Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kenge,nasema hivi , Mwendazake kaziacha barabara kama alivyozikuta 2015?
Acha uongo mzee wangu .. west gani unaizingumzia .? Mimi nimeishi kanda ya ziwa for three good years,nimetembelea mikoa minne.. na nimepita karibu mikoa yote ya west, barabara mpya na uboreshwaji wa barabara za zamani ufanywa maeneo mengi mno, nimejionea kwa macho yangu wala sio hadithi
 
Miaka 5 alijenga 3500km JK alikua madarakani miaka 10 alijenga km ngap?
Hakuna Rais alijenga barabarani na kufungua Nchi ya Tzn kama JK.

Hoja yangu iko pale pale ,hizo km 3500 labda.ni za Dar ila mikoa alivyoikuta ndivyo kaiacha ,,.Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu nk nk yaani list ni endless.
 
Zaidi ya 60% mnaishi kwenye slums, sio maneno yangu 🤣🤣🤣🤣

Hii ni Nairobi tu, note, hakuna mji wowote Kenya usio na utitiri wa slums 😂😂😂

View attachment 2079440
IMG_20220113_164909.jpg

And then there's Dar issa Slum with 70% 😂😂😂
 
Hakuna Rais alijenga barabarani na kufungua Nchi ya Tzn kama JK.

Hoja yangu iko pale pale ,hizo km 3500 labda.ni za Dar ila mikoa alivyoikuta ndivyo kaiacha ,,.Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu nk nk yaani list ni endless.
Heb wacha uongo mzee, hiyo mikoa ulipita mara tako ya mwisho lini.? 😂😂😂 Hakuna barabara hata moja Tz kwasasa inayounganisha mkoa na mkoa ambayo haiko na lami
 
Mara mingi nimekuambia chunguza kwanza kabla ya kukurupuka ama fyata hausikii sasa ona unavyoniaibisha Man useless 😂 😂 😂 😂 .., so pia na hii hapa 👇 👇 haiko marked? it is called google earth idiot 😂 😂 😂 , pictures are not crystal clear😂 😂 😂 😂 😂 😂 Nikitazama all roads in Tz through google earth none appear marked., kilaza wewe 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2079549
View attachment 2079557

Ata niki zoom.., markings hazionekani..,
View attachment 2079558
Mbona kwa google earth almost kila sehemu ya Dar looks backward?..., few organized estates., the rest bana!.., itawachukua generations kadha to change these 👆 👆
Nikiongezea, ila sehemu zingine google earth ina pick clearly, kama hii hapa 👇 👇 .., (though the surrounding)
1642082805513.png

Sehemu zingine ni faint or imefutika, or maybe not there at all.., yaani haiko clear to ascertain..., google earth for you.., ila kama ni ukweli then Dar marked roads ni chache mno, kwa mjibu wa google earth..,
1642082931805.png

1642083139060.png
 
Nikiongezea, ila sehemu zingine google earth ina pick clearly, kama hii hapa 👇 👇 .., (though the surrounding)
View attachment 2079589

Sehemu zingine ni faint or imefutika, or maybe not there at all.., yaani haiko clear to ascertain..., google earth for you.., ila kama ni ukweli then Dar marked roads ni chache mno, kwa mjibu wa google earth.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waende google earth wacompare The Nairobi city na hiyo dar yao.......🤣🤣
 
Tanzania ni vumbi kuruka mzee, utamdanganya naniView attachment 2079591

JamiiForums mobile app
Hapa umenionesha barabara yenye vumbi au.? Note this hakuna barabara hata moja inayounganisha mkoa na mkoa ambayo ni barabara ya vumbi tz nzima, tena uko west barabara nyingi ni mpyaaa.. we unafkiri wanaowekaza mabasi ya abiria wa mikoni wanaweka kwa bahati mbaya.? Miundombinu inaruhusu, fala wewe. KAMPUNI za MABASI 100+ ambopo kuna baadhi ya kumpunI zinamiliki basi mpaka 50 .. we ulifkir ni vitu vya bahati mbaya.? kuna uwekezaji ulifanywa mzee kwenye barabara
 
Kuna sehemu nyingine ya maana zaidi ama mbali na hapa?.., just a single business district., the rest ni shopping centers.., hii ndio sura ya Dar town., sura ya Dar city ni sprawling unorganized residential..., that's it.,
Kwahiyo Kariakoo, upanga na ilala zote hazipo DSM.?
 
I like Dar., ila developed area ni ndogo sana, ni town imekusanywa kwa pamoja, ila kwa Nairobi developed area ama towns kwa ujumla Dar ni ndogo sana.., Sama boy 255
Dar town (mjini), yaani business district yao is from this end 👇 👇
1642083613202.png

to this end 👇 👇 .., zaidi ya hapa ni vigorofa vichache vimetapakaa hapa na pale na makazi tu..., so ukubwa wa dar ni idadi ya watu na ardhi(udongo).., sio development..,
1642083778493.jpeg
 
Kwahiyo Kariakoo, upanga na ilala zote hazipo DSM.?
My point dogo 👇 👇 👇 ..., nothing ya maana zaidi ya hapa..., hii ndio town centre ya Dar.., kwingine ni shopping centres na makazi with scattered buildings.,., mnakuja vizuri, ila bado sana...,
1642084018408.jpeg
 
Nikiongezea, ila sehemu zingine google earth ina pick clearly, kama hii hapa 👇 👇 .., (though the surrounding)
View attachment 2079589

Sehemu zingine ni faint or imefutika, or maybe not there at all.., yaani haiko clear to ascertain..., google earth for you.., ila kama ni ukweli then Dar marked roads ni chache mno, kwa mjibu wa google earth..,
View attachment 2079593
View attachment 2079601
Bro fanta research zako vizuri, barabara mingi DSM ni mpya, na hakuna brabara kubwa hata moja DSM ambayo haipo marked, na 95% of Dar roads ni marked au hata zaidi, kwababu barabara nyingi ni mpya na za barabara za zamani nilizo rekebishwa
 
alright then, it's your word.., mie naangalia google earth, my point, kuna sehemu zenye ziko marked but google earth haiyonyeshi vizuri or faint image.., especially kama ilikua marked kitambo.., keep up with development, it is good to know.
 
Back
Top Bottom