Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

any tourvan u (warbus) u see in Kunyaland is being fabricated by Tanzanian company as already patented and underlicenced by Toyota! So now tell us between Hiace and tourvan which one is usually costing more? As Hiace in Tanzania and Kenya r most reconditioned!

0b08bdf1-2ae7-4c92-a328-ffe8b33f736e.jpg

Sorry Kenya's electric tour vans are not from Tanzania. All electric tour vans in Kenya are made by Opibus in Nairobi.
 
Anataka kusema hayo mabus wametengeneza wenyewe au? Hii ni sawa na zile hela alizodownlod.
Anataka kusema BYD ni yao, Au kuna ki kampuni kinanunua hayo mabus kuyatumia Kenya. Na ana Audacity kukandia nchi nyingine eti import wakati wao nao wanabeba kila kitu China. Backward country inajengewa kila kitu na Nchi nyingine . Kweli ule usemi umetimia. NYANI HAONI KUNDULE.
Hapa umeandika nini sasa? Halafu wajinga wanalike hii comment. Assembling ni part of manufacturing process. Kulingana na kiwango cha assembling kinachofanywa, assembling inaweza kuwa kati ya 20% mpaka 50% ya manufacturing. Inategemea una-assemble nini kwenye gari na vipuri vimevunjwa kiasi gani. Kwa mfano ikiwa vipuri vinavyokuwa imported vimevunjwa kabisa yaani (totally knocked down kits) basi tegemea itachukua muda mrefu kuviunganisha vyote ili kuunda gari. Itabidi hizo parts zote ziwe welded together au bolted together na hio pia ni manufacturing. Pia kama rangi inapakwa basi lazima pawe na mashine ya kuchanganya rangi kwa ratio inayofaa na mashine ya kupaka rangi. Lazima pawe na mashine ya kupima stability ya gari ikiwa miguu zote zinalingana sawa au kama kuna tatizo. Lazima kuwe na mechanics waliosomea haya mambo ili kujua jinsi ya kuunganisha dashboard au roof, jinsi ya kuweld roof kutumia arch welding au njia nyingine ya welding, kuweld chassis ya Lorry kunahitaji ujuzi wake ikiwa chassis imekuja ikiwa totally knocked down. Vehicle assembling plants za Kenya zinaajiri maelfu ya Wakenya wanaofanya kazi hii ya kubolt na kuweld vipuri kwenye magari mapya. Kampuni hizi zinalipa ushuru kwa serikali ya Kenya. Kampuni hizi zinazuia Kenya kutumia dollars nyingi kuimport magari mapya kwa maana kuimport vipuri ni bei rahisi kushinda kuimport gari mpya. Kenya pia imeanza kuexport magari haya mapya kwa nchi jirani na hio inaleta foreign exchange kwetu. Halafu nchi zote za Afrika ambazo zinamanufacture magari zilianza kwa kuassemble magari kwa mfano South Africa na Morocco. Mtoto mdogo huanza kwa kutembea kabla ya kukimbia. Kenya itaanza kumanufacture magari kabla ya TZ kwa sababu angalau sisi tumeanza safari ilhali nyie mnaimport magari zenu zote.
 
Bitter pills for tanzanians to swallow.
 
any tourvan u (warbus) u see in Kunyaland is being fabricated by Tanzanian company as already patented and underlicenced by Toyota! So now tell us between Hiace and tourvan which one is usually costing more? As Hiace in Tanzania and Kenya r most reconditioned!

0b08bdf1-2ae7-4c92-a328-ffe8b33f736e.jpg

wewe tofautisha kati ya fabrication na assembling. Fabrication mnayofanya nyie ni mnanunua magari yakiwa tayari yameundwa na kukamilika kisha mnaanza kuikata kata na kuiextend na kungeza roof inayofunguka kwa juu na kadhalika. Hio ni kitu kidogo sana ukilinganisha na asembling ambayo Kenya inafanya ambapo tunaimport totally knocked down kits yaani gari ikiwa imevunjwa hadi ikawa vipuri vidogo vidogo na inachukua welding, na bolting na painting na other types of assembling procedures ili kuifanya iwe gari kamili. Sisi hatuimport gari ikiwa kamili kama mnavyofanya nyie, sisi tunaimport vipuri vidogo vidogo na kuviunganisha.
 
Hii ng'ombe haijui Kenya has a Somali tribe who are actual Kenyan citizens 😂😂😂😂
Not to mention that idiotic 65% figure is just nonsensical.
Eastleigh ambayo ndio imebeba uchumi wote wa Nairobi ni Somali tupu 😂😂😂
 
Hapa umeandika nini sasa? Halafu wajinga wanalike hii comment. Assembling ni part of manufacturing process. Kulingana na kiwango cha assembling kinachofanywa, assembling inaweza kuwa kati ya 20% mpaka 50% ya manufacturing. Inategemea una-assemble nini kwenye gari na vipuri vimevunjwa kiasi gani. Kwa mfano ikiwa vipuri vinavyokuwa imported vimevunjwa kabisa yaani (totally knocked down kits) basi tegemea itachukua muda mrefu kuviunganisha vyote ili kuunda gari. Itabidi hizo parts zote ziwe welded together au bolted together na hio pia ni manufacturing. Pia kama rangi inapakwa basi lazima pawe na mashine ya kuchanganya rangi kwa ratio inayofaa na mashine ya kupaka rangi. Lazima pawe na mashine ya kupima stability ya gari ikiwa miguu zote zinalingana sawa au kama kuna tatizo. Lazima kuwe na mechanics waliosomea haya mambo ili kujua jinsi ya kuunganisha dashboard au roof, jinsi ya kuweld roof kutumia arch welding au njia nyingine ya welding, kuweld chassis ya Lorry kunahitaji ujuzi wake ikiwa chassis imekuja ikiwa totally knocked down. Vehicle assembling plants za Kenya zinaajiri maelfu ya Wakenya wanaofanya kazi hii ya kubolt na kuweld vipuri kwenye magari mapya. Kampuni hizi zinalipa ushuru kwa serikali ya Kenya. Kampuni hizi zinazuia Kenya kutumia dollars nyingi kuimport magari mapya kwa maana kuimport vipuri ni bei rahisi kushinda kuimport gari mpya. Kenya pia imeanza kuexport magari haya mapya kwa nchi jirani na hio inaleta foreign exchange kwetu. Halafu nchi zote za Afrika ambazo zinamanufacture magari zilianza kwa kuassemble magari kwa mfano South Africa na Morocco. Mtoto mdogo huanza kwa kutembea kabla ya kukimbia. Kenya itaanza kumanufacture magari kabla ya TZ kwa sababu angalau sisi tumeanza safari ilhali nyie mnaimport magari zenu zote.

Mkuu Tony nimeandika kuwa Mnaimport parts mnazinganisha Kenya, Na sisi tunaimport part pia na Mabasi , Angalia Bus Inaitwa JN star na Facility zake.

IMG_4297.jpg

IMG_4295.jpg

IMG_4293.jpg

IMG_4291.jpg

IMG_4292.jpg

Kuhusu faida za Assembling na faida zake hamna mtu anayebisha , ila tuliyemjibu alikua na dharau . Pia BYD yenyewe inasema itampa BasiGo Mabasi ya Umeme ayauze na kutumia Kenya. Kwa kusisitiza kasema Parts zote zitaletwa Kenya na Kua assembled hapo.

IMG_4303.jpg

Scan translate hayo maneno chini. So wote tunaimport. Haijalishi finished or complete bado tuna import. Ndio ilikua sababu ya kujibu hivyo.

IMG_4302.jpg
 
Mkuu Tony nimeandika kuwa Mnaimport parts mnazinganisha Kenya, Na sisi tunaimport part pia na Mabasi , Angalia Bus Inaitwa JN star na Facility zake.

View attachment 2101501
View attachment 2101502
View attachment 2101503
View attachment 2101505
View attachment 2101506

View attachment 2101514

View attachment 2101519
Kenya ina uwezo wa kufanya vehicle assembly zote both CBU complete built units na CKD complete knockdown units. Wewe unaongelea about CKD ambayo kazi nikuunganisha readily built parts za gari ambayo ilitengenezwa nchi ingine. Basi za Tanzania zile munanunua kama imports zimefanyiwa assembly hapa Kenya na fabricators kama LSHS na Banbros.
 
Aawapii leta the assembly line yako!
 
wewe tofautisha kati ya fabrication na assembling. Fabrication mnayofanya nyie ni mnanunua magari yakiwa tayari yameundwa na kukamilika kisha mnaanza kuikata kata na kuiextend na kungeza roof inayofunguka kwa juu na kadhalika. Hio ni kitu kidogo sana ukilinganisha na asembling ambayo Kenya inafanya ambapo tunaimport totally knocked down kits yaani gari ikiwa imevunjwa hadi ikawa vipuri vidogo vidogo na inachukua welding, na bolting na painting na other types of assembling procedures ili kuifanya iwe gari kamili. Sisi hatuimport gari ikiwa kamili kama mnavyofanya nyie, sisi tunaimport vipuri vidogo vidogo na kuviunganisha.
Unaambiwa tuna assemble wewe unasema tuna fabricate, kwnn Wakenya mnakuwa na roho mbaya namna hii?
 
Mkuu Tony nimeandika kuwa Mnaimport parts mnazinganisha Kenya, Na sisi tunaimport part pia na Mabasi , Angalia Bus Inaitwa JN star na Facility zake.

View attachment 2101501
View attachment 2101502
View attachment 2101503
View attachment 2101505
View attachment 2101506

Kuhusu faida za Assembling na faida zake hamna mtu anayebisha , ila tuliyemjibu alikua na dharau . Pia BYD yenyewe inasema itampa BasiGo Mabasi ya Umeme ayauze na kutumia Kenya. Kwa kusisitiza kasema Parts zote zitaletwa Kenya na Kua assembled hapo.

View attachment 2101514

Scan translate hayo maneno chini. So wote tunaimport. Haijalishi finished or complete bado tuna import. Ndio ilikua sababu ya kujibu hivyo.

View attachment 2101519
Ni wagumu kuelewa cjui shule wanaenda kufanya nn, subiri wakujibu uone watarudia tena yale yale.
 
Back
Top Bottom