Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

T

Tatajua hatujui wapi wewe izo behewa za mgr zetu zisikupe kiburi mtatiii tuu treni za umeme zikifika
enway tungonje tu baći tuone.. usishangae tena kupigwa na bonge la li suprise kama hili hapa la mgr! 😳😳💥. kwani mta do.?!.. nothing!

i luv suluhu
 
enway tungonje tu baći tuone.. usishangae tena kupigwa na bonge la li suprise kama hili hapa la mgr! [emoji15][emoji15][emoji95]
Mnapenda kuongelea kuhusu reli wakati hamjui chochote kuhusu reli na rolling stocks. Hivyo vichwa ni vya ufundi kwaajili ya maintenance na repair ya reli ya MGR. Kama somo limeingia sasa lete vichwa vyenu vya engineering tena usilete vya MGR bali leta vya SGR tucheke kidogo.
 
la passenger....
mmamayo!

 
unataka kuanika kende za mtu hadharani! Sidhani kama wana multi function vehicle (MFV) Mchina alisahau kwa package! Let him prove us wrong! Nime-google sijaona!

CC: dyfre leta MFV yenyu tuone kwa hiyo SGR Kunyaland!
 
Ujasikia kuwa hivyo siyo vichwa vya kawaida vinakazi katika kuweka reli sawa
Leo utakwepa mpka basi, imekuaje na nyie leo mumeanza kuoenda vichwa sura mbaya..
Tena hilo lenu ni tungi kweli, liwe la nini au la nini bado ni tungi tu...
Halina tofauti na tungi la gongo
 
hivi mpo serious kabisa 😓😓hii ni kwaajili ya matengenezo ya reli ni technical train au tnaeza sema ni Gari la gereji

kama mnajichekesha ili to suit your ego then fine
waambie na wenzio akna the best na lwiva
cc. The best 007 na Lwiva 👆🏽op mmsikia hio 😆😆😆
 
hivi mpo serious kabisa [emoji29][emoji29]hii ni kwaajili ya matengenezo ya reli ni technical train au tnaeza sema ni Gari la gereji

kama mnajichekesha ili to suit your ego then fine
waambie na wenzio akna the best na lwiva
Geza kasema[emoji1787][emoji1787]

Geza Ulole hawa jamaa huaga wanakuchukia lkn bado wanatembelea nyota yako..

Hata km lkn, ndio lifanane na bomu la heroshima[emoji1787][emoji1787]
 






MY TAKE
hawa jamaa tunachapa kama tunavyotaka yaani hapa EACOP is confirmed huku SGR imebaki lot1 kufika Mwanza tena inatangazwa February hii! Huku kukiwa na lot mbili zaidi za SGR zikitangazwa mwaka huu! Tabora-Uvinza-Kigoma na Uvinza-Msongati-Gitega! Waombe Mungu wasipate machafuko hapo August kwenye chaguzi zao!
 
Geza kasema[emoji1787][emoji1787]

Geza Ulole hawa jamaa huaga wanakuchukia lkn bado wanatembelea nyota yako..

Hata km lkn, ndio lifanane na bomu la heroshima[emoji1787][emoji1787]
leta lenyu tuone linafanana vp! Nakuhakikishia SGR Kunyaland hawana MFV!
 
hawana jipya hao,tuendelee kuwaenjoy tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Brother hiyo chini ni treni ya matengenezo ya reli. Kigumu kuelewa ni nini hapo? ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…