Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Maumivu kama kawa. Badala ya kulialia hapa JF mbona usinunue jembe ukuje uchimbe hiyo barabara. Ama unaezaita meeting na Chinese uwaulize mbona waliamua kujenga barabara world class kama hiyo Nairobi na sio Dark is slum.yani unanionesha nn expressway ya mchina ahahahahaha 😂😂😂😂 expressway hio ambayo mchina atamiliki kwa miaka 30 na pia mutailipia huduma hio mpaka mjukuu wako