Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wats
Mm raha yangu ni pale nikiona wakunyaland wakitaabika ili tuzidi kuwapa misaada
Watanzania wengi sana wana taabika,ukija ata hapa Nairobi wengi wao wanafanya kazi ya umalaya, wengine wanauza mitumba, wengine ni omba omba,wengine wamekimbia urogi... lakini hatufurahi hali yao lakini tunawasaidia bila kuwaitisha hela
 
Westlands vs upperHill
global_gala-post-2022_01_28_18_18.jpeg

steve_musembi.photography-post-2022_01_28_20_25.jpeg
 
Dar hakuna green spaces na leafy suburbs kama za Nairobi and that's why mkiona picha za leafy suburbs za Nairobi you console yourselves by saying Nairobi ni misitu. Kitu hamjui ni kwamba chini ta hizo "misitu" as you call it ni nyumba za Kiana.

And then we all know your best neighbourhoods can't come close to our best neighbourhoods. Masaki yenyewe ni apartments kushoto kulia na ndio mtaa WA kifahari kuliko zote Dar and Tanzania at large. You can't get apartments in places like Muthaiga, Runda, Karen, Loresho, Kyuna, Gigiri and such places.
Point yako ni nini? Kwamba best neighborhood haiwezi kuwa na apartments?
 
Rites walikodishiwa behewa za TRC duniani kote reli huvunjwa katika sehemu 3 njia ya reli, signalling na rolling stock. Sasa njia ya reli na signalling ni vya serikali ila kila mtu anauwezo wa kuweka rolling stock zake juu ya hiyo reli na tukashindana pamoja na TRC katika kutoa huduma. Na mtindo huu haushii kwenye reli tuu hata kwenye umeme kuna generation, transmission na distribution sasa unaweza ukawa na distributers wa umeme wengi ambao wanashindana kutoa huduma bora kwa faida ya mteja. Distributers kazi yao kuuza umeme kwa wateja na kulipia gharama za generation na transmission hivyo hivyo kwenye reli naweka vichwa vyangu na mabehewa yangu natoa huduma kwa wateja halafu nalipia kutumia njia ya reli na gharama za signalling
Naona hatuelewani ngoja niachane na hilo.
 
They always copy what Kenya does, they can`t make their own decision.

 
Kijana, kwenye suala la greenery and green spaces Nairobi ipo juu ya miji nyingi sana hapa Africa, not just Dar. Na ndio maana inaitwa "the green city in the sun". Nairobi iko hadi na forests ndani yake (Ngong forest na Karura forest). Nipe aerial views kama hizi Kutoka Dar showing this level of greenery View attachment 2099836View attachment 2099843View attachment 2099844View attachment 2099846View attachment 2099847View attachment 2099849View attachment 2099851View attachment 2099852View attachment 2099853View attachment 2099856View attachment 2099857View attachment 2099858View attachment 2099860
Hee jamani huyu kiumbe mbishi sana.
Hayo maeneo nilokutajia ni misitu ilopandwa iko pembezoni mwake.
Planted forests.Halafu wilaya ya Kigamboni ni kubwa kinyama naweza sema ni robo ya hiyo Nairobi.
 
Wats

Watanzania wengi sana wana taabika,ukija ata hapa Nairobi wengi wao wanafanya kazi ya umalaya, wengine wanauza mitumba, wengine ni omba omba,wengine wamekimbia urogi... lakini hatufurahi hali yao lakini tunawasaidia bila kuwaitisha hela
Mm tangu nakua sijawahi kusikia Mtz anaenda Kenya kutafuta maisha, yn sijawahi sikia kabisa wala nisiongope.
 
Back
Top Bottom