Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Louder for the people at the back
Yet they want to compare Mombasa na Dar😂😂. Mombasa has more vehicle assembly plants than all other East African countries combined outside Ethiopia.
 
huuu mji hata usiongee heri unyamaze sijui utanidanganya nn wewe 🤣🤣🤣🤣🤣
 
DON, hebu ntoo uone hii.. eti this is the entire mwanza town 😆😆
nimecheka yangu yote😆😆
View attachment 2099629
picha kama hii unaweza itaka 😃😃
8CCA5170-1442-4E3D-B335-85CD95346F37.jpeg
 
Acha upuuzi unaanzaje kitu kipya wakati hujamaliza kilichoanza.Serikali ni moja tu mbona tumlisifu JPM kwa kumalizia Terminal 3,Kigamboni bridge,BRT,Kuendeleza TAZAM highway,Kuundeleza taasisi ya Moyo ya kikwete,Japo aliua mradi wetu wa Mchuchuma na Liganga.
Achana na wasenge hao,unajichosha bure maana Wana chuki na Samia..

Mtu wao zaidi ya propaganda hakuna cha maana alifanya zaidi ya kuruka ruka kushika shika ilimradi Bora liende.

At last mamiradi yoote kaachiwa Samia na ataweka signature

Screenshot_20220130-085719.png


Screenshot_20220130-085517.png


Screenshot_20220130-085557.png


Screenshot_20220130-084418.png


Screenshot_20220130-085046.png
 
Ukweli ni kwamba wazanzibari hawajawai kuwa na akili hata siku moja ndiyo maana hakuna mzenji hata mmoja kwenye uongozi amewai kuwa na hotuba za kijasiri na kizalendo zenye logic ambazo zinaweza kutumika redioni hata siku moja ,cheki hata mama sa100 hakuna hotuba hata moja yenye akili ,kama ipo niwekee hapa ,tofauti na Nyerere na Magufuli hotuba zao zinawatisha wahuni wote serikalini na ccm hadi sasa japo wenyewe wamekwisha kufa,
Ndiyo maana wahuni wamezuia hotuba za magufuli maredioni ,wahandishi wa habari wamefumbwa midomo na wamiliki wa vyombo vya habari kwa maagizo kutoka kwa mama samia na muhuni kikweti wakishirikiana na matajiri mafisadi na majangiri ,pamoja na wauza ngada ,kumdhibiti MAGUFULI ALIYE KWISHA KUFA
Rubbish,zama za Giza zilishazikwa Chato kitambo Sana 🚮🚮
 
imagine upper hill ndani, kilimani ndani ,CBd ndani sijui hua munashindana nn hapa 😂😂
Najua huwa unachukia kuona all the Nairob districts captured in picture🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom