Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilidhani magari mengi yanaletwa na vessel ya aina hii ingawa makontena pia huwa yana magari ndani.

Je hiyo idadi ya makontena ni makontena yenye magari pia?

View attachment 2086785
Kwa makadirio ya chini kila mwezi TZ yanaingia magari 8,000. Na katika hayo asilimia 70 yanabaki hapa as ni local import na yanayobaki ndio yanakwenda nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuusan don't mind them........people who went to school understand you perfectly. You have back up facts and not vijiweni shenanigans
 
Southern bypass
FB_IMG_1642527834511.jpg
 
Tuusan don't mind them........people who went to school understand you perfectly. You have back up facts and not vijiweni shenanigans
Kwamba una msoft ili aendelee kukufurahisha kwa kuongea vitu irrelevant, usizan tuusan ni primary school dropout kama wewe, anaelewa intension yako jibwa wewe.
 
View attachment 2077146
Stop embarrassing yourself

Kila mtu anajua hiyo maneno. The differences are, while you are using fossil fuel, we use hep.
While you use endogenous system to power your locomotives, we use exogenous system. You pollute the environment all over the way, while ours is a climate smart one. Need say more!!?
 
Rwanda inataka iwe ndio kituo kikubwa cha kuunganisha DRC, Burundi hata na Uganda kwa sgr lakini Tz ikaliona ,ndio maana Burundi inachukukia msongati.
Nashauri ni bora kipande cha isaka-Rusumo Sgr kabla ya kufika rusumo ichepuke kwenda bujumbura na nyingine iendelee mpaka kigali halafu DRC watachagua wachukulie wapi kulingana na kipaumbele chao ndege wawili wamepigwa kwa jiwe moja na muda utaokolewa.
Mwaka 2024 reli yote toka Dar to Mwanza inakamilika .
Sasa kipande cha Rusumo kikianza Mwaka Huu maanake kitakamilika 2024.
Hapo hapo Treni ya Dar - Dodoma itakuwa imefanya kazi miaka 2 na kupata uzoefu .
 
Back
Top Bottom