Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makontena mangapi yameingia tz mwaka 2019 Tz 405,775 kenya 1,425,000
Hii ni taarifa ya world bank...
Bado mtu atakuambia Tz kuna magari mengi kuliko ke,Huo mzigo hata kama sio wote ni wakwao lakini bado volume ni kubwa mara 3 na zaidi kuliko uliopita kwetu.Purchasing power ya ke ni kubwa port zao zinauwezo mkubwa pia.Kama tuna battle tusifiche ukweli...kuna maeneo hawa jamaa wametuzidi mbali ila hakuna namna View attachment 2086735View attachment 2086739View attachment 2086742

Nilidhani magari mengi yanaletwa na vessel ya aina hii ingawa makontena pia huwa yana magari ndani.

Je hiyo idadi ya makontena ni makontena yenye magari pia?

IMG_4057.jpg
 
Acha kuwa pimbi kijana, it's true Kenya wako na bandari kubwa Mombasa port , but those containers do not mean cars.. kwanza magari yanayobebwa kwa idadi kubwa hayabebwi kwenye containers, sio kila discussion unataka kushinda acha uzombi 👇Login • Instagram. Idadi kubwa ya containers kenya inatokana na ukweli kwamba kenya inapokea mizigo mingi sana ya nchi jirani kuliko sisi.. wacha kuwa famba mzee
 
ubabe wa masoko karibu yote ya EA sasahiv tumewapokonya 😂😂😂, we leading the region, unataka tuwapiteje.? 😂😂 Nnachokiona ni kwamba miradi tunayowekeza now, ikianza kupiga kazi means tutakua tumeitawala EA yote totally .. una bandari kubwa kutuzidi, una shirika la ndege kubwa (hata kama ni za mkopo) kutuzidi, una SGR inapiga kazi kuanzia 2017, yet tunawaongoza kwenye exportation, bad enough sisi SGR yetu haijaanza kufanya kazi, bandari yetu ni ndogo kuliko yenu, shirika letu la ndege tumelilifufua ni miaka mitano sasa, miradi mikubwa ya umeme tunafanya sasa na migodi mikubwa .. kwa upande wako huogopi.? Sisi tunawekeza SGR ndefu kuanganisha EA yote for expiration nyie mnawekeza expressway yenye Flyover ndefu 😂😂😂 mnaakili kwali.?
wewe ni kilaza kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 pedestrian reasoning 😂 😂 😂 , get some lessons za economics kisha uje tujadiliane..., ama hifadhi hii post yako vizuri, utapata majibu mwafaka, hizi pambio mmeziimba nimewachoka sasa, "tuta" na "tuna" 😂 😂 😂 😂 ., yaani na pia ndoto unaanika humu eti mnafanya.., malizeni hizi miradi zote ambazo sehemu fupi fupi zime wachukua mda mrefu sana., zingine hamjaanza pengine ni vitukuu watamalizisha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., exportation ya bidhaa gani? Uganda pia wameonja huo mchuzi wa exportation against Kenya, bidhaa hafifu hazina maisha, leo soko ipo kesho haipo 😂 😂 😂 😂 .., nyambaff jipe shughli pale vijiweni, niondolee aibu. 😂 😂 😂 😂
 
Nilidhani magari mengi yanaletwa na vessel ya aina hii ingawa makontena pia huwa yana magari ndani.

Je hiyo idadi ya makontena ni makontena yenye magari pia?

View attachment 2086785

the guy is fighting every mean kuonekana hoja/point yake ni kweli.. lkn every point anayoileta anakutana na ukakasi[emoji23][emoji23].. sikuzote hoja moja inatosha kuonyesha ukweli wa jambo.. ukiona unaleta hoja nying ujue you fighting kugeuza uongo kuwa ukweli
 
Makontena mangapi yameingia tz mwaka 2019 Tz 405,775 kenya 1,425,000
Hii ni taarifa ya world bank...
Bado mtu atakuambia Tz kuna magari mengi kuliko ke,Huo mzigo hata kama sio wote ni wakwao lakini bado volume ni kubwa mara 3 na zaidi kuliko uliopita kwetu.Purchasing power ya ke ni kubwa port zao zinauwezo mkubwa pia.Kama tuna battle tusifiche ukweli...kuna maeneo hawa jamaa wametuzidi mbali ila hakuna namna View attachment 2086735View attachment 2086739View attachment 2086742
Wenzako hawapendi ukweli kabisaa..., zoea kaka, ni vile walivyo, blind patriotism.,
 
Makontena mangapi yameingia tz mwaka 2019 Tz 405,775 kenya 1,425,000
Hii ni taarifa ya world bank...
Bado mtu atakuambia Tz kuna magari mengi kuliko ke,Huo mzigo hata kama sio wote ni wakwao lakini bado volume ni kubwa mara 3 na zaidi kuliko uliopita kwetu.Purchasing power ya ke ni kubwa port zao zinauwezo mkubwa pia.Kama tuna battle tusifiche ukweli...kuna maeneo hawa jamaa wametuzidi mbali ila hakuna namna View attachment 2086735View attachment 2086739View attachment 2086742
Thanks bro......You are one level headed gentlemen
 
Ndugu usije ukajinganya mzee, nje ya hii JF hakuna mtz yupo interested na mambo ya kenya kabisa.
Maneno yako wacha pale vijiweni..., data inasema tofauti.., yaani in Tanzania Kenya ndio most country googled na pia East Africa, ila sisi tunaangalia SA.., hatuwezi angalia walio below us, la hasha.., 😂 😂 😂 😂

Most googled African countries in other African countries
1642518338042.png
 
wewe ni kilaza kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 pedestrian reasoning 😂 😂 😂 , get some lessons za economics kisha uje tujadiliane..., ama hifadhi hii post yako vizuri, utapata majibu mwafaka, hizi pambio mmeziimba nimewachoka sasa, "tuta" na "tuna" 😂 😂 😂 😂 ., yaani na pia ndoto unaanika humu eti mnafanya.., malizeni hizi miradi zote ambazo sehemu fupi fupi zime wachukua mda mrefu sana., zingine hamjaanza pengine ni vitukuu watamalizisha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., exportation ya bidhaa gani? Uganda pia wameonja huo mchuzi wa exportation against Kenya, bidhaa hafifu hazina maisha, leo soko ipo kesho haipo 😂 😂 😂 😂 .., nyambaff jipe shughli pale vijiweni, niondolee aibu. 😂 😂 😂 😂
😂😂😂 Sasa mimi na wewe nani yuko na blind patriotism.? Yani unashindwa kabisa kuona SGR to connect EA is very important in economic growth kuliko expressway.? Lakini kumbe ni wewe ulisema maneno haya 👇😂😂😂 nilikua nimeaahau
Here I applaud Tz.., keep on, mkimaliza usisahau kunitag., napenda maendeleo anywhere in Africa., lakini hapa ndakunyorosha tu for the sake ya debate. 😂 😂 😂
 
😂😂😂 Sasa mimi na wewe nani yuko na blind patriotism.? Yani unashindwa kabisa kuona SGR to connect EA is very important in economic growth kuliko expressway.? Lakini kumbe ni wewe ulisema maneno haya 👇😂😂😂 nilikua nimeaahau
ona sasa hizi fikra 😂 😂 😂 😂 .., unalazimisha unacho fikiria unaona uko mwerevu kuliko wachumi., wewe ni kilaza dogo., can't reason with you on level terms kabisaaa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , hifadhi hii post yako pia.., 😂 😂 😂 😂
 
Maneno yako wacha pale vijiweni..., data inasema tofauti.., yaani in Tanzania Kenya ndio most country googled na pia East Africa, ila sisi tunaangalia SA.., hatuwezi angalia walio below us, la hasha.., 😂 😂 😂 😂

Most googled African countries in other African countries
View attachment 2086798
Wazee wa data za kupika 😂😂😂 never in my life sijawahi skia mada za kenya Tz yani ata kwa bahati mbaya, watu wenu wanakesha kwenye kurasa za Tz kubeza na kudifu, sio siasa sio burudani wala chochote ni kujibizana tu na wabongo, fanya research wewe mwenyewe kwenye kurasa za Kenya kama kuna mtz analeta shobo
 
ona sasa hizi fikra 😂 😂 😂 😂 .., unalazimisha unacho fikiria unaona uko mwerevu kuliko wachumi., wewe ni kilaza dogo., can't reason with you on level terms kabisaaa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , hifadhi hii post yako pia.., 😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂😂😂😂 Umenifurahisha sana, sawa najua unapinga for the sake of battle, lakini unajua what's going on ..
 
You wish evil to happen kwa Kenya na wakenya ili mtupiku lakini ndio gap inaongezeka, walimwengu wanasema Karma is a beach., yaani unamchukia mtu na kumtakia mabaya lakini ni baraka anapata..., Kenya is rising stronger than ever, watch this space. We will be here to make u feel more jealous [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..,
Hapo nyuma kidogo kabla ya several towers in the CBD na expressway.., but we shine..,,
View attachment 2086576
View attachment 2086577
picha kali
 
Wazee wa data za kupika 😂😂😂 never in my life sijawahi skia mada za kenya Tz yani ata kwa bahati mbaya, watu wenu wanakesha kwenye kurasa za Tz kubeza na kudifu, sio siasa sio burudani wala chochote ni kujibizana tu na wabongo, fanya research wewe mwenyewe kwenye kurasa za Kenya kama kuna mtz analeta shobo
Kwani ni utafiti ulio fanywa na Kenya? 😂 😂 😂 😂, kila kitu ni ya makaratasi kisa inaumbua Tanzania, nyambaff 😂 😂 😂 😂
Tuanzie hapa jamii forums Kenyan news section kwanza., hesabu uzi zilizofunguliwa na waTz na wachangiaji kwa nyuzi zote humu kati ya wakenya na watanzania.., kilaza wewe., mnakesha Kenyan section kwa wingi, na pia jamii forums inaweza kutumika kama dhibitisho la huo utafiti ambao ulikua kuhusu google search, so fyata 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom