Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wabongo wamekasirika humu kisa nimestate the obvious - yani mimi kuita huyu Mwarabu ni makosa. Yani wananaforce huyu awe Msukuma.🤣🤣

View attachment 2113699
huyo ni mpemba capt arif na sio mwarabu au nyinyi kua mwarabu anakuaje ??? wakenya ni watu wajinga sana dunia hii 😀😀😀
 
Sasa nimemuelewa JK,huyu jamaa kumbe mpuuzi kiasi hiki?
FB_IMG_1644399646572.jpg
 
Nyie mnaubaguzi sana. Hata wazungu og wapo na aina tofauti ya rangi zao, kuna wanoelekea ualbino na wengine uchocolate, wana macho ya rangi tofauti na nyewle rangi tofautitofauti pia. So hat Africa kuna wenye light skin bila hata kuchanganya na waasia, amerika na ulaya mfano halisi ni warangi na wachaga. Sasa usijustify kwamba uafrica ni kua mweusi tii, hiyo ni dhana aliyoandikizwa na mzungu na watumwa pekee ndo wanaokubali hiyo dhana
Uko na point nzuri, ila shida yako ni kuingia kwenye coversation bila reference to previous posts on the thread. Usidhani unanielimisha kana kwamba sifahamu kuna waafrika light skin, wenzenu wanaongea kama hamna watu weusi tii tanzania, angalia post
 
Ukichunguza sana zile sehemu ambazo unakuta waafrika light skin basi nyuma kulipitia ngozi nyeupe hata kuwa na kambi ya ki missionary na waarabu..

Huwezi tukoraga hapa na mambo yako ya kijinga, msomali asilia ni mweusi tititi na nywele sokoto mpka sasa wapo lkn sio wengi vile...
Mtaliano somalia alifanya yake, we chunguza sana kuna wasomali wanakaa km wa latino hivi kw mbali
 
Uko na point nzuri, ila shida yako ni kuingia kwenye coversation bila reference to previous posts on the thread. Usidhani unanielimisha kana kwamba sifahamu kuna waafrika light skin, wenzenu wanaongea kama hamna watu weusi tii tanzania, angalia post
Weusi wapo na majority, ila from ur heart kati ya Kenya and Tanzania nani wana more deep dark skin? Unajua nyie mna makabila yana uwiano na Wanubi, watu wa Sudan! Those nilotics, south of Ethiopia and South of South Sudan! Sisi hatuna, sasa huwezi kukataa u have more deep dark skin than us it is just a demographic mzee! Ni kama Mganda au M-south Sudan akatae ukweli huu! Mimi naweza nikawa-challenge mlete picha zenu wote mnaobisha humu na sisi watanzania walete utakuwa shocked na results! Unless hujawahi fika Tanzania!
 
I am passionate about this project by an indigenous black Kenyan to solve the health problems in his village.......This is what many visionary kenyans do silently including even building better homes for their parents.....Then you find our jealous neighbours with their usual jealousy nonsense........We keep moving
FB_IMG_1644399426577.jpg
FB_IMG_1644399450535.jpg
FB_IMG_1644399455471.jpg
 
ajue tu, akilianzisha na Museveni Tanzania itakuwa upande wa Uganda!
Nahisi baada ya Museveni kumtuma juzi kijana wake(Muhoozi kanairughabha) ni kama vile walienda kumpigia magoti ndio maana ameota pembe kiasi hiki,Hadi kuuzungumzia ukanda mzima. Hii ni kauli ya dharau Kwa majeshi ya ukanda wa Africa mashariki!
 
Back
Top Bottom