Mkuu, chai na kahawa sio "hot culture, Pato la jumla la mazao ya kilimo, hii inajumlisha pamoja mazao ya shambani na bustani tunawapita kwa mbali Sana, ukiacha chai, maua na parachichi, mazao yote yaliyobaki tunawapita, KM: kahawa, pamba, korosho, miti/mbao, karafuu, Cocoa, sunflowers, Pyrethrum, vyakula, matunda.........
Mazao yote ya mifugo na mifugo yenyewe ukiacha maziwa, tumewazidi kwa mbali Sana, uvuvi ndio huko hata hawajaribu kugusa. Walikua wanetuzidi katika sector ya viwanda, ila Sasa hivi ndio tunawapita kwa Kasi kubwa.