Tz means business hakuna longolongo la GDP hapa huku Modern MGR kule Advanced SGR kazi ipo.Ila hata kama ni mgr hapo kuna sera za kula urefu wa kamba za mama samia na mzee wa msoga
Tz means business hakuna longolongo la GDP hapa huku Modern MGR kule Advanced SGR kazi ipo.Ila hata kama ni mgr hapo kuna sera za kula urefu wa kamba za mama samia na mzee wa msoga
Hakuna mtu asiyejua kwamba JPM ndiye Rais bora kuwahi kutokea hapa Tz kando ya Nyerere hata wakunya wa humu wanajua hilo, ukiona mtu anaongea kinyume na hivyo juwa kwamba anajiongopea mwenyewe na anajua kwamba anajiongopea, wengi wanaomponda ni wale wabinafsi waliokatwa mirija ya upigaji, ss mama yao amewaruhusu wale kwa urefu wa kamba yao ila hawatoweza na kilio utakisikia mda c mrefu.Halafu kaka kuna watu hawana akili
wanasema JPM hakufanya kitu.
Aliyefanya kazi suala la kujengwa SGR ni marehemu,aliyeleta mpango wa mabehewa kujengwa hapa hapa Tz ni marehemu,aliyefufua route ya Tanga,Kilimanjaro,Arusha ya reli ni marehemu,aliyerudisha na kufufua njia ya kupeleka mizigo kwa reli Uganda ni marehemu,aliyeleta mpango wa kuboreshwa MGR ni marehemu.
Miundo mbinu mikubwa km JNHPP marehemu halafu kuna mafala humu ndani wanamfananisha mpika urojo na mwanaumw wa kazi.
Kuna wenye wako na helicopters tano pekee😂😂😂
wanadhani GDP ni vitumbua vya uswaziKuna wenye wako na helicopters tano pekee
We nawe acha kutuchekesha.Kigamboni bridge ilifeli? Tazara flyover ilifeli? Tanzanite bridge imefeli? uongozi ni vision na utekelezaji ni matunda ya vision.Labda hujui Ubinge interchange ni project iliyokamilishwa na Kikwete JPM alitekelezwa Kama ambavyo angekuepo Rais yeyote.Tazam highway Iyovi to Mafinga(Standard Road) ilifeli? Et al
Mkuu hili dude mikosi 😂huyu mkunya kalitoa wapi hili leteni source ili tujadili vizuri 😂🤣🤣Mchana nilikua location napiga vyombo na tayari nilikua High, nilivyoliona nilishtuka sana
.
Wachw kubwata utahira hapa, uchumi gani unao uzungumzia hapa ww kizuu, maisha yamezidi ugumu watu wanalia uko apa kuimba pambio za kipuuzii,wakati unabwatuka u ajua mfumuko wa bei ukoje Tz sahii?wacha ujinga apaaTunataka uchumi urudi kwa wananchi kama hivi sio uchumi wa kupika data na kujisifia propaganda .cc sukuma gang leader lwiva![]()
Aisee hizo treni ziko tatu.
Kaka😂😂😂😂😂😂 hilo dude lipo aisee kweli.Mkuu hili dude mikosi 😂huyu mkunya kalitoa wapi hili leteni source ili tujadili vizuri 😂🤣🤣
We hiyo story ya alfulela hulela umeisikia wapi?Jicheke mwenyewe kwa kumiliki utajiri wa ujinga.Wewe unataka MGR itumie bullet train.Unaposema MGR ya JPM na ya SSH unamaanisha nini.Kipindi cha JPM kilichokuja ni vile vichwa 11 vya train vikaleta mushkeri tukatangaziwa havina mwenyewe mwisho tukaambiwa TRC imevinunua .Tatizo mnalazimisha kila mtu abaki kuimba Jimbo za kipuuuzi.
Tumia akili , kipindi tutakacho kusanya iyo 1B , ndio uje kubweka wachana na speculationAfu utampata mjinga fulani anaropoka eti " Samia tumepigwa " hakuna Rais pale.
Wadau hakuna wazee wa graphics watamu tupate T- shirt za bridge letu kama ilivyo kwa Queens, London au golden state!View attachment 2101805
Tutegemee unyama mwingi sana kuanzia kesho 🔥🔥🔥
Ni la MGR au?! mzigo una sura mbayaKaka😂😂😂😂😂😂 hilo dude lipo aisee kweli.
Yapo matatu mzee kanambia muda si mrefu maana anafanya kazi huko.
Ni za kubeba mizigo zina uwezo wa kuvuta mabehewa 35 mpk 40 ya mizigo.
Hivi hivi vitimbi ni wapi duniani vinatokea zaidi ya Tanzania ya leo ya kiwendawazimu?
Hapa kuna mazingira kweli ya kufundishia na kujifunzia au hii ni clinic?
View attachment 2102763View attachment 2102764
![]()









Acha tu nchekeee kwa utahiraaa huu ,soon tutakuw n mimba za kutoshaaaHivi hivi vitimbi ni wapi duniani vinatokea zaidi ya Tanzania ya leo ya kiwendawazimu?
Hapa kuna mazingira kweli ya kufundishia na kujifunzia au hii ni clinic?
View attachment 2102763View attachment 2102764
![]()
Ni ya metre gauge bro siyo sgr.Ni la MGR au?! mzigo una sura mbaya