Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

only kenya and south africa. in africa!.
hio ni kidonda ndugu kwa mtanganyika

Screenshot_20220130-201555_Chrome.jpg
Screenshot_20220130-205407_Chrome.jpg

na hapa👆🏽 ni mombasa, sio na nairobi
 
Hapa umeandika nini sasa? Halafu wajinga wanalike hii comment. Assembling ni part of manufacturing process. Kulingana na kiwango cha assembling kinachofanywa, assembling inaweza kuwa kati ya 20% mpaka 50% ya manufacturing. Inategemea una-assemble nini kwenye gari na vipuri vimevunjwa kiasi gani. Kwa mfano ikiwa vipuri vinavyokuwa imported vimevunjwa kabisa yaani (totally knocked down kits) basi tegemea itachukua muda mrefu kuviunganisha vyote ili kuunda gari. Itabidi hizo parts zote ziwe welded together au bolted together na hio pia ni manufacturing. Pia kama rangi inapakwa basi lazima pawe na mashine ya kuchanganya rangi kwa ratio inayofaa na mashine ya kupaka rangi. Lazima pawe na mashine ya kupima stability ya gari ikiwa miguu zote zinalingana sawa au kama kuna tatizo. Lazima kuwe na mechanics waliosomea haya mambo ili kujua jinsi ya kuunganisha dashboard au roof, jinsi ya kuweld roof kutumia arch welding au njia nyingine ya welding, kuweld chassis ya Lorry kunahitaji ujuzi wake ikiwa chassis imekuja ikiwa totally knocked down. Vehicle assembling plants za Kenya zinaajiri maelfu ya Wakenya wanaofanya kazi hii ya kubolt na kuweld vipuri kwenye magari mapya. Kampuni hizi zinalipa ushuru kwa serikali ya Kenya. Kampuni hizi zinazuia Kenya kutumia dollars nyingi kuimport magari mapya kwa maana kuimport vipuri ni bei rahisi kushinda kuimport gari mpya. Kenya pia imeanza kuexport magari haya mapya kwa nchi jirani na hio inaleta foreign exchange kwetu. Halafu nchi zote za Afrika ambazo zinamanufacture magari zilianza kwa kuassemble magari kwa mfano South Africa na Morocco. Mtoto mdogo huanza kwa kutembea kabla ya kukimbia. Kenya itaanza kumanufacture magari kabla ya TZ kwa sababu angalau sisi tumeanza safari ilhali nyie mnaimport magari zenu zote.
Duu, hongera jamaa. Kiswahili chako kimeenda shule kiasi chake. Wenzio wanabananga saana.
 
We jamaa hivi unajua kuwa mama anaharibu plan zilizoachwa na Magu? Mfano barabara ya Kibaha - chalinze ilitakiwa kua kama ya kimara - kibaha lakini now inaenda kuwa njia nne. Stand ya mwenge iliyokua mbioni kukamilika imekua gofu ili yule kigogo walielease eneo lake kujenga stand ya makumbusho enzi za mkwere aendeee kupata commission. Sielewi kwa nini waTanzania hamuoni jinsi watu wanavyogawana cake ya taifa unless muwe na nyinyi mnapata share zenu
Unaleta story ulizoota usiku
 
Yaani kulingana ns hii ripoti East Africa's installed cement capacity ni 15 million tonnes halafu 8 million ya hio capacity iko Kenya halafu Tanzania, Uganda na Rwanda wanagawana hio 7 million iliyobaki? Hahaha. Halafu wana ubavu wa kuitisha mechi na Kenya?
Hiyo report ni ya uongo mkuu, Tz inazilisha cement zaidi kuwaliko pitia hizi data za viwanda viwili tu vinazalisha zaidi ya 3 million tonnes 👇 twiga cement 👇
Screenshot_20220130-212413_1.jpg
Simba cement Tanga report ya 2016 👇
Screenshot_20220130-212106_1.jpg
and mind you Tz iko na viwanda vikubwa vya cement vingi mno 👇, and many of these factories are producing more than 1 million tonnes annually.
Screenshot_20220130-213653_1.jpg
 
Wakenya kila walichonacho utasikia only in East and Central Africa,Wakiletewa project za Tz wanakimbilia kwenye Rebased GDP
GDP yetu imewazidi....whether you like it or not.....ni nyinyi mlianzisha hii thread ya ujinga ya kushindana na sisi..Everyone else in the whole world knows Kenya is more developed than tanganyika save for some few deluded ones on this thread like you
 
GDP yetu imewazidi....whether you like it or not.....ni nyinyi mlianzisha hii thread ya ujinga ya kushindana na sisi..Everyone else in the whole world knows Kenya is more developed than tanganyika save for some few deluded ones on this thread like you
Mtu uliyemshinda GDP anauwezo wa kuzalisha chakula kingi na anakugawia na wewe.Unayemzidi GDP anakuacha kwenye credit capacity🤣🤣🤣siku tukitumia mbinu yenu ya kirebase tutakua na GDP ya $200bln
 
Back
Top Bottom