Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

E8E14D5B-E8C5-4866-BC0D-D98410C62C07.jpeg
E15CD640-9FA0-4EB9-8D91-34D19419BCDE.jpeg
DCCAC85C-4F5F-40C5-8EC7-FBDEA51E7DB9.jpeg
A462F9C3-84E9-4996-B677-9554EA1807FF.jpeg
 
Afadhali umenitag... Kuna watu nawaamini sana now wanaelekea masaa 36 hakuna umeme Maeneo waliyopo Nairobi...

Blackout ya Nchi nzima kwa masaa 24 ni uzembe wa kiwango cha juu kuliko kabisa.

Hii inaonesha kama Nchi hamna utayari dhidi ya dharura kubwa zinazoweza kuhatarisha Nchi yenu, pia inaonesha hamna wa taalamu wa kutosha wenye uwezo wa kukabiliana na majanga Wala kufikiria njia za haraka za kutatua changamoto.

Hapo halijatokea janga la asili Wala vita mko hivi je vikitokea hivyo vitu?
Kiukweli kabisa haya mambo niliya experience enzi za Mkapa nikiwa kijana mdogo kabisa, tangu Mkapa sijawahi kuona hizo mambo, niwe mkweli.
 
Kwahyo hizi ☝️ ndio hizo interchange upo hapa kuzipogia kelele 😂😂😂
Now let`s do bridges.

1. Mteza Bridge 1.4km
View attachment 2077890
View attachment 2077892

2. Mwache Bridge 600m
View attachment 2077894
View attachment 2077895

3. Makupa Bridge 457m
View attachment 2077897
Hivi vidaraja vyenyewe bado havijakamilika alafu unapiga kelele kuhusu mombasa kuwa na daraja nne 😂😂😂..
 
Kwahyo hizi ☝️ ndio hizo interchange upo hapa kuzipogia kelele 😂😂😂

Hivi vidaraja vyenyewe bado havijakamilika alafu unapiga kelele kuhusu mombasa kuwa na daraja nne 😂😂😂..
Nyinyi mbona huwa mnapiga kelele hapa na SGR enye haijakamilika?
 
Nyinyi mbona huwa mnapiga kelele hapa na SGR enye haijakamilika?
Wacha kichaa reli ya SGR ni kitu kilichokamilika 👇
IMG_3804.jpg
hivyo vidajara havina hata dalili ya kuisha alafu unataja eti mombasa Iko na daraja nne. DSM kuna Flyover 4 U/C na hutaskia mtanzania akizitaja taja humu eti DSM kuna Flyover 6, hizo interchanges zipo nyingi mnoo hapo Kimara-kibaha high way lakini kwasababu bado zipo kwenye ujenzi hatuwezi taja eti tuko na interchange kiasi fulani.. Acha ubabaifu dogo,usilazimishe vitu visivyokuwepo
 
Wacha kichaa reli ya SGR ni kitu kilichokamilika View attachment 2078736hivyo vidajara havina hata dalili ya kuisha alafu unataja eti mombasa Iko na daraja nne. DSM kuna Flyover 4 U/C na hutaskia mtanzania akizitaja taja humu eti DSM kuna Flyover 6, hizo interchanges zipo nyingi mnoo hapo Kimara-kibaha high way lakini kwasababu bado zipo kwenye ujenzi hatuwezi taja eti tuko na interchange kiasi fulani.. Acha ubabaifu dogo,usilazimishe vitu visivyokuwepo
empty rhetoric
 
Back
Top Bottom