Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mara mingi nimekuambia chunguza kwanza kabla ya kukurupuka ama fyata hausikii sasa ona unavyoniaibisha Man useless .., so pia na hii hapa haiko marked? it is called google earth idiot , pictures are not crystal clear Nikitazama all roads in Tz through google earth none appear marked., kilaza wewe
View attachment 2079549
View attachment 2079557

Ata niki zoom.., markings hazionekani..,
View attachment 2079558
Mbona kwa google earth almost kila sehemu ya Dar looks backward?..., few organized estates., the rest bana!.., itawachukua generations kadha to change these
Kwanza lazima uelewe google earth resolution ni up to how many metres ukishajua hilo rudi hapa upewe darsa kidogo.
 
I like Dar., ila developed area ni ndogo sana, ni town imekusanywa kwa pamoja, ila kwa Nairobi developed area ama towns kwa ujumla Dar ni ndogo sana.., Sama boy 255
Dar town (mjini), yaani business district yao is from this end
View attachment 2079606

to this end .., zaidi ya hapa ni vigorofa vichache vimetapakaa hapa na pale na makazi tu..., so ukubwa wa dar ni idadi ya watu na ardhi(udongo).., sio development..,
View attachment 2079614
Kisutu mnazi mmoja na gerezani ziko wapi hapo
 
Daresalaam shida moja tu yao ni planning,if those uswazi zingejengwa on straight lines kungekaa poa sana,sasa uko ndani mpaka barabara hazionekani,na zimechanganikiwa!
I wish serikali yenu isiitikishe watu wajenge hivyo county zengine,the uswazi is squeezed and nonstop yani everywhere you turn in dar

Nairobi nayo slums kama kibera si unaona serikali ya Kenya ikitaka kuziapgrade it will be an easy process it is in one place hazijatapakaa kama uswazi za dar,
Huko Tanzania mtaanzia wapi mwache wapi???
Alafu hio BRT yenu ni heri mgejenga express way ambayo basi za mwendo kasi zingepitia hapo pia,sasa alafu design china wanawajengea BRT its too shoddy and inaboo!
 
Mara mingi nimekuambia chunguza kwanza kabla ya kukurupuka ama fyata hausikii sasa ona unavyoniaibisha Man useless .., so pia na hii hapa haiko marked? it is called google earth idiot , pictures are not crystal clear Nikitazama all roads in Tz through google earth none appear marked., kilaza wewe
View attachment 2079549
View attachment 2079557

Ata niki zoom.., markings hazionekani..,
View attachment 2079558
Mbona kwa google earth almost kila sehemu ya Dar looks backward?..., few organized estates., the rest bana!.., itawachukua generations kadha to change these
Haya hii hapa wala sio Google earth, nioneshe markings, over 95% ya roads za Kenya are not marked
JamiiForums-1399999637.jpg
JamiiForums1225692647.jpg
 
I like Dar., ila developed area ni ndogo sana, ni town imekusanywa kwa pamoja, ila kwa Nairobi developed area ama towns kwa ujumla Dar ni ndogo sana.., Sama boy 255
Dar town (mjini), yaani business district yao is from this end 👇 👇
View attachment 2079606

to this end 👇 👇 .., zaidi ya hapa ni vigorofa vichache vimetapakaa hapa na pale na makazi tu..., so ukubwa wa dar ni idadi ya watu na ardhi(udongo).., sio development..,
View attachment 2079614
i concur 100%!
 
Daresalaam shida moja tu yao ni planning,if those uswazi zingejengwa on straight lines kungekaa poa sana,sasa uko ndani mpaka barabara hazionekani,na zimechanganikiwa!
I wish serikali yenu isiitikishe watu wajenge hivyo county zengine,the uswazi is squeezed and nonstop yani everywhere you turn in dar

Nairobi nayo slums kama kibera si unaona serikali ya Kenya ikitaka kuziapgrade it will be an easy process it is in one place hazijatapakaa kama uswazi za dar,
Huko Tanzania mtaanzia wapi mwache wapi???
Alafu hio BRT yenu ni heri mgejenga express way ambayo basi za mwendo kasi zingepitia hapo pia,sasa alafu design china wanawajengea BRT its too shoddy and inaboo!
Taja mji wowote Kenya nitakuonesha Slums.
 
Mzee hapa inaoneka posta kwa mbali sana, picha hii imepigwa kutokea magomeni, hapo ni posta na Kariakoo kidogo na hata posta yenyewe haionekani yote.. unavyofanya comparison jitahidi kuwa fea, hakuna CBD hapo Nairobi inayowezana na posta pekee.. yani chukua CBD mbili za hapo NAIROBI ndio upate posta tu.. Kariakoo ni kubwa kuliko posta, Upanga ni kubwa kuliko posta ingawa (kimaendeleo posta ipo juu) .. eneo la CDS zenu ni dogo sana kulinganisha na na Posta, Kariakoo na Upanga.. sa siji huwa mnatamba na kitu gani
empty rhetoric as usual.......
 
Nchi ya malori wameweka malori, Nchi ya Proper buses wametumia proper Buses , halafu nchi ya malori watu kibao wanashangaa hadi wanafuata msafari wa malori utafikiri ndio mara ya Kwanza .

BTW ile ya Bongo ilikua ni Jinsi mabasi yapo Vizuri, Barabara safi hadi kuna mkulungwa akaawaqmbia mnaweza mwaka Githeri barabarani pale na mkala bila mchanga
Hapo Ni ndani ya gated estate the essence was a street party mbona watu wasifuate
 
IMG_4219 (1).jpg
tumewashika leo burukenge nyinyi... kumbe dar ni mji mdogo saana.. i thought it was much bigger than this!..
i swear in the name of god that i can take less than 5mins to count all buildings in dar that stand 10storeys or more.. na dar yote kwisha!.

nairobi yote utahesabu hadi kesho
 
Kwahyo dar nzima iko na 3 pedestrian bridges 😂😂😂 acha kuwa muongo mzee, upo radhi uongee uongo mzee baba 😂😂😂 .. morogoro road alone (from CBD to Kimara mwisho) has 3 pedestrian bridges ambayo yapo maeneo ya Manzese, Ubungo na kimara mwisho.. .. nakuongeza hii hapa kawe bondeni bagamoyo road 👇. View attachment 2079413Buguruni 👇. Moroko pedestrian bridge 👇View attachment 2079414View attachment 2079416View attachment 2079425mbagala pedestrian bridge 👇View attachment 2079434mbezi Louis pedestrian bridge👇View attachment 2079437hii ni jumla ya Madaraja saba.. Kimara kibaha high way ikiiisha nayo itaongeza list ya pedestrian bridges.. .. haya nataka na wewe uonyeshe hizo pedestrian bridges 30 ulizodai kwa thika high way ..😂😂😂

Madajaraja saba pekee kwa jiji la watu milioni sita ni aibu. 🚮🚮🚮
Outering road pekee inayo 11 na ni barabara ya 13km pekee.
 
Duh kumbe we jamaa ni kichwa ngumu mno wewe, hata nikikuonyesha maji utapinga useme ni rangi..

Hizo unaita vumbi ndio service lanes zenyewe hapo zipo U/C, kuna baadhi ya sehem zimeshatiwa lami.. Angalia tena 👇View attachment 2079299View attachment 2079300na kama utabisha na hii, sawa mama kila la kheri.. siwezi endeleza ubishi na chizi unaelazimesha 1+1=15 .. vitu ambavyo vipo clear na unabishia 🤦
Wacha uwongo those were diversions njia ikijengwa
 
View attachment 2079728 tumewashika leo burukenge nyinyi... kumbe dar ni mji mdogo saana.. i thought it was much bigger than this!..
i swear in the name of god that i can take less than 5mins to count all buildings in dar that stand 10storeys or more.. na dar yote kwisha!.

nairobi u ll take the whole day
hvi unajua umbali wa hio picha ilipopigea ingekua ni nairobi kwa umbali huo basi
robo tatu ya nairobi ingeonekana 🤣🤣🤣
 
View attachment 2079728 tumewashika leo burukenge nyinyi... kumbe dar ni mji mdogo saana.. i thought it was much bigger than this!..
i swear in the name of god that i can take less than 5mins to count all buildings in dar that stand 10storeys or more.. na dar yote kwisha!.

nairobi u ll take the whole day
Five mins ama you can see them all in an instance?
 
Back
Top Bottom