Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hiyo degree yako si ulishindwa kujua parallel ni nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaaa mm nina IQ kubwa usije kunijaribu hata kwa kusingizia huwezi ku survive, am telling you [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyumba hazipo kwenye mpangilio mzuri, kwa mbali kama zinaleta kinyaa hivi japo co kama kibera, dandora, pipeline, kisumu na maeneo mengine ya Kenya.
hii ndio mpangilio mzuri ama wewe kipofu.....
2209122_Screenshot_20191110-193507.jpg
 
Lengo ifike chalinze bado 75km kukamilisha mradi mzima....wameanza na eneo la dar just to decongest morogoro road.....twangoja budget ya 2022-23 tuone kama expansion itaendelea so far maana wanatumia fedha za ndani sio mkopo
as usual you are always forever planning till kingdom come.....Thika road phase 2 ....a 84 km stretch is 65% complete
 
IQ yako inatoshana na ya kuku[emoji1787][emoji1787]
IQ yng huiwezi, wewe bado mchanga sn, ninaweza nikaongea lugha hapa ya kiswahili kabisa na natumia common words na usinielewe, au naweza nikaongea neno alafu vilaza kama ww mkaona nmekosea ila ukitulia kwa cku mbili kwa slow leaner kama wewe ndio unagundua nilimaanisha nn.
 
Sasa ona venye IQ yako ni ndogo🤣🤣🤣
 
Mnapenda sana propaganda mibongolala. Where I am kuna stima since yesterday. Ilipotea jana for around three hours ikarudi na haijapotea tena, japo kuna baadhi ya maeneo that experienced a 24-hour blackout.

Secondly, the countrywide blackout was caused by a technical hitch which has since been rectified. Technical hitches happen world over, so sijui hizi povu ni za nini
Afadhali umenitag... Kuna watu nawaamini sana now wanaelekea masaa 36 hakuna umeme Maeneo waliyopo Nairobi...

Blackout ya Nchi nzima kwa masaa 24 ni uzembe wa kiwango cha juu kuliko kabisa.

Hii inaonesha kama Nchi hamna utayari dhidi ya dharura kubwa zinazoweza kuhatarisha Nchi yenu, pia inaonesha hamna wa taalamu wa kutosha wenye uwezo wa kukabiliana na majanga Wala kufikiria njia za haraka za kutatua changamoto.

Hapo halijatokea janga la asili Wala vita mko hivi je vikitokea hivyo vitu?
 
Afadhali umenitag... Kuna watu nawaamini sana now wanaelekea masaa 36 hakuna umeme Maeneo waliyopo Nairobi...

Blackout ya Nchi nzima kwa masaa 24 ni uzembe wa kiwango cha juu kuliko kabisa.

Hii inaonesha kama Nchi hamna utayari dhidi ya dharura kubwa zinazoweza k
I won't defend KPLC. but ours took 3 hours and was back.....
 
Back
Top Bottom