Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣 Leo nimecheka yangu yote.
Na unamfurahia mwenzako kwa claims zake za kitoto 😂😂👇
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706] Waste of taxpayers money. Yani highway imejaa level crossings, lanes hazina upana na barabara imejaa vilima na sharp turns so itakua na jam always. Ata ikue 20 lanes kila upande with level crossings ni bure tu maana itabidi magari yanangoja kuingia highway au watu kuvuka badala ikue express.
 
IMG_4221.jpg

IMG_4218.jpg
 
Unaizingumzia vitu unavyoishia kuviona kwa picha tu mzee 😂😂 so sad.. kwamba hakuna pedestrian bridges 😂😂😂 umewahi kufika.?
Siongelei pedestrian bridges tatu kwa jiji nzima. Naongelea pedestrian bridges zisizohesabika maanake mji mkubwa kama Dar unafaa kuwa nazo kila Mahali. Hiyo Kibaha highway haifai kuwa na Zebra crossing hata moja. Inafaa kuwa na pedestrian bridges more than 20. Thika road pekee inazo 30.
 
36/50

lol,,,,,,stop running to dodoma village,,,,,lets deal with darislum first......dodoma hata airport haina haiwezani na isiolo
Tukija kwenye overall housing standards, Nairobi inapigwa na Dodoma acha ubishi, halafu Tanzania ina mkopo wa dollars billions 36 lakini ina miundombinu ambayo Kenya itachukua miaka 50 kuipata, Kenya ina deni la dollars billions 83 lakini ni slums tu ndio mmefanikiwa kuzijaza nchi nzima

Dom kwenye estates and housing standards inaipiga Nairobi kataa kubali.
 
Tukija kwenye overall housing standards, Nairobi inapigwa na Dodoma acha ubishi, halafu Tanzania ina mkopo wa dollars billions 36 lakini ina miundombinu ambayo Kenya itachukua miaka 50 kuipata, Kenya ina deni la dollars billions 83 lakini ni slums tu ndio mmefanikiwa kuzijaza nchi nzima

Dom kwenye estates and housing standards inaipiga Nairobi kataa kubali.
Deni lenu sai ni 55% ya uchumi wenu, unalijua hilo kwanza[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
 
Deni lenu sai ni 55% ya bajeti yenu, unalijua hilo kwanza[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
Inakuuuma kuona Tanzania imefanya makubwa na mkopo mdogo iliochukua ukilinganisha na kunyaland, ilikua inachukua mikopo kulipa mishahara na kununua chakula halafu unasema kilimo hakifai 🤣🤣🤣🤣

Hiyo 55% nani kakupa?

 
Inakuuuma kuona Tanzania imefanya makubwa na mkopo mdogo iliochukua ukilinganisha na kunyaland, ilikua inachukua mikopo kulipa mishahara na kununua chakula halafu unasema kilimo hakifai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiyo 55% nani kakupa?

Umekasirikaee!!jiwe kawadanganya bana, sai mama kaamua kuweka mambo wazi wazi[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
 
Hizi roundabout ni useless. Hazina umaana. Hapo wangeeka junction tu ya kawaida. Alafu kue na flyover hapa sababu nishaanza kuona jam na ajali zikitokea apa kwa hii junction mbovu. SAFETY! SAFETY!

Alafu ati hii ni 19km from Dar na kunakaa Marsabit kukauka na kitongoji duni [emoji23][emoji23][emoji706]
Distance kutoka CBD mpaka Kimara ni 20km and the distance from kimara to Kimara mwisho is 5km, therefore distance from CBD to Kimara mwisho is 25km, ambaoo all the way unatembea kwenye barabara ya njia sita, two lanes for BRT 👇
3047293_IMG_3532.jpg
ukifika Kimara mwisho ambapo kuna facilities hizi 👇 barabara ya BRT ilipoishia
maxresdefault(67).jpg
Rapid_transit_at_Kimara_bus_stop.jpg
ndio inaanza barabara ya 19km inayoitwa Kimara-kibaha high way yenye lanes 8.. kwahyo hii barabara ukiuunganisha from CBD to kibaha ni 25km+19km=44km .. acha kuji confuse huijui DSM kaka...
 
Umekasirikaee!!jiwe kawadanganya bana, sai mama kaamua kuweka mambo wazi wazi[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
Jiongelee shithole yenu iliochukua mkopo wa dollars billions 83 lakini kwa round hakuna mradi wowote wa maana zaidi ya MGR km 300 ilioishia kichakani 😂😂😂😂

Kwani mna muundombinu Mwingine mkubwa zaidi ya ile MGR ya kichakani? Nikumbushe 😅
 
Nairobi inapigwa na Dodoma sababu Dom ina estates nyingi za maana lakini Nairobi ina slums nyingi kuliko estates za maana kitu ambacho Dodoma haina

Nafikiri umejionea pia namna Watanzania walivyowapita kimaisha, mitaa ni ya watu wa kawaida lakini kuna nyumba nzuri ambazo ni chini ya 10% ya Wakenya wanaweza kumiliki
Wewe hujielewi lakini
 
Back
Top Bottom