you see for example such a soul arguing with a list that has all the countries worldwide.........its shocking to them that their poor tanganyika is a minnow in world stage........we tell you the truth but you deny and resort to insults as usualLabda ungefuatilia hizo takwimu zinahusu nini. Hio ni idadi ya magari mapya yaliyouzwa nchi hizo kwa mwaka husika. Tena hizo unit ni 350.000 sio laki tatu, na Kenya 1,300. sio milioni moja na laki tatu. Na kuna Japan hapo 77,000. sio 77m hio 2015.
Haina maana kuwa Tz idadi ya magari ni 350,000 na Kenya 1,300,000 kama unavyofikiria.

