Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

only kenya and sa. in africa!.
hio ni kidonda ndugu kwa mtanganyika

View attachment 2101638View attachment 2101636
Mimi hata sioni cha kutamba hapa, utaassemble vipi hiace DSM wakati hazina soko, Hujiulizi kwanini hiace na sio coaster?. Same way to isuzu na ndio maana hamtakaa mnunue magari mengine kwaajili ya BRT, matatu is there to stay kwakuwa ndio mteja mkubwa wa isuzu na isuzu hawatakubali muache kutumia canter kwa kusafiria
 
Zanzibar
20220129_103449.jpg
 
Mtu uliyemshinda GDP anauwezo wa kuzalisha chakula kingi na anakugawia na wewe.Unayemzidi GDP anakuacha kwenye credit capacity🤣🤣🤣siku tukitumia mbinu yenu ya kirebase tutakua na GDP ya $200bln
mnangoja nn?. muli rebase in 2013, na sisi 2014.. mukiapisha, tuna apisha
 
GDP yetu imewazidi....whether you like it or not.....ni nyinyi mlianzisha hii thread ya ujinga ya kushindana na sisi..Everyone else in the whole world knows Kenya is more developed than tanganyika save for some few deluded ones on this thread like you
Sasa ndio uweke hapa hivyo vitu vinavyofanya muwe developed kuliko Tz hasira pelekea jubilee
 
Mtu uliyemshinda GDP anauwezo wa kuzalisha chakula kingi na anakugawia na wewe.Unayemzidi GDP anakuacha kwenye credit capacitysiku tukitumia mbinu yenu ya kirebase tutakua na GDP ya $200bln
mnadhani ni vitumbua za uswazi........nyinyi mkirebase mnashuka hadi 40.........very poor country
 
Hiyo report ni ya uongo mkuu, Tz inazilisha cement zaidi kuwaliko pitia hizi data za viwanda viwili tu vinazalisha zaidi ya 3 million tonnes twiga cement View attachment 2101709Simba cement Tanga report ya 2016 View attachment 2101710and mind you Tz iko na viwanda vikubwa vya cement vingi mno , and many of these factories are producing more than 1 million tonnes annually. View attachment 2101712

Magari kutoka Kenya yamejaa Tanga pale MLL yanafata clinker.
 
wewe kilaza sana, somalis are full kenyans just like the kikuyu or luo etc. our electoral commission and kenya police were once headed by somalis. infact somalis comprise upto 6% of kenyan population, even ahead of meru, kisii and so on.. View attachment 2101620
Hii case vipi hii? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Anatafuna mishahara ya Wakunya kumbe roho na nafsi vipo Mogadishu home 😂😂😂😂

images (37).jpeg


images (38).jpeg


2022-1-31_1-35-11.PNG
 
Good Morning Dar es salaam,Good morning Tanzania

View attachment 2101673

View attachment 2101674
Nashangaa kuona Wabongo mnaambiwa muanze kulitumia daraja siku ya juma nne kabla ya mama kulizindua rasmi? Si mama angelizindua kwanza ili na nyie vigogo muanze kulitumia daraja? Au mama hapendi mbwembwe za uzinduzi wa miradi? Uzinduzi wa miradi ni njia rahisi ya yeye kupata uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom