ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sasa ugonvi wa nn unataka kunipiga budaa🤣🤣🤣🤣🤣 yani unaumia kias unataka na ugonviInakaa kama kibanda ya maduka along the roads, kwa stations mlihara 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
sasa ugonvi wa nn unataka kunipiga budaa🤣🤣🤣🤣🤣 yani unaumia kias unataka na ugonviInakaa kama kibanda ya maduka along the roads, kwa stations mlihara 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
safi sana waziri mkuu yupo vizuri yaani unaona kabisa ni jinsi gani anaharaka ya kuona ikulu imekamilika ili mambo yote yafanyike Dom na si kuja kuja DarState House 91% done![]()
View attachment 2084235View attachment 2084236View attachment 2084237View attachment 2084242View attachment 2084243bongo tupo vizuri kwenye masuala ya ujenzi bhana .. pesa zetu,kandarasi wetu.. taifa lenye watu wenye akili zaidi in Sub-sahara
umeona sasa hii inaonyesha kabisa ni jinsi gani Tz sgr itakavyokuwa na impact yaani tunaconnect na nchi nyingi,
katia wakenya adabujamaa kaacha gumzo kenya nzima
jamaa unajoke wakenya ujueApo najua utabisha lakini ukitoka dar uko mikoani hali sio nzuri kabisa...wakenya wanamagari kutuzidi amini ivyo
I dont think Tano zilizopo zinatumika to MaximumKwani unafikiri hizo tano zilizopo zinatumika to the maximum? We unafikiri route ya London ikianza hizi ndege mbili (moja on order) za dreamliner zinazoenda South East Asia tayari zitatosha? Hebu leta maelezo maana abiria wa route ya London inayotarajiwa kuanzishwa watasafirishwa vipi? BTW hizo routes nyingi ulizo-mention hazina abiria wa kuhitaji q400 nyingine! Sidhani kama kuna yeyote itakayohitaji daily flight! BTW ATCL revamp plan haiko mbali na ninacho-suggest!
Unaongea hili based on expansion plan au unavyojiskia wewe?I dont think Tano zilizopo zinatumika to Maximum
what i am thinking is we are using A220s on very short routes mfano ..Dar Kia Mwanza, Dar Kia Znz
We should let the A220s focus kwenye routes za Africa and Middle east
Plus kuna kipindi cha low season..ambacho tumeona Harare/Lusaka triangle route ATC hutumia Q400, Nairobi ishaanza kupata Q400 during somedays kwneye week ..entebbe gets Q400 kama leo mfano...
Bado hizo q400 hazijenda kwenye checks mbali mbali ..plus they are very profitable to operate ..during low season ofcourse A220s are cheaper to
Samora avenue! Hii barabara haiwaitendei hali. It's neglected.
najua hujaelewa,jikaze kidogoIdiocy on steroids![]()
![]()
![]()
, no relations whatsoever, a fallacious reasoning, potelea mbali mzee, u didn't get a thing
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Rwanda inataka iwe ndio kituo kikubwa cha kuunganisha DRC, Burundi hata na Uganda kwa sgr lakini Tz ikaliona ,ndio maana Burundi inachukukia msongati.Kuna battle kati ya Burundi na Rwanda, Rwandese wakiona hii habari ni pigo kwao ila sababu Burundi ni Tanzania B hatuna namna lazima tuwe na uhakika na mzigo wa DRC
yaniii nzuri sana kwa kweli.....😍 simple &verryclassy 💞hii ni ulaya kabisa
whats making you unbeatable 😆😆We are unbeatableView attachment 2086435
Wataweza kweli kushindana na cc?

The reason nimesema hiyo data ya kutoka Tz iko na kasoro. Thanks for trying to explain. Freshi.Ntajibu kuhusu Banking...Nakumbuka Magu alishawai sema ..kuhusu alot of companies kutopitisha hela kwenye banks za Tz...ndo maana hata kwenye ma company mapya ya Madini..wamrbadilisha sheria na kuyaambia lazima yatumie bank za Tz...alot of companies to ..dont pay taxes ..some for political reasons..
Goverment haiko bado very strict na Tax na banking issues ..ndo maana alot of people walimchukia Magu.. ila ni wakati wa magu ambapo Tz iliweza kuanza ku double its Tax collection...meaning kuna ukiritimba mwing unafanyika
Nasubiri mauaji ya halaikiSina uhakika Kama watavuka salama katika uchaguzi wa mwaka huu, vichwa vyao vimeshajazwa ujinga na viongozi wao wa makabila.






kitu funny hii dunia unaweza kuwa na roho chafu ya kishetani utangulie kufa before watu unawatakia kifo......be humbleNasubiri mauaji ya halaiki![]()
Nilikuwa naongelea kuhusu movie mzee, kwani we umeona nmetaja nchi hapokitu funny hii dunia unaweza kuwa na roho chafu ya kishetani utangulie kufa before watu unawatakia kifo......be humble






