Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

si useme tu 100% ndio ujiliwaze.....download google earth and see the world for yourself then compare with those poor villages of yours in tanzania you call cities
Huzuni yote hii kisa Dom imeichapa Nairobi?
 
I just can't 😂😂. Tanzanian police ni walalahoi tu in tattered uniforms

🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

Nikikumbuka kwamba Miaka 5 iliyopita Mwendazake hakuweka nguvu kabisa kwenye barabara huwa nakasirika Sana.

Tangu alivyoachiaga JK hakuna barabara za maana zilijengwa yaani hadi leo utashangaa western zone hadi leo hakuna barabara zinaunganisha mikoa hiyo,hivyo hivyo kwa Kanda ya Kusini Kati,nk nk.
 
Wakenya fikeni kwanza hapa ndio mje kushindana na Tzn

Screenshot_20220113-151719.png
 
Hizi roundabout ni useless. Hazina umaana. Hapo wangeeka junction tu ya kawaida. Alafu kue na flyover hapa sababu nishaanza kuona jam na ajali zikitokea apa kwa hii junction mbovu. SAFETY! SAFETY!

Alafu ati hii ni 19km from Dar na kunakaa Marsabit kukauka na kitongoji duni
 
Me naelewa vizuri Sana I noticed you Na Ndugu yako The best 007 ndo hamwelewi the difference between "slip lane/road" Na "service lanes/road" what Kihara yenyu iko nayo Ni slip lanes what Thika road iko nayo Ni service roads

A slip road is a small road which is provided to enter or exit a highway section. It is its sole purpose.

A service lane is a road which runs parallel to a main (busy) road, mainly provides access for local traffic and thereby facilitating least interference to fast moving through traffic on main road. It also provides facilities like parking, change of direction.
Service roads run parallel all the way from start to end point
Safi sana, hebu muambie Teargas kwamba hizi ni slip lanes
Screenshot_20220112-171033.jpg
 
Nikikumbuka kwamba Miaka 5 iliyopita Mwendazake hakuweka nguvu kabisa kwenye barabara huwa nakasirika Sana.

Tangu alivyoachiaga JK hakuna barabara za maana zilijengwa yaani hadi leo utashangaa western zone hadi leo hakuna barabara zinaunganisha mikoa hiyo,hivyo hivyo kwa Kanda ya Kusini Kati,nk nk.
Unazungumza vitu gani wewe?
 
Wewe ndio uelewi. Unachoita service lane ni entry/exit lane also know as slip lanes. Service lanes run along the whole road section. Slip lanes hupatikana tu kwenye junction ama startegic points to allow vehicles to enter or exit main lanes to service lanes.

Circled in red are slip lanes or entry/exit lanes
Circled in blue are service lanes.

View attachment 2079159
Hii picha imedhihirisha vingi kuhusu Thika road, kumbe ni 6lane road ambapo ukijumlisha na service roads inakuwa 10 lane road at some areas kwasababu hizo service road haziendi mbali, so leo nimegundua kwamba kumbe Thika road ni 6lane road.
 
So, Busia ndio Southern bypass? The King of unmarked roads in East and Central AfricaView attachment 2078992
Mara mingi nimekuambia chunguza kwanza kabla ya kukurupuka ama fyata hausikii sasa ona unavyoniaibisha Man useless 😂 😂 😂 😂 .., so pia na hii hapa 👇 👇 haiko marked? it is called google earth idiot 😂 😂 😂 , pictures are not crystal clear😂 😂 😂 😂 😂 😂 Nikitazama all roads in Tz through google earth none appear marked., kilaza wewe 😂 😂 😂 😂 😂
1642080520787.png

1642080751478.png

Ata niki zoom.., markings hazionekani..,
1642080792194.png

Mbona kwa google earth almost kila sehemu ya Dar looks backward?..., few organized estates., the rest bana!.., itawachukua generations kadha to change these 👆 👆
 
Mara mingi nimekuambia chunguza kwanza kabla ya kukurupuka ama fyata hausikii sasa ona unavyoniaibisha Man useless 😂 😂 😂 😂 .., so pia na hii hapa 👇 👇 haiko marked? it is called google earth idiot 😂 😂 😂 , pictures are not crystal clear😂 😂 😂 😂 😂 😂 Nikitazama all roads in Tz through google earth none appear marked., kilaza wewe 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2079549
View attachment 2079557

Ata niki zoom.., markings hazionekani..,
View attachment 2079558
Mbona kwa google earth almost kila sehemu ya Dar looks backward?..., few organized estates., the rest bana!.., itawachukua generations kadha to change these 👆 👆
JIJI MZIMA INA MUONEKANO WA KIBERA TU....LOL
 
Back
Top Bottom