Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I don`t know why we are still having this debate.

1643476663899.png
 
Hilo gap limeongezeka.zaidi miaka 6 iliyopita,tumepoteza kwenye economy Sana.

Ila naamini kwa mwendo tunaoenda sasa ,tutapunguza hilo gap ndani ya miaka ya Samia.
Hapa hakuna hope. Ni kujipa tu matumaini posipo na matumaini. Na vile naona mnamrushia maneno makali mama Samia humu ndani! Wengi wenu washapoteza imani naye
 
Sasa kati yangu na wewe nani mbishi. Mimi natumia picha kudhibitisha madai yangu wewe unatumia maneno umetoa akilini. Kojoa ulale nanii!
We kigamboni umefika?
Aishh embu nikuache ule githeri.
 
I hope the next president will be like Uhuru in his second term. The next President akianza term yake na speed yenye Uhuru saa hii anaendesha nayo nchi then I`m sure we will be far by 2025.
Let's cross our fingers. Naona wenzetu wanatuombea sana tuwe na civil strive after elections but God will not grant them their wish
 
Huo uchumi wenyewe hauna tija kwa wananchi kiasi karne hii mnapewa misaada ya chakula.
Huenda tunapokea misaada ya chakula but we don't have 28 million people living in extreme poverty. That's almost half your population
 
Hapa hakuna hope. Ni kujipa tu matumaini posipo na matumaini. Na vile naona mnamrushia maneno makali mama Samia humu ndani! Wengi wenu washapoteza imani naye
Washapoteza imani nae kwa ishu gani? Not on economy bali kwa kuwa ni mwanamke na ni Mzanzibar,watu wa Bara hasa wafuasi wa marehemu ndio Wana chuki na sababu ni kwa vile ameamua kuwa opposite na staili ya Mwendazake ya uongozi na wengine kawatoa..

Keshawaweka pembeni kwenye madaraka na wengine wako mahakamani.

Otherwise kwenye metrics za Uchumi amesha mu outshine Mwendazake kwa mda mfupi Sana.

Lini uliwahi kuona Economy inakua kwa 5% kwa miaka yote ya Mwendazake? Ndio maana walipoona Hali mbaya wakaanzisha propaganda kali na sheria za kufuatilia watu mitandaoni na sheria za Takwimu Ili kuficha madudu,wakawa wanapika Takwimu..

Lakini saizi kila mradi unaenda,imagine mama anajenga vituo vya afya 202 at once wakati miaka yote Sita Mwendazake alijenga less than 100..

Ministry zote unazozijua wewe,Samia ka double budget,etc..Kwa mda mfupi tumeshawashikisha adabu nyie Wakenya,tuna trade surplus,kumbuka with Mwendazake ilikuwa ni migogoro daily..

Kwani wewe huoni Takwimu humu tunavyowakimbiza? 😄😆

Screenshot_20220129-203935.png


Screenshot_20220129-204317.png


Screenshot_20220129-204007.png
 
Apartments deprive people of privacy and shouldn't be found in secluded neighbourhoods, where privacy is of utmost importance to residents. That's my point. And that's why Karen was named one of the leading residential areas in the world
Aisee!
 
Huenda tunapokea misaada ya chakula but we don't have 28 million people living in extreme poverty. That's almost half your population
hapana nicxie, we never 'pokea' but rather we 'purchase' frm whichever country that can fix our needs, even as far as mexico coz we have the financial muscle, we have the economy
 
Back
Top Bottom