Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Working Place

FKQPuzRXIAEN6W1.jpeg


Residing Place

FKQPuzQXoAMumIq.jpeg
 
Katika maeneo yote ya kitalii Tanzania hakuna eneo pesa nyingi zinaenda kwa mtanzania moja kwa moja kama utalii wa Kilimanjaro,

mtalii mmoja atahitajika kuwa na personal

wapishi 2
Porters 6
Guide 1
Rereva 1
Supervisor 1
Kwa siku 7
Kazalisha ajira 11 kwa week
Kwa mwaka ni kiasi gani?

Tofauti kabisa na mbugani ambapo hataengage manpower kubwa kiasi hiki.
Huko juu mkifika mnafikia wapi kwenye jengo au kwenye icho kibao cha matangazo ?,mimi napendekeza huko juu wajenge japo shehemu ya kufikia 4 zenye migahawa na madhari nzuri za kitalii
 
Uharibifu wa nature,hakuna mtu atafanya huu ujinga wako.
Huko juu kunatakiwa kuwe na huduma hata kama kwa kutoboa mlima iwe ndani kwa ndani ili pasionekane maana kuna swala la afya pia ,kwahiyo siyo lazima hizo hotel ziwe zinaonekana
 
Back
Top Bottom