo,
Sioni sababu ya serikali kuendelea kuuza maeneo ya uchimbaji wa dhahabu kwa wawekezaji wazungu na wachina kwenye Gold,
Gold ni rahisi mno kuipata na haihitaji advanced technology kuu process,
Locals can make it kirahisi mno.
The problem is almost maeneo yote yashauzwa kwa wagweni,
Leo ukichukua coordinates popote ukienda nazo ofisi za Madini unakuta kote kupo covered na sijui waKorea *****,
Waafrica tuna laana