Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

City square - You see how well planned it is? Right angled roads, sio vizigzag

1.jpg
 
Hii road imechoka ipumzisheni.
ichoke kwa nini..? mi ndo nimekua wa kwanza kupost hii southern bypass last week baada ya muda mrefu, hata hii barabara wengi wenu hamuijui,. ata hadi ichoboy akadhani eti southern bypass iko Busia border.
nb: hii bypass, ndio ilio na interchanges mingi zaidi ya kukata na shoka kuliko barabara ingine yoyote ile. hii ndio barabara SSH aliitumia alipo zuru kenya mwaka jana, sababu mombasa rd was under heavy construction due to expresswy. naskia SSH ali tii barabara yenyewe
 
hii thread imenifungua macho to see the true nature of the jealous hypocrites......They are our sworn enemies and we are very aware
Kenya walivyochinjana nani alikuja Kuwapatanisha ??
Na wale wakenya waliokimbilia Tanzania wakati wa uchaguzi na hata Mwaka Huu kujihifadhi jiulize kwanini .
Nyerere alikuwa tayari kusubiri kupata uhuru ili apate pamoja na Kenyatta .
Wakati wa jumuiya Tanzania Ndio ilikuwa strongest kiuchumi kenya akafanya hila jumuiya ikavunjika akabaki na utajiri wote wa jumuiya Tanzania ikaanza Upya .
Jiulize hapo Yupi mkorofi ?
 
ichoke kwa nini..? mi ndo nimekua wa kwanza kupost hii southern bypass last week baada ya muda mrefu, hata hii barabara wengi wenu hamuijui,. ata hadi ichoboy akadhani eti southern bypass iko Busia border.
nb: hii superhighway, ndio ilio na interchanges mingi zaidi ya kukata na shoka kuliko barabara ingine yoyote ile
Nani asiyeijua hyo southern bypass a.k.a the most dangerous road in Kenya? Hyo ndio road inayoongoza kuua watu hapa EA, I bet engineers watakuwa ni Wakenya mana nyie mnachojua ni kuweka matuta tu tayari inatosha pasipo kuangalia gradient imekaaje.
 
Back
Top Bottom