chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,120
Kupima mirahaba ya masafa, japo sio mtaalam 🥱Wataalamu wa Tekinolojia ya mawasiliano hilo dude juu ya LC ni la kufanyia nini?
View attachment 2103745
Kupima mirahaba ya masafa, japo sio mtaalam 🥱Wataalamu wa Tekinolojia ya mawasiliano hilo dude juu ya LC ni la kufanyia nini?
View attachment 2103745
Acha upumbavuu hiyo treni si imepostiwa na mkenya sasa kudhungumzia tukio ilo ni kutoka nje ya mada,tunapo sema dar vs nairobi hatumaanishi majengo tu ni kila kitu shule ,hospital ,treni, people ,tabia,vyakula, barabara ,fedha ,Ndugu yangu muda umefika sas wakuhamia jukwaa la siasa.. naona umeachana na lengo la huu uzi we unajadili siasa tu
Ngoja nikuitie mtaalamu komora096Wataalamu wa Tekinolojia ya mawasiliano hilo dude juu ya LC ni la kufanyia nini?
View attachment 2103745


Kama hivyo vichwa vimeletwa na JPM BASI VITAKUWA NA UFANISI MKUBWA yaani high efficiency na high performance, MAANA SISI HATUNA SHAKA NA MZALENDO WETU NUMBER MOJA TZ " JPM THE GREAT" ila kama vimeletwa na huyu mpumbavuu hapo tutakuwa tumepigwa ,watu watakuwa wamekula kwa urefu wa kamba walizo jipimiaHuu utoto sasa! Mama kuingia madarakani March na ku-order vichwa na kuwa delivered January! huku budget zikipitishwa mwezi wa nane!
Aah wewe maza yupo mpaka 2030Ila nasikia za chini chini 2025 atampa kijiti Mwigulu
Tafadhali baki na upofu wako...Unaharisha au unatapika? Wewe Takwimu kama hizi uliwahi kuziona wakati mnaimba pambio za kumsifu dume lenu?
Tunakula robo ya iyo keki sio mbayaTanzania tupo nao bega kwa bega, Legacy
Geza Ulole kasema kuwa viliagizwa na mzalendo no 1 tz JPM KAMA NI KWELI BASI HIVYO VICHWA VITAKUWA NA UFANISI MKUBWA SINA SHAKA NA JPM HATA KIDOGO ,ILA KAMA VILIAGIZWA WAKATI WA MAMA BASI BILA SHAKA TUTAKUWA TUMEPIGWAhttps://www.google.com/url?sa=t&sou...8QFnoECAQQAQ&usg=AOvVaw2CBVtk4X3mOkspO9jpsV2l
Kama hii Ndio kazi yake basi tupo vizuri![]()
Tafadhali baki na upofu wako...Unaharisha au unatapika? Wewe Takwimu kama hizi uliwahi kuziona wakati mnaimba pambio za kumsifu dume lenu?
Uchumi gani? Unazungumzia au uchumi wa rizimoko kuuza ngada china ,na kulipa fidia ya mradi wa bandari ya bagamoyoHaya matapishi jipake upendeze fala wewe..
JK alijenga uchumi mzuri Sana kwa wananchi na ndio Rais Samia anafuata nyayo.
Nenda ofisi yeyote ya Serikali uliza kama kuna shida ya flow ya pesa kwa sasa kama enzi za nyie washamba
Ameshachoka na hii nchi, vile alisema tu ili kusettle psychology za wasaka urais 2025.Aah wewe maza yupo mpaka 2030
Mimi ndiyo jiniasi wao hao wakina lwivaUnachoongea ndio upumbavu wenyewe.akina Lwiva ninaowajua Wana akili wewe itakua Lwiva fake.
Viliagizwa na jpm au maza sijui ila nachojua hatujapigwa kwa sababu kazi yake kwa ajili ya maintenance ya reli@Geza Ulole kasema kuwa viliagizwa na mzalendo no 1 tz JPM KAMA NI KWELI BASI HIVYO VICHWA VITAKUWA NA UFANISI MKUBWA SINA SHAKA NA JPM HATA KIDOGO ,ILA KAMA VILIAGIZWA WAKATI WA MAMA BASI BILA SHAKA TUTAKUWA TUMEPIGWA
Tatizo ni uwelewa wako? au ni miemko? Kwani hujui kutofautisha kati ya SGR na MGR? kuna sehem umeona nimezungumzia SGR? Mradi wenyew inaonekana hata kufwatilia hufwatili ila nikujifanya mbwekaji....ebu tulia tuuHivi ulimsikia mkurugenzi wa TRC wiki iliyopita.treni ya majariibio inawasili April au mwanzo wa May.Ujinga ni kupopoma bila kua na taarifa.Tatizo ni kujua kutumia smartphone tu.Kuweni na wivu wa kufuatilia vitu.Wenye akili husubiria Kwanza kabla kusema chochote.
mbona hamku design kwenu sasa 🤣🤣🤣Designed by a Kenyan company🤣🤣
is that parliament of kenya??😂😂😂
Na wewe kauze ujenge uchumiUchumi gani? Unazungumzia au uchumi wa rizimoko kuuza ngada china ,na kulipa fidia ya mradi wa bandari ya bagamoyo