Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Jamaa alikua anatumia kichwa kama roundabout ya upepowith those ugly surupwenyas
Jamaa alikua anatumia kichwa kama roundabout ya upepowith those ugly surupwenyas
Mimi nazungumzia kuhusu tour vans. Kwenye tour vans mna-fabricate na hata Geza Ulole analifahamu hilo. Ila sipingi kwamba mna-assemble mabasi. NDINDA amenionyesha kiwanda hapo TZ cha kuassemble mabasi ambayo ina mashine yote ya kuassemble. Kwa hivyo mimi nakubali kwamba mna-assemble mabasi ila napinga kwamba mna-assemble tour vans. Kulingana na hio kampuni ya tour vans inavyojieleza yenyewe ni wazi wao wanafanya fabrication.Unaambiwa tuna assemble wewe unasema tuna fabricate, kwnn Wakenya mnakuwa na roho mbaya namna hii?
Mkuu Tony nimeandika kuwa Mnaimport parts mnazinganisha Kenya, Na sisi tunaimport part pia na Mabasi , Angalia Bus Inaitwa JN star na Facility zake.
View attachment 2101501
View attachment 2101502
View attachment 2101503
View attachment 2101505
View attachment 2101506
Kuhusu faida za Assembling na faida zake hamna mtu anayebisha , ila tuliyemjibu alikua na dharau . Pia BYD yenyewe inasema itampa BasiGo Mabasi ya Umeme ayauze na kutumia Kenya. Kwa kusisitiza kasema Parts zote zitaletwa Kenya na Kua assembled hapo.
View attachment 2101514
Scan translate hayo maneno chini. So wote tunaimport. Haijalishi finished or complete bado tuna import. Ndio ilikua sababu ya kujibu hivyo.
View attachment 2101519
aah wapi!.. kisumu bado inatesa ile mbaya 🔥🔥😂😂😂 Jamaa unanifurahishaga wewe, mfano hii ni R chuga city center 👇.View attachment 2101164View attachment 2101168View attachment 2101172View attachment 2101175View attachment 2101178View attachment 2101180View attachment 2101182kisumu village center and it's best neighborhoods👇View attachment 2101184View attachment 2101186View attachment 2101187View attachment 2101188hivi kweli classic city kama chuga ufananishe na huu uchafu.? 😂😂😂 Kipoison.? Unaakili timamu wewe.?
Yaani kulingana ns hii ripoti East Africa's installed cement capacity ni 15 million tonnes halafu 8 million ya hio capacity iko Kenya halafu Tanzania, Uganda na Rwanda wanagawana hio 7 million iliyobaki? Hahaha. Halafu wana ubavu wa kuitisha mechi na Kenya?
idiot didn't notice that he had scored an own goalaah wapi!.. kisumu bado inatesa ile mbaya![]()
Makumbusho ya sasa hv hiyo hapo.The audacity of danganyikas 😂😂
Huna aibu msee kuongea about garbage when kwenu kuko hivi?
View attachment 2099245View attachment 2099246View attachment 2099247View attachment 2099248
View attachment 2099250
Hii ndio miaka kumi nyuma 😂😂😂😂😂😂
Any Toyota hiace you will see in Tanzania there is high probability that it was assembled in Kenya😂😂
1990 🤡🤡
Iyo barabara inafaa iwe njia sita mbili za kati za mwendokasi ila sasa watu wamejenga jenga kwenye hifadhi ya barabara sijui itakuajeHili zoezi la kupunguza foleni huku halitakamilika kama barabara ya kawe/mbezi beach haitapanuliwa kua njia nne sasa waishamuua jembe letu tusubiri tu hopelessly
Tanzania ina produce more cement than Kunyaland! Hiyo report inadanganya!
Nchi hii ina umeme wakumwaga ila basi tuu uzembe wa vingozi Ndio unatuangush, by end of February tunaongeza more than 250 megawatts kwenye gridi ya taifa, by end of next year tutakua na surplus ya over 2500 megawatts kuna nchi huko zijiandae kununua umeme kwetu wa bei nafuu
Zimbabwe hawa Magufuli aliwapelekea msaada wa Chakula 2019 tu hapo.
Hakika Wasomali ni wachapa kazi na watafutaji mno, uchumi wa kenya by 65% umekamatwa na hawa watu
Nimeangalia hii video nakakubali, wakenya mnapaswa kuwa heshimu Wasomali haswa sio tu sababu wengi wenu ni housemaids wao bali pia ni walipa kodi wa kubwa