[emoji1787][emoji1787][emoji1787]DON, hebu ntoo uone hii.. eti this is the entire mwanza town [emoji38][emoji38]
nimecheka yangu yote[emoji38][emoji38]
View attachment 2099629
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani me mwenyewe nacheka mpaka saivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo movies ipunguze uhalisia kidogo, wao wanaigiza, kunyaland police force inareport kama murder case [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena jina la eneo, mtuhumiwa na arresting warrant tayari wanavyo [emoji28][emoji28][emoji28]
East and Central Africa itapata kuwa na bridge kama hii baada ya miaka 200 ijayo, aki vile [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kijana, kwenye suala la greenery and green spaces Nairobi ipo juu ya miji nyingi sana hapa Africa, not just Dar. Na ndio maana inaitwa "the green city in the sun". Nairobi iko hadi na forests ndani yake (Ngong forest na Karura forest). Nipe aerial views kama hizi Kutoka Dar showing this level of greeneryWe acha ubishi mkaka sijui mdada.
KIGAMBONI INA MISITU YA KUPANDWA MINGI KULIKO NAIROBI YOTE.
KIGAMBONI APARTMENT ZAKE ZA WATUMISHI ,NSSF NA AVIC TOWN KOTE KUMEZUNGUKWA NA UOTO WA ASILI.
NA NAN KAKUDANGANYA MASAKI NDIO MTAA WA KISHUA PEKE AKE?MBEZI MAKABE,MBEZI BEACH,TEGETA,KIGAMBONI (KISOTA,MWONGOZO,AVIC,) UNAPAACHAJE?
ACHA KUKARIRI MAISHA
You can`t get a landing view like this in Tanzania😂😂
Tatizo Wakunya wapo addicted sana na mambo ya Tanzania, Tanzania lives in the hearts rent free, movie yenyewe 99% ya Watanzania hawaijui ila Kunyaland ipo kwenye jalada la DPP 😂😂😂🙌🙌🙌Hahahah,
Haki inabidi bongo movie waachie clip nyingine [emoji3][emoji3][emoji3]
You are correctThat must be heading to Wilson Airport if I am not wrong
naona unashangilia kuliko ata magaidi wenyewe,,,yani kwa akili yako finyu unafikiria shambulizi ikitokea Kenya uchumi wa tanganyika itapaa juuSasa unanililia mm ndiye niliyesababisha nchi yenu iwe hatari?
Mm raha yangu ni pale nikiona wakunyaland wakitaabika ili tuzidi kuwapa misaada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unashangilia kuliko ata magaidi wenyewe,,,yani kwa akili yako finyu unafikiria shambulizi ikitokea Kenya uchumi wa tanganyika itapaa juu
am not surprised with this kind of thinking...If the whole president can say "barakoa is not useful,in fact it should be handed to women ndio watumie kama sidiria"what about mwananchikuna siku wakunya walisifia sijui bendera ile au sijui nn ile eti imepostiwa kwenye hili jengo.. kumbe walilipa[emoji23][emoji23] ujinga tu
View attachment 2099690