wakenya wanajua sana kujitangaza imagine hii match itakua ni moja ya wao kutangaza utalii na fursa za kibiashara na kuonyesha dunia kwamba they did it
hapa unazungumzia wafatiliaji wa hvo vilabu viwili vikubwa ni zaidi ya watu million 50 kutoka nchi mbili tofaut, hapo bado watazamaji wanaotoka africa wapenda mpira na duniani kwa ujumla
sometimes appreciate hata kama ni maadui zako, hawa jamaa ni very smart kwenye kutumia fursa, imagine sisi tulimleta drogba aje kukagua uwanja😆😆😆😆😆 we unahisi rio frednand n drogba wamekuja bure kwa pesa zao?
View attachment 3700548View attachment 3700549