Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,192
- 107,783
so wote tugeuke kua machawa kusifia upuuzi wa miss grand au sio 😆😆😆😆😆Tofauti ya wakenya na wapumbavu wengi wa kitanzania ni kwamba wao wanaijenga nchi yao no matter what, ila waTanzania wao wanashirikiana kuibomoa nchi yao kwa propaganda na uzandiki kama tu huu unaofanya wew hapa. Badala ya kushiriki kuijenga nchi unashiriki kuibomoa kisa tu haukubaliani na serikali na wapumbavu wengine wa kawaida the likes of Maria sarungi, Twaha Mwaipa na huyo muuza maku Hilder Newton, hawana mchango wowote kwenye hii nchi, sasa na wewe usijaribu kuwa kama wao.
key word: reducing its reliance on dar es salaam port alaf tuko hapa tumebakia na na kazi ya kua machawa
View: https://www.instagram.com/p/Dd6RjzZFq2E/?xtok=MWxuaGZ3emI5NnM3dQ==
sasa utaenda kuishi wap majengo yote mabovu
View: https://x.com/Amatu_4rex/status/2113592157697159600?s=20
Maoni yapi, tukianza kumnyoosha tutatumia silaha zote kali baadae yatakua ni mambo ya kuvunjiana Heshima, we love him, we respect him as our fellow Tanzanian, he better stay silent kama haoni jema kwa anavyodai, hiyo njia aliyoichagua sisi tunazo silaha kali tumeziweka huko, isijekutokea bahati mbaya akakutana nazo.
hoja gani atazitoa juzi kaja rais wa singapore aibu tunaona sisi nchi iliopata uhuru 4 yrs after tanzania, singapore ina ukubwa wa 730 km sq ambayo ni ndogo kwa dar es salaam ila mtandao wa barabara za lami kwao ni 9500km wakat sisi nchi kwetu nchi ina ukubwa wa km 947,303km sq ila tuna mtandao wa lami wa km 13000, alaf chawa anakwambia aibu utaona wewe 😆😆😆😆Yaani unamtishia mtu kisa ana maoni tofauti na wewe? Umvunjie heshima kwasababu yeye haoni unachoona wewe? Uko wapi uhuru wa maoni? Inawezekana wewe unaona TZ ni heaven mwingine akaona hell. Shindaneni kwa hoja sio matusi au vitisho.
hawana mchongo ila wanaongea kwa hoja ambazo haziwez jibiwa, usinambie maria sarungi hana hija ikiwa ww ukiulizwa hoja zake huwez kuzijibu, sio kila hoja ni lazma ikubaliane na fikra zako na haina maana kwamba fikra zako ww ni sahihiTofauti ya wakenya na wapumbavu wengi wa kitanzania ni kwamba wao wanaijenga nchi yao no matter what, ila waTanzania wao wanashirikiana kuibomoa nchi yao kwa propaganda na uzandiki kama tu huu unaofanya wew hapa. Badala ya kushiriki kuijenga nchi unashiriki kuibomoa kisa tu haukubaliani na serikali na wapumbavu wengine wa kawaida the likes of Maria sarungi, Twaha Mwaipa na huyo muuza maku Hilder Newton, hawana mchango wowote kwenye hii nchi, sasa na wewe usijaribu kuwa kama wao.
hao ni machawa kazi ya kusifia anything ahead they never think of others, wanawaza matumbo yao tuSo now you want to silence him ?.. how much you get paid as a Sisiemu goon ?… I will double it if you quit 😜🤣🤣🤣🤣
Let me show you some of the photos I took there. You can guess which is Illasit and which is Tarakea and which one has ugly architecture.I have been to Lasset and Oloitoktok.
Ugly archtecture.
Sad faces
Old bodaboda riders.
Cross border Banana Kenyan beggars
This is a Tarakea whole video.Let me show you some of the photos I took there. You can guess which is Illasit and which is Tarakea and which one has ugly architecture.
View attachment 3697288
View attachment 3697285
This is a Tarakea whole video.
No need of jaba photos.
View: https://youtu.be/qQ3sUBPjxVQ?si=hxDUpz8XtMdBm4xV
So Nairobi haikai ovyo zaidi ya hapo?Unanionyesha video za village house zilizochaguliwa carefully Mimi nakuonyesha uhalisia Wa Tarakea town.
View attachment 3697310
Maskini mnakelele sanaWhile you are begging abroad , I run an office of big staff who all call me “sir”…You are right on one thing.. tofauti yetu ni mbingu na arthi omba omba wewe…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3697147
key word: reducing its reliance on dar es salaam port alaf tuko hapa tumebakia na na kazi ya kua machawa
View: https://www.instagram.com/p/Dd6RjzZFq2E/?xtok=MWxuaGZ3emI5NnM3dQ==
www.ktpress.rw
Muambie aje kubisha hii. 😂😂😂Babu jinga linajipiga kitaulo,litakua bwabwa
That my homegirl Clara broke records of the world, her registration fees is the most expensive in the history of women football. And Infact she is the most paid woman footballer in the continent.Haya, tumekabuli, wa USA ana afya kuliko wa Kenya. Sasa tulinganishe huyo wa Kenya na hawa wa vumbistan. 🤣 🤣 🤣 🤣
Hivi kama huyo wa Kenya amekulia donkey milk si hawa wa Vumbistan watakuwa amekulia hyena milk?🤣 🤣 🤣
View attachment 3696794
View attachment 3696795
Let's compare top 10 richest people in both Kenya and Tanzania, let's see which country doesn't have blacks among the rich😂.They way they are delusional they sometimes say they have democracy, forgetting that they have the most corrupt politicians in the entire universe ,
Infact : Kama kuna mtu mweusi tajiri kenya basi lazima awe mwanasiasa, it’s so weird.
Sasa wabunge wote waneungana Kuitafuna nchi fukara ya kunya 😀😀😀
Serikali ya wakora
www.facebook.com