Simba 254
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 2,679
- 1,766
Busia Ni Karibu Na boarder ya UgandaNa Busia ni wapi.
Busia Ni Karibu Na boarder ya UgandaNa Busia ni wapi.
Hehe unababaika kuona Lami .... Na Lami inafika at my grandmother's gate true story Na si utani
Wewe wa mitandaoni hakuna kitu unajua zaidi ya kuambiwa,mtafute yeyote umuulize atakupa ukweli maana hata huwa husafiri mnaishia Dar,mitandaoni labda na Dom.Heb wacha uongo mzee, hiyo mikoa ulipita mara tako ya mwisho lini.? 😂😂😂 Hakuna barabara hata moja Tz kwasasa inayounganisha mkoa na mkoa ambayo haiko na lami
Service road ziko kuanzia mwanzo Hadi mwishoHii picha imedhihirisha vingi kuhusu Thika road, kumbe ni 6lane road ambapo ukijumlisha na service roads inakuwa 10 lane road at some areas kwasababu hizo service road haziendi mbali, so leo nimegundua kwamba kumbe Thika road ni 6lane road.
Kwani anaetania nani? 😁😁😁Hehe unababaika kuona Lami .... Na Lami inafika at my grandmother's gate true story Na si utani
Haya hii hapa wala sio Google earth, nioneshe markings, over 95% ya roads za Kenya are not markedView attachment 2079710View attachment 2079711

Kunapendeza aisee serikali inafaa iwahamasishe watu wapande mitii Ndio kilichobakia tuuJana nilikua Dom nimejaribu kutupia cha kuwakera Wakunya
komora096 huku ni kwa watu wa kawaida tu
View attachment 2079664
Yeah hilo la muhimu lakini wengi pia wamepanda sana miti japo bado midogo haionekani sababu hilo eneo limeanza kujengewa hata miaka minne halina.Kunapendeza aisee serikali inafaa iwahamasishe watu wapande mitii Ndio kilichobakia tuu
Mbona serikali inashindwa kunyosha njia ili ni tatizo la kipumbavu sana kwanini saerkali inashindwa kuchora mstari mnyoofu kwenye barabaraMzee service lanes are underway mbona picha ipo clear tu inajieleza yenyewe, ukiachana na hiyo junctionView attachment 2079138pitia hapaView attachment 2079143View attachment 2079144hizo service lanes zipo U/C bro kama ulikua hujui, na zipo section kwa mfano pale magufuli bus terminal service lane ni njia nne upande mmoja na upande mwingine ni njia mbili which makes the road to have 6+8=14 lanes, renda inajieleza
View attachment 2079170hapa soon panakamilika juzi tu nilikua huko.. pakiisha hapa usiseme hujaambiwa
maana hayo maeneo bado ayajajengeka tazama hata hizo njia za vumbi zilivyo pinda pinda kama minyoooChina wuyi wanatengeneza barabara from loliondo i think kuelekea longido, lakini barabara ya mpaka mto wa mbu ni vumbi tuHeb wacha uongo mzee, hiyo mikoa ulipita mara tako ya mwisho lini.?Hakuna barabara hata moja Tz kwasasa inayounganisha mkoa na mkoa ambayo haiko na lami
Mbona zipo picha za drone kwanini usitazame hizo,,, hapo nionyeshe benk kuu twin tower zilipo kwenye hiyo picha nionyeshe daraja la kigamboni ,nionyeshe daraja la tanzanite, nionyeshe hospitali ya taifa muhimbili ilipo ,nionyeshe kituo kikuu cha brt cha CBD nionyeshe makao makuu ya jeshi yalipoI like Dar., ila developed area ni ndogo sana, ni town imekusanywa kwa pamoja, ila kwa Nairobi developed area ama towns kwa ujumla Dar ni ndogo sana.., Sama boy 255
Dar town (mjini), yaani business district yao is from this end![]()
View attachment 2079606
to this end![]()
.., zaidi ya hapa ni vigorofa vichache vimetapakaa hapa na pale na makazi tu..., so ukubwa wa dar ni idadi ya watu na ardhi(udongo).., sio development..,
View attachment 2079614