Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ndugu umebishiwa!?
😂😂😂😂😂 umeelewa mie nimelenga nini!?
Sijakataa usemacho hata Trump baada ya uongozi wake ana kesi za lobbying zinamuandama.
HAKUNA ANAYEMUABUDU MAREHEM FUTA HUO UJINGA.
NARUDIA HAKUNA MWENYE MEMA YOT AU MABAYA YOTE.
ILA UNAKOSEA KUMFANANISHA MAREHEM NA SAMIA.
MKUU UKITULIZA KICHWA UTAELEWA NIMELENGA NN.
sawa at least huonyeshi psyche attitude towards him!
 
Kenya ni jalala la mavi msee.View attachment 2099084
The audacity of danganyikas 😂😂
Huna aibu msee kuongea about garbage when kwenu kuko hivi?
3.jpg
1.jpg
8.jpg
2.jpg


IMG_20220129_091114.jpg
 
Tunaangalia uchapa kazi siyo kabila,tafuta hotuba za nyerere alisema hatakama mtu atakuwa kabila gani kinacho takiwa ni uwezo wa kiuongozi
nani mchapakazi? Msukuma sio? let me reserve my comments kabla hii maneno haijaenda mbali!
 
Kwani ndugu umebishiwa!?
umeelewa mie nimelenga nini!?
Sijakataa usemacho hata Trump baada ya uongozi wake ana kesi za lobbying zinamuandama.
HAKUNA ANAYEMUABUDU MAREHEM FUTA HUO UJINGA.
NARUDIA HAKUNA MWENYE MEMA YOT AU MABAYA YOTE.
ILA UNAKOSEA KUMFANANISHA MAREHEM NA SAMIA.
MKUU UKITULIZA KICHWA UTAELEWA NIMELENGA NN.

You're wasting your time broo.
 
Aawapii Wasukuma walikuwa juu ya wengine angalia nominations! Huwezi tambua kwavile inawezekana nawe ni ngosha! Wee acha bwana kuna watu wamenyanyaswa kinoma kisa itikadi! Huo utakatifu unajaribu kumpa mwendazake hakuwa nao! Funika kombe mwanaharamu apite!
Kwa hiyo mama naye anapendelea watu wa pwani, kwa hiyo tuite Pwani Gang?
Angalia nominations kama ulivyo sema.
 
wafanyabiashara kibao sio watu wa uongozi tena wa Kaskazini wamenyang´anywa fedha zao kwa kesi za kuzusha hawajapelekwa mahakamani wala hawajatozwa faini ila account zilifungwa fedha zikaporwa na zisiingizwe serikalini! Kama si siasa zenye ukabila hiyo ni nini? JPM alikuwa mkabila tena mwenye roho ya kwanini ukweli usemwe bila kupepesa! Saahii wanahangaika kudai fedha zao! Plse nyamaza mzee utanifanya niongee mengi niwaudhi wenzio wanaomwabudu! Taifa bila haki ni majanga pia!
Mwenyezi Mungu alimwondosha muda muafaka, maana angekaa mpaka 2025 angeliacha taifa limegawanyika vipande vipande
 
Back
Top Bottom