Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa umenionesha barabara yenye vumbi au.? Note this hakuna barabara hata moja inayounganisha mkoa na mkoa ambayo ni barabara ya vumbi tz nzima, tena uko west barabara nyingi ni mpyaaa.. we unafkiri wanaowekaza mabasi ya abiria wa mikoni wanaweka kwa bahati mbaya.? Miundombinu inaruhusu, fala wewe. KAMPUNI za MABASI 100+ ambopo kuna baadhi ya kumpunI zinamiliki basi mpaka 50 .. we ulifkir ni vitu vya bahati mbaya.? kuna uwekezaji ulifanywa mzee kwenye barabara
We acha story nyingi, tz mi youtong inakula vumbi kuruka
Hii pich sio ya kitambo, nimepata fb jamaa kapost sijui wakielekea wapi vile nikaamua niihifadhi km 2weeks ago

JamiiForums mobile app
 
I like Dar., ila developed area ni ndogo sana, ni town imekusanywa kwa pamoja, ila kwa Nairobi developed area ama towns kwa ujumla Dar ni ndogo sana.., Sama boy 255
Dar town (mjini), yaani business district yao is from this end 👇 👇
View attachment 2079606

to this end 👇 👇 .., zaidi ya hapa ni vigorofa vichache vimetapakaa hapa na pale na makazi tu..., so ukubwa wa dar ni idadi ya watu na ardhi(udongo).., sio development..,
View attachment 2079614
😂😂😂😂 Darfur looks tinny

PicsArt_12-12-11.45.24.jpg
 
Hakuna Rais alijenga barabarani na kufungua Nchi ya Tzn kama JK.

Hoja yangu iko pale pale ,hizo km 3500 labda.ni za Dar ila mikoa alivyoikuta ndivyo kaiacha ,,.Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu nk nk yaani list ni endless.
Okey boss shukrani kwa punchlines zako
 
Afadhali umenitag... Kuna watu nawaamini sana now wanaelekea masaa 36 hakuna umeme Maeneo waliyopo Nairobi...

Blackout ya Nchi nzima kwa masaa 24 ni uzembe wa kiwango cha juu kuliko kabisa.

Hii inaonesha kama Nchi hamna utayari dhidi ya dharura kubwa zinazoweza kuhatarisha Nchi yenu, pia inaonesha hamna wa taalamu wa kutosha wenye uwezo wa kukabiliana na majanga Wala kufikiria njia za haraka za kutatua changamoto.

Hapo halijatokea janga la asili Wala vita mko hivi je vikitokea hivyo vitu?
Arguing with you people is a total waste of time. Nimesema kwamba mahali nilipo stima ilipotea na kurudi baada ya masaa matatu na haijapotea tena. Kama hatujui kushugulikia majanga ya dharura na hatuna wataalamu wa kutosha mbona sisi tulirudishiwa stima chini ya muda mfupi?

Maeneo ambayo yalishuhudia prolonged power outages ilikuwa ni kutokana na high voltage power line towers ambazo zilianguka. How long do you think it takes to replace a high voltage power line tower (if you know what it is)?

Najua hizi keleke zote zinasababishwa na hasira kwamba Kenya GENERATES and CONSUMES more electricity than your shithole country but mtazoea tu
 
Okey boss shukrani kwa punchlines zako
Ila ninyi wawili I suspect ni mtu mmoja, mnajazana ujinga weee na kusapotiana, 😂😂😂 na inaonekana hata hamjawi toka hapo mlipo

Hivi kuna mtu mwenye akili kweli anaweza kusema hii mikoa Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu? 😂😂😂😂😂😂

Hii mikoa napita kila leo, yaani mpaka namuonesha jamaa yangu hapa tunakauka kucheka 😂😂😂😂😂
 
Kwahyo hizi ☝️ ndio hizo interchange upo hapa kuzipogia kelele 😂😂😂

Hivi vidaraja vyenyewe bado havijakamilika alafu unapiga kelele kuhusu mombasa kuwa na daraja nne 😂😂😂..
Tuonyeshe zenu zenye zimekamilika nje ya Dar
 
Ila ninyi wawili I suspect ni mtu mmoja, mnajazana ujinga weee na kusapotiana, 😂😂😂 na inaonekana hata hamjawi toka hapo mlipo

Hivi kuna mtu mwenye akili kweli anaweza kusema hii mikoa Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu? 😂😂😂😂😂😂

Hii mikoa napita kila leo, yaani mpaka namuonesha jamaa yangu hapa tunakauka kucheka 😂😂😂😂😂
Hizi barabara zimeisha na kuisha labda zinasubiri kufunguliwa tu,

Kipande kidogo cha Uvinza to Malagarasi na kilometers nyingine 300 kutoka Kabingo, Kasulu, Kakonko, Kibondo mpaka Nyakanazi vipo kwenye ujenzi saivi.
 
My point dogo 👇 👇 👇 ..., nothing ya maana zaidi ya hapa..., hii ndio town centre ya Dar.., kwingine ni shopping centres na makazi with scattered buildings.,., mnakuja vizuri, ila bado sana...,
View attachment 2079618
Mzee hapa inaoneka posta kwa mbali sana, picha hii imepigwa kutokea magomeni, hapo ni posta na Kariakoo kidogo na hata posta yenyewe haionekani yote.. unavyofanya comparison jitahidi kuwa fea, hakuna CBD hapo Nairobi inayowezana na posta pekee.. yani chukua CBD mbili za hapo NAIROBI ndio upate posta tu.. Kariakoo ni kubwa kuliko posta, Upanga ni kubwa kuliko posta ingawa (kimaendeleo posta ipo juu) .. eneo la CDS zenu ni dogo sana kulinganisha na na Posta, Kariakoo na Upanga.. sa siji huwa mnatamba na kitu gani
 
I like Dar., ila developed area ni ndogo sana, ni town imekusanywa kwa pamoja, ila kwa Nairobi developed area ama towns kwa ujumla Dar ni ndogo sana.., Sama boy 255
Dar town (mjini), yaani business district yao is from this end 👇 👇
View attachment 2079606

to this end 👇 👇 .., zaidi ya hapa ni vigorofa vichache vimetapakaa hapa na pale na makazi tu..., so ukubwa wa dar ni idadi ya watu na ardhi(udongo).., sio development..,
View attachment 2079614
Mzee sehemu inayookana kwenye picha hapo ni posta tu, na hakuna CBD hata moja NAIROBI ambayo iko na ukubwa sawa na posta. Vipi we ulisema mwaka huu utakua mtu mwema, lakini naona bado hujawa mwema, kazi yako ni ileile kusema uongo.. Kariakoo ni kubwa kuliko CBDs zenu zote tatu combined baba .. nje ya CBDs zenu kuna kipi cha maana zaidi ya apartments mzee.? na hicho ndio kitu mnatupiga gape, ila sio kwa ukubwa wa financial district kaka, battle mnayotuzidi nyinyi ni wingi wa real estate tu..
 
Mzee hapa inaoneka posta kwa mbali sana, picha hii imepigwa kutokea magomeni, hapo ni posta na Kariakoo kidogo na hata posta yenyewe haionekani yote.. unavyofanya comparison jitahidi kuwa fea, hakuna CBD hapo Nairobi inayowezana na posta pekee.. yani chukua CBD mbili za hapo NAIROBI ndio upate posta tu.. Kariakoo ni kubwa kuliko posta, Upanga ni kubwa kuliko posta ingawa (kimaendeleo posta ipo juu) .. eneo la CDS zenu ni dogo sana kulinganisha na na Posta, Kariakoo na Upanga.. sa siji huwa mnatamba na kitu gani
Ziweke moja baada ya nyingine nami nitazipea what to compare with..., just put them here, moja baada ya nyingine..., hiyo picha ndio mjini Dar(posta and Kariokoo makes Dar).., yaani what u call town/city centre..., ama weka hizo eneo unataja zaidi ama mbali na hapa; Ilala, Upanga.., nikufunze ama nikuonyeshe ama nikufahamishe mbali na hapa 👇 hakuna cha maana Dar to call a town or business district.., dont touch here 👇 👇 .., tuende nami nitakupa Nairobi baada ya nyingine.., ata kama ni kesho, sina haraka dogo.., Dar what u can call developed area to function as a business district ni ndogo sana... only here ndio sehemu ya maana angalau 👇 👇
1642088420258.png

1642088359236.jpeg

1642088482775.png
 
Mzee hapa inaoneka posta kwa mbali sana, picha hii imepigwa kutokea magomeni, hapo ni posta na Kariakoo kidogo na hata posta yenyewe haionekani yote.. unavyofanya comparison jitahidi kuwa fea, hakuna CBD hapo Nairobi inayowezana na posta pekee.. yani chukua CBD mbili za hapo NAIROBI ndio upate posta tu.. Kariakoo ni kubwa kuliko posta, Upanga ni kubwa kuliko posta ingawa (kimaendeleo posta ipo juu) .. eneo la CDS zenu ni dogo sana kulinganisha na na Posta, Kariakoo na Upanga.. sa siji huwa mnatamba na kitu gani
eti CBD mbili Nai ndio upate posta, what are u smoking 😂 😂 😂 😂 😂 .,
 
Distance kutoka CBD mpaka Kimara ni 20km and the distance from kimara to Kimara mwisho is 5km, therefore distance from CBD to Kimara mwisho is 25km, ambaoo all the way unatembea kwenye barabara ya njia sita, two lanes for BRT View attachment 2079355ukifika Kimara mwisho ambapo kuna facilities hizi barabara ya BRT ilipoishiaView attachment 2079356View attachment 2079357ndio inaanza barabara ya 19km inayoitwa Kimara-kibaha high way yenye lanes 8.. kwahyo hii barabara ukiuunganisha from CBD to kibaha ni 25km+19km=44km .. acha kuji confuse huijui DSM kaka...
Yeye kaona barabara ya 19km kichwa chake kikamtuma ni kutoka city centre hizi ni athari za kulala kwenye slums dish lazima liyumbe kidogo
 
Afadhali umenitag... Kuna watu nawaamini sana now wanaelekea masaa 36 hakuna umeme Maeneo waliyopo Nairobi...

Blackout ya Nchi nzima kwa masaa 24 ni uzembe wa kiwango cha juu kuliko kabisa.

Hii inaonesha kama Nchi hamna utayari dhidi ya dharura kubwa zinazoweza kuhatarisha Nchi yenu, pia inaonesha hamna wa taalamu wa kutosha wenye uwezo wa kukabiliana na majanga Wala kufikiria njia za haraka za kutatua changamoto.

Hapo halijatokea janga la asili Wala vita mko hivi je vikitokea hivyo vitu?
Hyo blackout unayoisema wewe kwetu ilienda saa nne saa nane ikarudi..sasa hyo 24hours sijui umeitoa wapi..

Tatizo pia lilikua linajulikana ni nini ndio manake watu hawakulalamika sana, km ni tz labda ndio mngelikaa siku tatu..km ubovu wa mashine tu mumeanza kugaiwa umeme

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom